Adui namba moja wa Tanzania ni Ccm na ndio sababu ya Tanzania kua maskini hadi leo
 
Unajua bila kuwa na definition fulani tukakubaliana tunaongelea nini ni vigumu kufikia muafaka....

Kwahio ngoja tuweke premises kabla ya kuingia hatu nyingine.

Moja: Je Umbaomba lazima awe masikini ? Mtu anaweza akawa na zaidi yako ila bado akakuomba huyo ni masikini ana tamaa au mvivu ?

Mbili: Tanzania kama nchi kama imeweza kutoa climate isiyo na shida (natural AC) ardhi ya rutuba, watu wanaweza kuishi kwenye mazingira halisi na kujipatia chakula kutoka ziwani - Je hapo nchi ndio masikini au baadhi ya watu wake ? Unaweza kuona mtu anacheka kijijini mtu ana nyumba ya nyasi wakati yupo mjini na anaona watu homeless wanalala kwenye barabara hashangai homeless anashangaa wa kwenye nyasi ?

Tatu: je unaweza ukasema nchi ni tajiri wakati kuna watu wake wengi tu hawana kitu sababu kuna wachache wanavitu hata wasivyohitaji ? Nchi ipi ni tajiri yenye wengi wenye basic needs na wachache wanaosaza au wengi wanaosaza na wengi zaidi hawana hata basic needs ?

Hapo utaona kwamba kwa definition yangu nchi nyingi ni masikini tena kuna zile ambazo on paper unasema ni matajiri lakini tunawazidi ingawa sisi tatizo letu kubwa ni kwamba hatuna sababu ya kuwa na watu ambao hawana kitu

In abundance of water.... A fool is thirsty.......
 
Back
Top Bottom