Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

Smartboy

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,110
128
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?

Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.

Nawasilisha
 
Mkuu,

Kama mfuasi wa kweli basi ungekuwa na taarifa zaidi ya sisi wengine hata si wafuasi bali wafuatiliaji wa karibu wa wanasiasa wetu.

Slaa ametoka muda si mrefu Amana Hospital, wakati mabomu yanalipuka wengi wao (pamoja na Slaa) walikuwa Dodoma, walitoa tamko lao hata kabla serikali na JWTZ hawajatoa kauli.

Baada ya tukio (usiku) kesho yake Slaa na baadhi ya wenzake walikuwa waje Dar kwa ndege kuweza kushiriki kikamilifu na wananchi, walikuja kuchemsha baada ya uwanja wa ndege kufungwa kwa muda, ikawalazimu kuja kwa magari (kumbuka wengine wanalazimika kubaki bungeni maana ndio lilikuwa linaahirishwa).

Jana Slaa alitakiwa kufika Uwanja wa Uhuru kuwaona wahanga (sijui kama alifika au la), na ilikuwa iwe saa 5 asubuhi, kilichotokea (inadaiwa) ni kuwa wahanga waliondolewa eneo la uwanja huo saa 1 kabla!

Sasa, wewe kama 'mfuasi' wa kweli habari hizi huna???
 
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?

Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.

Nawasilisha

Kwa nini Kikwete hajatoa damu salama kusaidia wahanga?

Mbona James Mbatia, mwenyekiti wa NCCR amechangia ma-blood?

Inamaana JK siyo mwenkekiti wa Chama?

siku ingine ukitaka kuweka hoja zingatia mizania? vinginevyo hoja yako itageuka crap.
 
Kwani hao wahanga ni wa maonyesho? kinachitakiwa ni wapewe haki yao inayowiana na madhara yaliyowapata siyo kwenda kuwaonyesha meno.

Pole inasaidia nini wakati watu wamepoteza ndugu zao?

Waliokuwa wanawawezesha kuishi hapa duniani, siyo kwenda kuwaonyesha suti za kifisadi hapa.
 
Huja elewa soma vizuri
 
what is ur point here? hili suala ni janga la kitaifa sio suala la kisiasa tatizo lako/lenu kila kitu mnaweka siasa tu
 
Huu ndo ushabiki, viongozi wa cdm wanatakiwa kushirikiana na wananchi kwa kila jambo. Ni lazima ktk hili waonyeshe ushirikiano
 
Kwa nini Kikwete hajatoa damu salama kusaidia wahanga?

Mbona James Mbatia, mwenyekiti wa NCCR amechangia ma-blood?

Inamaana JK siyo mwenkekiti wa Chama?

siku ingine ukitaka kuweka hoja zingatia mizania? vinginevyo hoja yako itageuka crap.

....utani mwingine haufai!
 
what is ur point here? hili suala ni janga la kitaifa sio suala la kisiasa tatizo lako/lenu kila kitu mnaweka siasa tu

Siasa iko wapi hapa ina maana Lipumba,Mtatiro,Mbatia na wapinzani wengine kuonyesha ushikiano ni siasa. Acha ushabiki kwa hapa cdm wamedunda
 
nimeelewa sana.

unataka viongozi wa chadema waonekane kwenye magazeti na tv.

hili ni janga, siyo kijiwe cha kujijenga kisiasa

Ona sasa yaani tuna watu wajabu humu jf yaani viongozi hawajashiriki coz wataoneka kwenye media yaani umetoa vapour
 
Kwani Chadema hawakuomba kuwa hili janga lijadiliwe kama dharura katika kikao cha bunge juzi? Hoja hiyo yule mama Mfarisayo aliikubali? Au wewe nataka kuona watu katika TV na magazeti ndio kipimo chako cha kuitumikia jamii? Come on, come on!!
 
Acheni ushabiki wa kisiasa cdm waende au wasiende uzembe upo palepale, unaenda kuwapa watu pole wakati unajua wazi uwezekano wa kuzuia hayo maafa ulikuwa ndani ya serikali tawala, sasa unasema pole ukiungana na mafisadi ukijidai eti ni bahati mbaya wakati mwingine unafiki tuuache jamani
 
Siasa iko wapi hapa ina maana Lipumba,Mtatiro,Mbatia na wapinzani wengine kuonyesha ushikiano ni siasa. Acha ushabiki kwa hapa cdm wamedunda

kuna ushabiki gani hapo? we ndio una ushabiki kwani unalichukulia hili suala kisiasa..kwani wote wanaoenda kuangalia wahanga wanawakilisha vyama vyao? labda ungetusaidia sababu ya wahanga kuondolewa eneo walilokuwepo saa limoja kabla ya dr slaa kufika uwanjani
 
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?

Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.

Nawasilisha
Ufuasi huo umeanza lini? Rekodi zinaonyesha vinginevyo!
 
Siasa iko wapi hapa ina maana Lipumba,Mtatiro,Mbatia na wapinzani wengine kuonyesha ushikiano ni siasa. Acha ushabiki kwa hapa cdm wamedunda

We ndio unaleta ushabiki... mbona kuna maelezo mazuri tu aliyotoa maxence post moja huko juu, hutaki kuyakubali... Inaonekana umekuja kuchafua hali ya hewa tu na wala huna nia nzuri na CDM... Kuna mengi wameyafanya tatizo media zenu za CCM zinawaweka CCM na vibaraka wake.... Km wewe unaona kipimo cha kutumiakia/kujalii jamii ni kuonekana kwenye media, duh umeumia mkuu... Km ni hivyo JK ametokea saaana kwenye media akiongea na vilema, watoto, akichimbua nyayo za kale.... (bado anachemsha)
 
Back
Top Bottom