Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

Fisadi wetu Kikwete amechangia ubani na uje pia kuwa damu yake haitakiwi kwa kuwa ataambukiza ugonjwa wake wa kuanguka hovyo kama ana kiharusi. Kwanza nani atakubali atiwe damu ya Fisadi Kikwete. Kwanza nimefurahia kuona hajatoa damu, unataka awaambukize watu wengine Ufisadi? Kikwete ufisadi wake upo Kwenye damu. Sasa Mkuu huoni kuwa hiyo ni nafuu kwa Taifa:laugh: Hata ndugu yangu akikosa damu naona bora afe kuliko kutiwa Damu ya Fisadi Kikwete:coffee:


Mh kazi ipo kweli mpaka miaka mitano iishe lazima kutakuwa na wajitoleaji muhanga
 
Masikini ushabiki unatuponza hivi wanacdm mnafurahishwa ni hili

hatufurahishwi na upuuzi uliofanyika mpaka mabomu hayo kulipuka na kugharimu maisha ya watz wenzetu... na pia hatufurahishwi kuona kwamba wazembe wachache walioshindwa kufanya kazi ipasavyo bado wako ofisini baada ya madudu yaliyotokea
 
mbona umejibiwa hapo juu vizuri sana na JF Founder?
au unahitaji maelezo zaidi yapi?
au nawe nisikio la kufa?
Siasa iko wapi hapa ina maana Lipumba,Mtatiro,Mbatia na wapinzani wengine kuonyesha ushikiano ni siasa. Acha ushabiki kwa hapa cdm wamedunda
 
CDM wamesusa wahanga kama walivyozoea kususasusa.
Akili zikiwarudi watatafuta namna ya kurekebisha makosa hata ikibidi kuhudhuria mazishi ya mmoja wa marehemu.
Tumeshakizoea hiki chama uchwara.
 
CDM wamesusa wahanga kama walivyozoea kususasusa.
Akili zikiwarudi watatafuta namna ya kurekebisha makosa hata ikibidi kuhudhuria mazishi ya mmoja wa marehemu.
Tumeshakizoea hiki chama uchwara.

mbona JK hakuchangia damu kwa wahanga?
 
Pole inasaidia nini wakati watu wamepoteza ndugu zao?

material compensation YES but for a human being POLE counts alot. unless you are not a human being! vinginevyo kama unajua maana ya kupotelewa na watu muhimu ktk maisha basi ungeweza kujua POLE ina umuhimu gani. put aside the politics at least for now moral and financial support kwa hao wenzetu ni muhimu sana kwa sasa.
 
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?

Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.

Nawasilisha

CDM hakina wafuasi wapuuzi kama wewe!
 
Nchi hii inawatu wengi wasio jitambua hivyo ukombozi wake utakuwa mgumu sana! Smartboy niaibu kubwa sana kujitokeza hapa jamvini na lawama kubwa kwa vitu ambavyo hauko well informed watu walio makini huwa hawatangulizi lawama kama hawana uhakika na jambo wa nalo taka kulitolea lawama, hata kama ungekuwa unataka kupa taarifa juu ya jambo hili limechukuliwaje na CDM basi usinge tumia mbinu hii kwa sababu imeishia kukudhalilisha tu na si vinginevyo!

Yaliyoelezwa hapo juu na wachangiaji wengine nitosha kukufundisha ili ufanye kazi kubwa ya kujitambua kwanza kabla ya kufanya jambo jingine na kama unajitambua basi umetumwa au umeamua kupotosha umma kwa maksudi ukiangalia jinsi ulivyo jitambulisha eti wewe nimfuasi wa CDM ili watu wajue kuwa unachoa lalamikia ni sahihi kwa sababu una uelewa mzuri wa hatua zilizo chukuliwa na chama chako juu ya janga hili, unafanya haya yote ilihali ukijua kuwa una ongopa wewe ni kibaraka wa CCM historia ya michango yako humu jamvini inatueleza hivyo sasa ume kuwa mfuasi wa CDM toka lini?

Hata kama sio mfuasi wa CDM basi jitahidi kupata taarifa vizuri kabla ya kuleta lawama zako hapa jamvini......
 
Kwa muungwana ataomba radhi kwa kukurupuka. Hakuna utakachopoteza zaidi utaongezewa heshima kwa kuwa muungwana. Ni vizuri ukaonyesha unajutia kitendo chako cha kuleta hoja dhaifu bila kuwa na taarifa sahihi.

Na wewe kama mfuasi wa CDM na mwananchi umeenda? Umetoa pole?

Pole na kusalimia waliodhurika si kwa viongozi pekee, hata wanachama. Tusiwe na mawazo ya kizamani.
 
Mi nasema ushabiki kwani CDM ndo walikuwa wa kwanza kuliongelea hili suala bungeni, lakini Makinda akasema siyo jambo la dharula hivyo wao walijua kuwa litatokea, na ndio maana rais alikimbilia kuwapoza wahanga.

Sasa kuna mtu anahoji mbona CDM hawajaonekana si kila mtu anayeenda Gongo la Mboto lazima aandamane na waandishi wa habari ili aonekane kafika janga la gongo la mboto si mahali pa kupatia chati kisiasa
 
Duh nimeamini ushabiki kitu kingine mi nilitaka kujua kwanini viongozi wa cdm hajatokea maeneo ya wahanga.

Sawa Max amesema Slaa ameenda leo Amana na uwanja wa taifa that is good lakini wachangiaji wengine hawataki kujua hilo wao wanakazia tu viongozi wa cdm haina maana kwenda kule. Tatizo hapa JF watu hawakubali maovu ya CDM, mimi kama wamejoin naona ni vizuri lakini masuala ya kuzusha we sio mwanacdm hiyo ni hoja dhaifu na kama kuna ovu somewhere lazma nikemee
 
Ni ajabu viongozi wa CDM wanapiga makelele juu ya watu watatu waliojiua kwa makusudi kule Arusha, na hawaonyeshi concern yeyote juu ya watu zaidi ya 20 walikufa kwa ajali Gongolamboto! Ukweli ni kuwa wanaona hamna FAIDA ya kisiasa ndio maama wameamua KUPOTEZEA!
 
Duh nimeamini ushabiki kitu kingine mi nilitaka kujua kwanini viongozi wa cdm hajatokea maeneo ya wahanga. Sawa maxmelo amesema Slaa ameenda leo amana na uwanja wa taifa that is good lakini wachangiaji wengine wahataki kujua hilo wao wanakazia tu viongozi wa cdm haina maana kwenda kule. Tatizo hapa jf watu hawakubali maovu ya cdm,mimi kama wamejoin naona ni vizuri lakini masuala ya kuzusha we sio mwanacdm hiyo ni hoja dhaifu na kama kuna ovu somewhere lazma nikemee

Ni ugonjwa wa akili unaokusumbua! Wahi Mirembe
 
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?

Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.

Nawasilisha

Inawezekana walikuwa awali wanasita kufanya hivyo kwa houfu ya kushutumiwa na watu wa CCM na mashabiki wao humu JF kwamba 'wanatafuta umaarufu wa kisiasa katika janga la taifa.'

Hata hivyo CCM, serikali yake na watumishi wake hawaaminiki. Mnakumbuka katika miaka ya 90 Augustine Mrema wa NCCR-Mageuzi alipeleka msaada wa vyandarua hospitali ya Temeke. Wakati alipofika huko, yule Daktari wa zamu akatokea mlango wa nyuma na nesi mkuu akapitia dirishani!


Walimuogopa kiongozi huyo wa upinzani kama ukoma!
 
Mkuu,

Kama mfuasi wa kweli basi ungekuwa na taarifa zaidi ya sisi wengine hata si wafuasi bali wafuatiliaji wa karibu wa wanasiasa wetu.

Slaa ametoka muda si mrefu Amana Hospital, wakati mabomu yanalipuka wengi wao (pamoja na Slaa) walikuwa Dodoma, walitoa tamko lao hata kabla serikali na JWTZ hawajatoa kauli.

Baada ya tukio (usiku) kesho yake Slaa na baadhi ya wenzake walikuwa waje Dar kwa ndege kuweza kushiriki kikamilifu na wananchi, walikuja kuchemsha baada ya uwanja wa ndege kufungwa kwa muda, ikawalazimu kuja kwa magari (kumbuka wengine wanalazimika kubaki bungeni maana ndio lilikuwa linaahirishwa).

Jana Slaa alitakiwa kufika Uwanja wa Uhuru kuwaona wahanga (sijui kama alifika au la), na ilikuwa iwe saa 5 asubuhi, kilichotokea (inadaiwa) ni kuwa wahanga waliondolewa eneo la uwanja huo saa 1 kabla!

Sasa, wewe kama 'mfuasi' wa kweli habari hizi huna???
kweli kabisa Max

Kinachofanyika, which is very sad ni media kumpiga black-out slaa tena kwa pesa mbuzi tu na memos.... Hivi kwa kukimbiza wahanga, wanadhani tutasahau yaliyotokea?

Ushauri wangu ni kwamba CDM wapige fundraising ya nguvu tena ya kujitolea hata nguvukazi ya rebuild goms utaona serikali itakavyokinbilia kurepair na kulipa wahanga
 
kweli kabisa Max

Kinachofanyika, which is very sad ni media kumpiga black-out slaa tena kwa pesa mbuzi tu na memos.... Hivi kwa kukimbiza wahanga, wanadhani tutasahau yaliyotokea?

Ushauri wangu ni kwamba CDM wapige fundraising ya nguvu tena ya kujitolea hata nguvukazi ya rebuild goms utaona serikali itakavyokinbilia kurepair na kulipa wahanga

Wamehamishiwa wapi wahanga? Slaa anawatesa sana hao

NB

check ur PM
 
Back
Top Bottom