Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?

Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.

Nawasilisha
Dogo uwe unafanya homework yako kabla ya kukurupuka.... na pia wewe si supporter wa CDM
 
Wamehamishiwa wapi wahanga? Slaa anawatesa sana hao

NB

check ur PM
walisema wanawajengea camp mbagala... ila wamewaficha ili ukweli usitoke na wanaogopa CDM lakiniw amesahahu wahanga wanaishi nyumba za kawaida na wanafikika bila shida labda wakaweke uzio majole kote ndio tujue... Hivi niongeavyo, waliobomokewa na nyumba ndio wanachangiwa na wapenda nchi wakati serikali inafanya tathmini
 
Hata wakienda huwezi kuwaona kwenye TV, TBC hawawezi kuwaonyesha Chadema, yawezekana walienda
 
walisema wanawajengea camp mbagala... ila wamewaficha ili ukweli usitoke na wanaogopa CDM lakiniw amesahahu wahanga wanaishi nyumba za kawaida na wanafikika bila shida labda wakaweke uzio majole kote ndio tujue... Hivi niongeavyo, waliobomokewa na nyumba ndio wanachangiwa na wapenda nchi wakati serikali inafanya tathmini

KUna shida kubwa sana ya kiuongozi Tanzania. Kila kitu serikali ni mzaha tu hivi hakuna anayeweza kufikiri kitu chenye busara? Sawa Kikwete ni Bogus sasa hakuna kweli mwenye kushauri na kutenda?
 
Viongozi wote wa Chadema ni members hapa JF, bila shaka watakuja kueleza wao wenyewe.
 
Jana Slaa alitakiwa kufika Uwanja wa Uhuru kuwaona wahanga (sijui kama alifika au la), na ilikuwa iwe saa 5 asubuhi, kilichotokea (inadaiwa) ni kuwa wahanga waliondolewa eneo la uwanja huo saa 1 kabla!

Sasa, wewe kama 'mfuasi' wa kweli habari hizi huna???

Kuamishwa kwa Wahanga hakukutokea kwa dharura kama unavyotaka kuaminisha, ulipaswa nawe ufahamu kuwa kambi ya Wahanga ilikuwa jana ihamishiwe Gongo la Mboto na hili lilishatangazwa sana na serikali in advance.

Sitaki kuamini kuwa Dr. Slaa hakuwa na taarifa hiyo.
 
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?

Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.

Nawasilisha

Chadema haiwezi kuwa na wafuasi bongolala ka wewe. Weye unafaa kuwa mfuasi wa chama mfu kinachoongozwa na mbayuwayu nambari wani Mkwere.
 
Nasikia vitu vya misaada kama nguo,vyakula,magodo nk vimepelekwa pugu boys kuhifadhiwa
 
Chadema haiwezi kuwa na wafuasi bongolala ka wewe. Weye unafaa kuwa mfuasi wa chama mfu kinachoongozwa na mbayuwayu nambari wani Mkwere.

Kuna watu vilaza we umezidi toa hoja kwamba wameenda au hawajaenda sababu nk sio kutukana umejidhalilisha
 
Smartboy ndio huyohuyo malaria sugu siionei ajabu ya bandiko hili

Asante sana mkuu Bujibuji .....

Humu JF kuna kundi kubwa sana linaloendesha mihadhara ya dini .... na ukweli wengi ni wazenji na mrengo wao unaonyesha wao ni KAFU..... haikatazwi kuwa supporter wa chama fulani humu JF ..hata ukisoma wengi hutunguliza mu kwenye maneno yanayowakilisha kama vile munatunyanyasa.... hawa ni kama vile zomba..malaria sugu, muhogomchungu.., kishongo., smartboy.,CITYBOY., Topical ., abdulahsaf., Dar es salaam, Mwiba.., GeniousBrain ..,JEYKEYWAUKWELI., BULLDOZER... na wengine wengi.... tafiti za kawaida zinaonyesha kwamba pale hoja inayohusu CDM kutoa uchambuzi au kundi hili waanzishapo thread wote kwa pamoja huona wakijitokeza kuchangia..hii inaonyesha ni watu wanaofahamiana personally an wako katika eneo moja au hupeana taarifa za kufanya uchochezi kwa dhamira moja

...hii ni network bila kupinga ...kubwa kabisa lengo lao ni kuvuruga mwelekeo wa hoja muhimu zenye maslahi ya taifa letu la Tanzania ... hisia zinaonyesha kuwa hawa ni watu wanaotumiwa na serikali ya sisiem iliyopo madarakani kwa makusudi kabisa kuhakikisha nguvu kubwa inayotumika na wapenda haki , wapambanaji, wanaharakati na wazalendo wa maendeleo na ukombozi wa taifa zinahujumiwa , tena imeonyesha wazi kuitungia Chadema hata kashfa tuu kwa makusudi... yaonyesha wazi hawa ni watu wenye roho mbaya na wasio na utu juu ya tanzania.., tena ni wabinafsi zaidi kuliko hata siasa zao chafu...watu hawa kibaya zaidi wanajitahidi kuiingiza dini ya kiislam katika kundi la wahuni na kuishushia heshima ikiwa ni kinyume na hali halisi kwani ninaamini waislam na wakristu wanaheshimiana tangu historia ya nchi yetu tulivyoijua na wataendelea kuheshimiana ....

Kuna watu walishatumia mihadhara live majukwaani kutukana na kuzalilisha imani za watu wengine lakini walishindwa kwa aibu kwani waislam na wakristu wote kwa pamoja waliwapuuzia mpaka aibu ikawafika ndipo walipofunga virago na kurudi walipotoka na kurudisha majibu mwajiri wao ..... jamani tuwapuuzie hawa watu .... wako kwa ajili ya matumbo yao .... kama kina RA walikua radhi kuchota mapesa kwa kutumia miradi hewa kama DOWANS.

...sitastaajabu kubuni miradi ya kuwasambaratisha watanzania waerevu wa JF ili basi mauvo yao yaendelee ..... na sisi tutakuwa hatuna umuhimu tena wa kuwa vinara wa uchambuzi kwa niaba ya watanzania wenzetu
 
Wewe umeenda??? Naomba "muongozo kujua ni kiongozi gani wa CCM aliyeenda (achilia mbali viongozi wa serikali ya CCM walioenda pale kiserikali).
Nenda wewe uwe mfano... kiazi we
 
Asante sana mkuu Bujibuji .....

Humu JF kuna kundi kubwa sana linaloendesha mihadhara ya dini .... na ukweli wengi ni wazenji na mrengo wao unaonyesha wao ni KAFU..... haikatazwi kuwa supporter wa chama fulani humu JF ..hata ukisoma wengi hutunguliza mu kwenye maneno yanayowakilisha kama vile munatunyanyasa.... hawa ni kama vile zomba..malaria sugu, muhogomchungu.., kishongo., smartboy.,CITYBOY., Topical ., abdulahsaf., Dar es salaam, Mwiba.., GeniousBrain .., BULLDOZER... na wengine wengi.... tafiti za kawaida zinaonyesha kwamba pale hoja inayohusu CDM kutoa uchambuzi au kundi hili waanzishapo thread wote kwa pamoja huona wakijitokeza kuchangia..hii inaonyesha ni watu wanaofahamiana personally an wako katika eneo moja au hupeana taarifa za kufanya uchochezi kwa dhamira moja

...hii ni network bila kupinga ...kubwa kabisa lengo lao ni kuvuruga mwelekeo wa hoja muhimu zenye maslahi ya taifa letu la Tanzania ... hisia zinaonyesha kuwa hawa ni watu wanaotumiwa na serikali ya sisiem iliyopo madarakani kwa makusudi kabisa kuhakikisha nguvu kubwa inayotumika na wapenda haki , wapambanaji, wanaharakati na wazalendo wa maendeleo na ukombozi wa taifa zinahujumiwa , tena imeonyesha wazi kuitungia Chadema hata kashfa tuu kwa makusudi... yaonyesha wazi hawa ni watu wenye roho mbaya na wasio na utu juu ya tanzania.., tena ni wabinafsi zaidi kuliko hata siasa zao chafu...watu hawa kibaya zaidi wanajitahidi kuiingiza dini ya kiislam katika kundi la wahuni na kuishushia heshima ikiwa ni kinyume na hali halisi kwani ninaamini waislam na wakristu wanaheshimiana tangu historia ya nchi yetu tulivyoijua na wataendelea kuheshimiana ....

Kuna watu walishatumia mihadhara live majukwaani kutukana na kuzalilisha imani za watu wengine lakini walishindwa kwa aibu kwani waislam na wakristu wote kwa pamoja waliwapuuzia mpaka aibu ikawafika ndipo walipofunga virago na kurudi walipotoka na kurudisha majibu mwajiri wao ..... jamani tuwapuuzie hawa watu .... wako kwa ajili ya matumbo yao .... kama kina RA walikua radhi kuchota mapesa kwa kutumia miradi hewa kama DOWANS.

...sitastaajabu kubuni miradi ya kuwasambaratisha watanzania waerevu wa JF ili basi mauvo yao yaendelee ..... na sisi tutakuwa hatuna umuhimu tena wa kuwa vinara wa uchambuzi kwa niaba ya watanzania wenzetu

LAT wewe mwanachama wa chama gani?

sijakubaliana na uchambuzi wako
1.kuwaita hao jamaa ni wana CUF!
2. Kwa ni wazanzibar
3. Kuwa ni network
4. Kuwa wanatumiwa na CCM

Ulichoandika hapo ni defencive because you dont have any evidence regarding that conclusion!

Hata mimi nimeishaitwa mzanzibar, m-cuf n.k simply because in one way or another I did challenge CDM!!! It is absurd that those who call themselves great thinker if they dont face challenges and have a convincing arguments regarding any issue.

The vey same way ulivyosema kuhusu hao jamaa ndio wengi watakavyo-kujudge wewe pia, ukitaka kuona wapenzi wa CDM humu ndani ebu jaribu kusema negative kuhusu CDM watatokea wengi kama nyuki wakurarue! ndio maana wale wachache ambao sio wafuata mkumbo wanaonekana kirahisi. Sijawahi kuona wanchama wa CDM waka admit kuwa CDM can sometime make mistake and need to be corrected! if we have reached this extent then we can not differentiate btn CDM, CCM, CUF kwa sababu UPENZI umepofusha ukweli!! this is absurd

Hao uliowataja jinsi ya kuwakwepa ni kujibu kwa hoja tu! jifunzeni hili hizi cheapt argument eti ametumwa, anatumiwa, fisadi, ni wasteg of time , kuna watu kama Malaria sugu personally huwa siwezi ku-comment lolote lile kwenye thread zao, nashindwa kuelewa ni wapi wengine huwamnapata muda wa kujibu post za watoa pumba, kama huwezi kumjibu kwa hoja,ignore hime we have many threads!
 
mkuu ...well and good ... that is my opinion and i have conveyed ... labda na mimi nimetumwa lakini nimeonyesha kuwa sikuridhika nao .... kwani hakuna uwezekano wa wao kutumwa ....?. wewe umewatetea kama nani...na maoni yangu kama ni cheap argument kwa nini usi ignore ... hii ni sawa na kula matapishi yako mwenyewe .... ninashukuru sana kama wewe umeona kuna hoja za kujibiwa ... ila mimi nimepost kama majumuisho ya majibu yangu
 
Kwenye msafala wa mamba kenge wamo watu hawajibu kwa hoja kazi kutukana. mwenye fact atoe sio kutoa tusi leo naona vilaza na wanye akili
 
Wakati wa Maafa Taifa linatakiwa kuwa na Mshikamano (Kama walivyofanya Wamarekani wakati wa 9/11) kwa kudhibiti Hali na Kuwasaidia Wahanga Kisha kufanya Uchunguzi wa kina Kujua chanzo na Mwisho kuwawajibisha Wahusika.

Lakini CDM imefanya kinyume, wakati Wahanga bado wanahangaika na Watanzania wakihaha Kusaidiana, Msaada wao ulikuwa ni kutoa Tamko la kutaka Viongozi wajiuzulu!

Hawakua na Muda kabisa kwenda kwenye tukio na kujua Hali Halisi, licha ya kutoa Msaada wowote! Hivi kweli hata kuje Chaguzi Mia zijazo, ndio wa Kuwapa Nchi hawa Kweli?
 
Back
Top Bottom