Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
vijana wenyewe ndie nyie mumeishiwa nguvu, misumari legelege pumzi zero usharobaro tu ila game wanaremba badala ya kukanda kisawasawa.
Vijana ndio wanaopenda majimama ili walelewe hasa kiuchumi
waambie ao..wajaze wajaeeee...eti vjana wanajua shughuli ...shuguli zenyewe ndo izo kwa MSAADA WA KONJYAGI.VALUU?
ahh wap..wanapenda mijimama cz ntoke vip..mama anaprovide kilakitu nakaka zetu wa siku izi wnavyopenda maisha juu wakat uwezo hawana mwishowe ndo huo unaangukia mgongo ka jimama ....
na jimama pia shda yake ni kuwa na MFANYAKAZI WA MAPENZ..ambaye hatamsumbua kwa lolote wala kumpelekesha kwa chochote mama anafanya analotaka kijana kaz yake ni dudu tu na si kummiliki mama...na kijana ulimi anafyata no kauli no sentensi...