Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
- Thread starter
- #21
kweli hiyo sijaona bado,ila sijui inamhusu vipi physicologicalNikiwa nina mimba mume wangu anatapika wakati mimi niko fresh. Tukienda kwa madokta wanasema anakuwa affected kisaikolojia wala haina uhusiano na mimba yangu. Wazee wao wanasema sijuhi mkeo akikuruka toka kitandani basi unabeba karaa zake za mimba. I have two kids with similar experience. It is so fun. Imeshawahi kuwatokea any of you? Mme wangu hataki kusikia tena maswala ya another kid maanake cha moto anakiona.