Kwanini vijana wa siku hizi wanapenda mahusiano na watu waliowazidi sana Umri?

LOh!! Nimefaidi sana michango ya thread hii. Lkn ukweli ni kwamba mimama inatumia hela kuwapata vijana, siyo mapenzi ya dhati. Ni nadra sana kumkuta mvulana mwenye pesa anatembea na limama ambalo halina hela kuliko mvulana. Siku hizi majimama wengi wana ukwasi mkubwa, lkn wanakosa mapenzi toka kwa wanaume wa umri wao. Kwa hiyo wanaanza kutongoza vijana ambao wanajua hawana hela za kuwatongoza wadada wa umri wao. Naturally, when a man looks for a girl/woman, he looks downwards, i.e. he looks for a younger girl/woman than him. On the other hand, when a woman looks for a man, she looks upwards, i.e. she looks for an older man than her. This is the psychology of love.
 
mapenZi na vijana mbona raha jamanii, uhondo tu kwa kwenda mbele, si msumbufu anakuheshimu na kukusikiliza, ukitoka kwenye stress na mume ambaye hana mpango na wewe anahangaika na visichana na wewe unajiendea kwa kivulana unakonga roho yako. mie sioni tatio lolote mbona mababu hutembea na watoto wa kike wadogoooo tena huamua hata kuoa kabisa lakini wamama wakitembea na wavulana wadogo ni story kwa kwenda mbele au ndio zile story za mbwa akimuuma mtu sio story ila mtu akimuuma mbwa ndio inakuwa story???? acheni kina mama nao tujivinjari na vijana. watoto wakike mmehamia kutembe na baba zenu mmewaacha vijana wenzenu hawana pa kushika sasa tumeanza kuwashika mnalalamika nini? hiyo ni exchange programme
 
I read a joke once in one of those forwardings,

Husband: sorry wife I won't be back tonight as I've taken my secretary to a lodge for a night of fun! As u know ur breats r sagging.well no offence but u scream 57!!...though..aam ur 50....u have become frigid and I will be so busy with my 18yrs old secretary who is firm in all the right places

Husband returns on saturday morning and finds a note:

Wife: husband..I won't be back this entire weekend ! Kindly walk the dogs and tend to the garden..same with me..u have developed tht nasty kitambi and have a rare hardon..I found myself a bodybuilder not exactly 18 only 25 but..won't be back ths weekend as 25 goes more into 56 than 56 goes into 18 won't u reckon!

U gotta love this lady!!!
 
vijana wenyewe ndie nyie mumeishiwa nguvu, misumari legelege pumzi zero usharobaro tu ila game wanaremba badala ya kukanda kisawasawa.
Vijana ndio wanaopenda majimama ili walelewe hasa kiuchumi
Mmmmh!!!ni wewe kweli au?uliyajuwaje yote hayo?
nimekubali we mkare!!!
 
Hio ni dalili ya kusema umekua ni mkubwa mno na kila anaekutongoza anataka tu mdoo alafu asepe...
na pia ni dalili ya kusema wanaume wanao faa kukuoa woote wana familia.... na pia ni dalili ya kusema
wakati ulikua na umri unafaa kusettle wee uliona bado upo upo... sasa ina ku cost....

Jestina naomba tu pitia hii link labda itasaidia kidogo uweze jitambua....

https://www.jamiiforums.com/mahusia...d-that-speacial-lady-you-have-fallen-for.html
 
Wala usijali sana dadangu ni hali ya kawaida tu hiyo, isipokuwa we mwenyewe tu jitunze usijiachie, na hivi umefikia umri wa kusettle, basi tulia, olewa, na endelea kujiheshimu na kujitunza. Kuwa approached kwa upande wangu wangu si tatizo, jiulize ungemaliza mwaka hata jamaa moja halijakukonyeza ungejisikiaje? Jitunze dadangu!
 
Labda unaonekana hauko ready ku settle kimatendo na muonekano
so ushauri

tafuta marafiki waliiolewa,watakuambukiza vitabia
utaonekana wife material soon..
Marafiki ma sista du wa pige ban
 
Wala usijali sana dadangu ni hali ya kawaida tu hiyo, isipokuwa we mwenyewe tu jitunze usijiachie, na hivi umefikia umri wa kusettle, basi tulia, olewa, na endelea kujiheshimu na kujitunza. Kuwa approached kwa upande wangu wangu si tatizo, jiulize ungemaliza mwaka hata jamaa moja halijakukonyeza ungejisikiaje? Jitunze dadangu!

Genekai... hizo zenye blue... hivi mdada anaefanya hivo kweli katika jamii\
yetu hii ya kiswahili - kweli atasumbuliwa na Masharo baro au vijana wadogo?

Katika red... watu watutongozao sometimes hutupa mwanga wa jinsi gani
(wanawake) kuji define... mfano mmama mzima 40+ anatongozwa saana na
vijana wadogo... inakupa picha ya the type ya maisha huyo mama analead.
 
That is nature my dear, wanaume wadogo hupenda "mijimama" na wanawake wadogo hupenda "mijibaba".

ha ha ha... Kwa hio usha conclude ni mmama?? I think anadai ni mdada - if you read btn the lines that is...
 
Hio ni dalili ya kusema umekua ni mkubwa mno na kila anaekutongoza anataka tu mdoo alafu asepe...
na pia ni dalili ya kusema wanaume wanao faa kukuoa woote wana familia.... na pia ni dalili ya kusema
wakati ulikua na umri unafaa kusettle wee uliona bado upo upo... sasa ina ku cost....

Jestina naomba tu pitia hii link labda itasaidia kidogo uweze jitambua....

https://www.jamiiforums.com/mahusia...d-that-speacial-lady-you-have-fallen-for.html

Thanks Asha but am 28 i think huu ndio umri kwangu wa kusettle,au nilipaswa kusettle nilivyokuwa na 26??lol...i think umri sahihi anaopaswa mtu kuolewa/kuoa bado ni kitendawili kwa wengi......
 
Back
Top Bottom