Kwanini Walimu wanatongoza Wanafunzi??!!

mkumbuke walimu ni binadamu wenye matamanio kama wewe, sasa kama msichana anakuja shule kavaa sketi fupi, kishati kimembana mpaka kinashindwa kuhimili matiti,kapiga lip shine,manukato ya kuvutia, akiitwa anatembea kwa madaha huku kajibinua,macho kayalegeza, unategemea nini hapo kama si kutafutiana lawama?
 
zamani haya mambo yalikuwa hayasikiki kwasababu kulikuwa hakuna uhuru wa habari kama sasa vitu kama intenet, facebook, magazeti binafsi, blogs na kadhalika .. ila haya mambo yalikuwapo ila yalikuwa hayasikiki
 
HIVI TANZANIA KUNA INTERNATIONAL SCHOOLS NGAPI....?
NI swali tu mwalimu mwenzangu....JUST TO BE FAIR...!

Kwa uelewa wangu,International school ni shule inayofundisha kwa kufuata mtaala wa kimataifa(International curriculum)Kwa maana hiyo basi sitaweza kusema Tanzania kuna International school ngapi kwa kuwa sijapitia mitaala inayofuatwa na shule hizo.Ila tu ninachoweza kusema ni kuwa shule nyingi zilizopo Tanzania zinazojiita International school hazistahili jina hilo kwa kuwa zinafuata mtaala wa Tanzania na hivyo ni vyema zingeitwa tu English Medium Schools.
 
Unastahili Shikamoo!!
Shikamoo St. Paka Mweusi
 
Back
Top Bottom