Lady Jaydee kufungua mgahawa mpya

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,383
Mwanamuziki mwenye swaga za aina yake kutoka kwenye kiwanda cha bongo flavor , Lady jaydee , ametangaza rasmi Ujio wa mgahawa wake mpya( BBQ n chill) ambao ataufungua masaki around May this year.

Ikumbukwe lady jaydee alishawah kumiliki mgahawa matata sana (Nyumbani lounge) ambao ulifanya vizur kwa miaka kadhaa na baadae akaamua kuufunga. Hongera sana dada mkuu, hiko kitakuwa kijiwe chetu kipya cha kudangia, masaki tena ,,warumi mie nijiandae

IMG_1621.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom