Lady Jaydee kufungua mgahawa mpya

Sasa si mpaka uwe na hyo biashara..
Kumbuka pia hata huko marekani maisha hayajawahi kuwa rahisi?
Kivipi nidanganye wakati Mama kashaweka wazi kwamba TRA wasinyanyase wafanyabiashara? Unajua mnyororo wa thamani ya uwepo wa biashara nyingi mtaani?
 
Kivipi nidanganye wakati Mama kashaweka wazi kwamba TRA wasinyanyase wafanyabiashara? Unajua mnyororo wa thamani ya uwepo wa biashara nyingi mtaani?
Dogo MJINGA kama jina lake Mkuu, anadandia dandia tu hoja bila ya kuelewa kiini chake kwanza.
 
Jiwe alikuwa amewakaba wapiga dili.
Hapo ndio mnapoharibu ,JIWE aliondoa wapiga dili wa JK akaweka wapiga dili wake kina mfugale,bashite,TPA,tanroad,Biswalo,Dotto James etc wapiga dili kipindi cha JIWE walikuwa wengi sana tena ndio wakaharibu hadi uchumi kwa kuwapora mabilioni wafanya biashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom