memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 252
- 153
Hivi mikopo ya Diploma imetoka maana niki log in wanasema wait next stage
Kuna mwenye amepata ujumbe wowote?
Kuna mwenye amepata ujumbe wowote?
hata masters nao wanasema hivyohivyo, vyuo vimeshafunguliwa na usajili unaendelea lakini wao wapo kimya na hawatoi tamko lolote lile.Hivi mikopo ya Diploma imetoka maana niki log in wanasema wait next stage
Kuna mwenye amepata ujumbe wowote?