Kwanini wasichana/wanawake wengi upenda kubeba mikoba mikubwa kila siku, mahali popote ?

Mkuu KING KONG III we genius au? Unanivinjariaje na vocabulary! Ulipo'put neno NASA nimeipenda unatiririkaje na Fasihi andishi! Humu JF cku nikickia kumeundwa team ww utachezea team yng lazima nikumwagishe wino kw vl mi ntakua Manji wa humu!
 
ah uwa tunabeba vipodozi, kanga au kitenge kwa ajili ya emergency, mwamvuli mdogo especial kipindi cha mvua, viatu usione kazini tunavaa michuchumio uwa na flat shoes kwa ajili ya kubadilisha na ped pia mana mambo haya uwa sometimes unaanza bila taarifa sasa lazima uwe nayo. hop umepata majibu
 
Yes generator maana yake movie ikawa something "LIVE" badala ya ile waliokuwa wakiiangalia. Hamuelewi nini jamani??? Alifungua kale kamkoba akasalua nguo akabaki na kanga moja na MOVIE KALI IKAANZA "LIVE"
 
Kwa huku vijijini wanaweka mafuta ya babycare,
chanuo la mti,
mkeka,
kitambaa,
khanga nyepesi 2,
chu*pi.
 
Kwenye madaladala makonda wanalalamika mikoba inajaza nafasi, wanaanda muswada ili ikiwezekana mahandbag nayo yalipiwe nauli:wink2::wink2:
 
Jamaa yangu mmoja alishanga kila demu anapokuja kumtembelea mkoba unakua mkubwa:
Day1, dia nimeona sufuria hazitoshi so nimekuja na hzi nygne.
Day2, dia nimeona haipendezi kuja kwako na nguo hii then natoka na hiyo hiyo, so naacha nguo za kubadilisha.
Unafikiri day3 nini kiliendelea?
...
Dia, naona uvivu kwenda na kurudi kila siku..
 
wengi wanakuwa wamejipanga hata wakichepuka wanakuwa wametembea na wardrobe i.e khanga, kyupi, gauni, bra, pafyumu, etc
 
Back
Top Bottom