Kwanini walioomba mikopo ya diploma hawajapangiwa?

Hivi ni kwamba mpaka leo mikopo ya wale waliomba awamu ya pili hamjalipwa?
Ama mmesahaulika aisee! Kama kumbukumbu yangu sii mbaya nakumbuka walisema mpaka taehe 19/11/ 2023 mtakuwa mmejichukulia tayari?
Hii serikali ina watu wa ajabu haijawahi tokea🙌🏻
 
Back
Top Bottom