Testar
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,461
- 12,216
Upo sawa Mkuu, tunatakiwa tubadilike kifikra kwanza kwa kutumia elimu ndipo tubadilike physically.....tatizo elimu ya kutubadilisha kifikra ipo wapi? au ni hii ya kukaririsha isiyo fikirishi?Tatizo ni mifumo yetu ya kielimu na mapokeo yetu. Kubadilika toka umasikini kwenda kwenye utajiri ni fikra na si vitu tumilikivyo.
Nakubaliana nawe kwenye ufikirivu mdogo unaoongozwa na ubinafsi.
Ona jinsi wasomi wanavyo ililia serekali iwape ajira, ina maana hawana fikra za kuwakwamua kutoka kuwa masikini hadi kuwa matajiri bila ya kuajiriwa?