Lady jaydee ni mjamzito

Swali jingine mbona Lady Madonna kazaliwa mwaka 1958 - mwaka 1996 ndio akazaa akiwa na umri wa miaka 38 natumaini huu umri Lady JD hajafikisha bado! Jamani JF sasa itageuka kua janvi la udaku.

Madonna hakuwahi kujitangaza kuwa hana uwezo wa kuzaa, JD amewahi kufanya hivyo hadharani. Sawa??
 
Madonna hakuwahi kujitangaza kuwa hana uwezo wa kuzaa, JD amewahi kufanya hivyo hadharani. Sawa??

Mwita nimejaribu kukufuatilia sana kwenye mada nyingi tu lakini nahisi wewe ndio umeingia kidato cha kwanza, kwahiyo ni ujana ndio unakusumbua!
 
Kuna ulakini hivi JD kweli amejaa mifupa maana anavyoenekana sasa akitalii huko France???
DSC01966.JPG


ji.jpg

Hapa ni November last year ilipotangazwa kajaa mifupa???
 
Serious kwenye mimba za watu au? Hivi na haya ni mambo ya kujadili? Anyway napita tu, inahitaji uwe ......kiasi fulani ili maisha binafsi ya watu yawe yanakuhusu. Duh! Hadi wanaume, kaaazi kweli kweli

Kaazi sana,sifa za uanaume zinazidi kushuka,
hawa bado kuvalishwa sidiria tu.
 
Halafu swali langu kwahuyu dada ni kua mbona Janet Jackson mpaka leo hajazaa je nani mwenye umri mkubwa kati yake na huyu Lady JD?

Janet Jackson ana mtoto aliyezaa miaka ya late 1980s na Chicco De Barge, ila mwanaye akapelekwa kulelewa na dadaye kwa udikteta wa kaka yake MJ.
 
Idea ni kuonyesha ni mwanamke na wala si huko ulikofika! kwani angesema mwanaume anakojoa huku amesimama ingemaanisha dharau kwa mwanaume?? si kihivyo jamani


Ni dharau kubwa kama wewe ni mwanamke basi hujajitambua au umakubali kudhalilishwa ni sehemu ya maisha kwako.
 
Kama u mjamzito, hongera sana JayDee, kama sio,utaendelea kuwa mwanamuziki mzuri wa kitanzania na mwenye mafanikio...kukosa mtoto haipunguzi utu wala thamani yako....!!
 
Kama u mjamzito, hongera sana JayDee, kama sio,utaendelea kuwa mwanamuziki mzuri wa kitanzania na mwenye mafanikio...kukosa mtoto haipunguzi utu wala thamani yako....!!


Hivi Habash c memba wa jukwaaa hili?angetuthibithia habari hii,Judith ni mojawapo wa celeb ambaye katuwakilisha vema sana tz so c mbaya kujua taarifa zake kama hizi za mimba
 
Hongera jd! No matter what ni m(wa)toto kwa njia ya chupa (IVF) au kawaida itabaki kuwa wako tu. Matatizo ya uzazi yanawasibu wengi kama umejaliwa kupata ujauzito mshukuru MUNGU wako. Look here, from 1978 todate over 4mil children have been born by mothers then said to be infertile. She's not the only1. Mungu anajua chochote unachosema, wengine hawajui majaliwa yao. Ikiwatokea kutopata mtoto watamuomba Mungu huyo huyo. Kama kweli ni mjamzito, mi nakuombea upate mapacha.
 
Back
Top Bottom