Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 345
LOh!! Nimefaidi sana michango ya thread hii. Lkn ukweli ni kwamba mimama inatumia hela kuwapata vijana, siyo mapenzi ya dhati. Ni nadra sana kumkuta mvulana mwenye pesa anatembea na limama ambalo halina hela kuliko mvulana. Siku hizi majimama wengi wana ukwasi mkubwa, lkn wanakosa mapenzi toka kwa wanaume wa umri wao. Kwa hiyo wanaanza kutongoza vijana ambao wanajua hawana hela za kuwatongoza wadada wa umri wao. Naturally, when a man looks for a girl/woman, he looks downwards, i.e. he looks for a younger girl/woman than him. On the other hand, when a woman looks for a man, she looks upwards, i.e. she looks for an older man than her. This is the psychology of love.