Fisadi wetu Kikwete amechangia ubani na uje pia kuwa damu yake haitakiwi kwa kuwa ataambukiza ugonjwa wake wa kuanguka hovyo kama ana kiharusi. Kwanza nani atakubali atiwe damu ya Fisadi Kikwete. Kwanza nimefurahia kuona hajatoa damu, unataka awaambukize watu wengine Ufisadi? Kikwete ufisadi wake upo Kwenye damu. Sasa Mkuu huoni kuwa hiyo ni nafuu kwa Taifa:laugh: Hata ndugu yangu akikosa damu naona bora afe kuliko kutiwa Damu ya Fisadi Kikwete:coffee:
Masikini ushabiki unatuponza hivi wanacdm mnafurahishwa ni hili
Siasa iko wapi hapa ina maana Lipumba,Mtatiro,Mbatia na wapinzani wengine kuonyesha ushikiano ni siasa. Acha ushabiki kwa hapa cdm wamedunda
ahsante sana kwa kulielewa hilo, nilidhani ni mimi mwenyewe tuUfuasi huo umeanza lini? Rekodi zinaonyesha vinginevyo!
CDM wamesusa wahanga kama walivyozoea kususasusa.
Akili zikiwarudi watatafuta namna ya kurekebisha makosa hata ikibidi kuhudhuria mazishi ya mmoja wa marehemu.
Tumeshakizoea hiki chama uchwara.
Pole inasaidia nini wakati watu wamepoteza ndugu zao?
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?
Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.
Nawasilisha
mbona JK hakuchangia damu kwa wahanga?
Duh nimeamini ushabiki kitu kingine mi nilitaka kujua kwanini viongozi wa cdm hajatokea maeneo ya wahanga. Sawa maxmelo amesema Slaa ameenda leo amana na uwanja wa taifa that is good lakini wachangiaji wengine wahataki kujua hilo wao wanakazia tu viongozi wa cdm haina maana kwenda kule. Tatizo hapa jf watu hawakubali maovu ya cdm,mimi kama wamejoin naona ni vizuri lakini masuala ya kuzusha we sio mwanacdm hiyo ni hoja dhaifu na kama kuna ovu somewhere lazma nikemee
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?
Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.
Nawasilisha
kweli kabisa MaxMkuu,
Kama mfuasi wa kweli basi ungekuwa na taarifa zaidi ya sisi wengine hata si wafuasi bali wafuatiliaji wa karibu wa wanasiasa wetu.
Slaa ametoka muda si mrefu Amana Hospital, wakati mabomu yanalipuka wengi wao (pamoja na Slaa) walikuwa Dodoma, walitoa tamko lao hata kabla serikali na JWTZ hawajatoa kauli.
Baada ya tukio (usiku) kesho yake Slaa na baadhi ya wenzake walikuwa waje Dar kwa ndege kuweza kushiriki kikamilifu na wananchi, walikuja kuchemsha baada ya uwanja wa ndege kufungwa kwa muda, ikawalazimu kuja kwa magari (kumbuka wengine wanalazimika kubaki bungeni maana ndio lilikuwa linaahirishwa).
Jana Slaa alitakiwa kufika Uwanja wa Uhuru kuwaona wahanga (sijui kama alifika au la), na ilikuwa iwe saa 5 asubuhi, kilichotokea (inadaiwa) ni kuwa wahanga waliondolewa eneo la uwanja huo saa 1 kabla!
Sasa, wewe kama 'mfuasi' wa kweli habari hizi huna???
kweli kabisa Max
Kinachofanyika, which is very sad ni media kumpiga black-out slaa tena kwa pesa mbuzi tu na memos.... Hivi kwa kukimbiza wahanga, wanadhani tutasahau yaliyotokea?
Ushauri wangu ni kwamba CDM wapige fundraising ya nguvu tena ya kujitolea hata nguvukazi ya rebuild goms utaona serikali itakavyokinbilia kurepair na kulipa wahanga