Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

Kwa nini Kikwete hajatoa damu salama kusaidia wahanga?

Mbona James Mbatia, mwenyekiti wa NCCR amechangia ma-blood?

Inamaana JK siyo mwenkekiti wa Chama?

siku ingine ukitaka kuweka hoja zingatia mizania? vinginevyo hoja yako itageuka crap.

Anayo?
 
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?

Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.

Nawasilisha
Hao chadema ndio wanatakiwa waende sasahivi halafu wawaeleze wahanga hao kuwa mh rais amefwatilia matatizo mengine muhimu zaidi nje ya nchi!Viongozi wetu wanaweza kufanya chochote kile ni haki yao na watanzania hawana cha kufanya.
Naona ilishindikana kuwasingizia chadema this time na sasa mnataka kusema eti imeonyesha picha mbaya,kweli tuna nchi!
 
Kama kuna kitu unachoweza kugundua ni namna media zinavyoripoti tukio hili, wanapambwa sana viongozi wa ccm ambao wanakaa mbele ya kamera wakiwa na tabasamu pana kama kijana aliyekabidhiwa mke, wanatafuta sifa msibani. viongozi wa cdm walianza kutoa hoja bungeni mapema kabisa pale Tundu Lisu alipotaka suala hili lijadiliwe.
Tuache ushabiki, sifurahishwi na picha ya kiongozi anayeonekana mbele ya kamera akitabasamu wakati anaangalia majeruhi, inakuwa ni kama tukio hili lilipangwa na sasa majibu yametoka na 'wanaweza kupiga picha kwa kutoa tabasamu pana' badala ya kutafakari
 
Mimi ni mfuasi wa CDM lakini nimejaribu kufutilia vyombo vya habari sijaona kiongozi wa CDM maeneo ambayo wahanga wa mabomu wamekusanyika iwe hospitalini au viwanjani. Au labda kuna ambaye amewaona?

Imezoeleka hapa JF watu wanajadili weakness za CCM tu, naomba kwa moyo mkujufu kabisa mtu mwenye sababu atueleza ushabiki ukae kando. Na kama kuna wabunge wa cdm humu watuambie vinginevyo cdm imeonyesha picha mbaya.

Nawasilisha
Kwani ulikuwa hujui kama hao viongozi wenu ni wasanii wote ni wanaharakati zaidi ya hapo ni kucheza disco basi Siasa zinawenyewe
 
mkuu ...well and good ... that is my opinion and i have conveyed ... labda na mimi nimetumwa lakini nimeonyesha kuwa sikuridhika nao .... kwani hakuna uwezekano wa wao kutumwa ....?. wewe umewatetea kama nani...na maoni yangu kama ni cheap argument kwa nini usi ignore ... hii ni sawa na kula matapishi yako mwenyewe .... ninashukuru sana kama wewe umeona kuna hoja za kujibiwa ... ila mimi nimepost kama majumuisho ya majibu yangu

Sija Ignore post yako kwa sababu sijakuweka kwenye kundi la Malaria sugu! unless u-prove otherwise!
 
WEWE JE BINAFSI UMEKWENDA KUTOA HIZO POLE AU RAMBIRAMBI? MBONA HATUJAKUONA KWENYE LUNINGA ZA MAFISADI?

macinkus
 
Acheni ushabiki wa kisiasa cdm waende au wasiende uzembe upo palepale, unaenda kuwapa watu pole wakati unajua wazi uwezekano wa kuzuia hayo maafa ulikuwa ndani ya serikali tawala, sasa unasema pole ukiungana na mafisadi ukijidai eti ni bahati mbaya wakati mwingine unafiki tuuache jamani

Mbona unakomaa sana? Hivi hiyo comment #2 hujaiona au unapotezea? Nakubali kuwa ushiriki wao ni muhimu, lakini pia naomba upokee taarifa uliyopewa na mjumbe kama hujaridhika sema.
 
LAT

Hao uliowataja jinsi ya kuwakwepa ni kujibu kwa hoja tu! jifunzeni hili hizi cheapt argument eti ametumwa, anatumiwa, fisadi, ni wasteg of time , kuna watu kama Malaria sugu personally huwa siwezi ku-comment lolote lile kwenye thread zao, nashindwa kuelewa ni wapi wengine huwamnapata muda wa kujibu post za watoa pumba, kama huwezi kumjibu kwa hoja,ignore hime we have many threads!

Sina hakika na hoja zako nyingine ila kwa hili ... I support 100%. Tutumie nguvu ya hoja na sio hoja ya nguvu
 
Mmmh......mmeshaanza chokochoko za kuitazama chadema kwa jicho la tatu.
Mwisho kesho mtasema chadema wanahusika kwenye milipuko ya mabomu.
 
haa hata hili nalo linakuumiza kichwa we kiazi kweli saa hizi watu tunatatoa misaada ya kuwasaidia wahanga unalete siasa!!! acha porojo na uende ukatoe misaada kwa wahanga badala ya kufuatilia nani kaenda nani hajaenda haina msaada wowote kwa sasa umetumwa nini!!!!!!!??????!!!!!!!!!!!!!!
 
Cuf:
mwenyekit Lipumba hana kazi,
m/mwenyekiti Duni haji duni mshka pembe hana kaz
katibu mkuu seif hana kaz(mkata utepe)
naibu katibu mkuu mtatiro blablaa hana kaz!
CHADEMA
MWENYEKT MBOWE MBUNGE-hai
katibu Dr Slaa Rais nje ya ikulu,
m/mwenyekit Amri-MBUNGE MPANDA,
K/katibu mkuu ZITTO MBUNGE KIGOMA, WABUNGE NA Rais wa ukwel walikuwa dodoma so unaweza ukaona watu unaowalinganisha ni wabunge vz wapiga umbea mtaani
 
CDM wamesusa wahanga kama walivyozoea kususasusa.
Akili zikiwarudi watatafuta namna ya kurekebisha makosa hata ikibidi kuhudhuria mazishi ya mmoja wa marehemu.
Tumeshakizoea hiki chama uchwara.

yani wewe!ni kero mpaka mwisho!mara nyingine kama hauwezi kufikiria kwa kichwa hebu nenda katoe upupu wako toilet na si kwenye jukwaa la heshima kama hili!huna tofauti na rais wako mchakachuaji!mizaha imewazidi mpaka mnatia kinyaa!jadili hoja na sio upuuzi unaoutoa mara kwa mara!
 
nakereka sana na watu wenye mizaha kwnye matatizo!watu wamekuwa vilema wengine mnaleta mambo ya utani.viongozi wa chadema watakwenda au wamekwenda hilo linawahusu wao!sisi tunafanya nini kuwapa wenzetu faraja?KISHONGO jiweke kwnye nafasi ya hao waliopata ulemavu nafikiri adabu itakuwepo!jadili hoja na utoe wazo kitu gani kifanyike kuwafariji wahanga!
 
Chadema na vyama vingine wameshiriki kama kawaida,wala suala hili halikuwa la kampeni wala kutafuta umaarufu.
kumbuka serikali iliyopo madarakani ndio ilitakiwa kuwa mbele kwa hali na mali sio kisiasa.kwani unajua waliokufa ni wanachama wa vyama gani?
try to find another weak point to supress but not on this issue
 
Huu ndo ushabiki, viongozi wa cdm wanatakiwa kushirikiana na wananchi kwa kila jambo. Ni lazima ktk hili waonyeshe ushirikiano

Chama cha Ushirika cha CUF wenyewe mbona huwasemi kwa nini hawakwenda na wabia wao, umeona CDM tu? Dovutwa na Mgayiwa wa TLP je? Acha longo longo!
 
Back
Top Bottom