Kwanini vijana wa siku hizi wanapenda mahusiano na watu waliowazidi sana Umri?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,672
Rogue said:
Swali kwa dada zetu...

ni nini kinachomvutia binti kuwa na uhusiano na baba mtu mzima old enuf to be baba mzazi..lets discuss more sababu besides the obvious reason ya MKWANJA..

madada zetu wanalalamika vijana we cant "handle" them well kama vizee..

OK LADIES..TUPENI SOMO PLEASE

Wakuu, huu ni uchunguzi nilioufanya na kubaini kuwa moja ya sababu inayowafanya Mabinti wengi kuwapenda wanaume 'Wababa' ukiacha sababu ya fedha ni kuwahawachelewi kuchoka tofauti na vijana ambao huganda muda mrefu kwenye usukani,

Nimebaini kuwa hii ni tofauti kwa wanawake watu wazima 'wamama' ambao hupenda vijana kutokana na kumudu udereva vile itakiwavyo.

Wanawake 20 ambao wanafanya shuguli za kuuza baa 16 kati yao walisema kuwa hufurahia zaidi kukutana na wanaume watu wazima tofauti na vijana kwani wengi waohawachelewi kuchoka.

"Utapewa elfu kumi 'ataendesha gari kidogo tu kisha huyoo anajilalia'(nimepunguza ukali wa maneno aliyotumia)" Hayo alizungumza Lidya mfanyakazi wa Bar ya jambo iliyoko Yombo Lumo- Dar huku akiungwa mkono na wenzake kadhaa ambapo mmoja aliongeza kuwa "ile elfu kumi (10,000) unayochukua kwa mzee ni tofauti na ile ya kijana, ya mzee haina ugumu lakini kijana itakutoa jasho mpaka asubuhi pia si ajabu ukaamkia kuota jua hawa vijana hawa.... wana balaa." Alimalizi Nyanzala mmoja wa wafanyakazi wa baa hiyo.

Hata hivyo nimebaini kuwa kina mama watu wazima wao hupenda zaidi vijana hii inanipa maswali magumu kidogo.

1. Ina maana wanawake watu wazima wana nguvu kuliko wanawake vijana?
2. Itakuwaje kwa wanawake vijana wa leo watakapokuwa watu wazima?
3. Nini kinasababisha wanawake vijana kukosa nguvu?
 
.....Hapa mabinti watatafuta sababu kuhalalisha kuendeleza mahusiano yao na baba zao/wazee kwa kisingizio hatuwahandle vizuri. lakini ukweli ni kwamba wanatafuta pesa tuu hapo. Kama ingekuwa hivyo basi wanawake wakubwa nao wasingehangaika na vijana kwani wangekuwa pia handled vizuri. Hainiingii akilini vijana wengi wanagombewa na wanawake watu wazima kisa wano fiti kuliko wazee. Sasa inawezekanaje kijana awe fiti akiwa na mwanake mtu mzima wakati kashindwa kuperform kwa kijana mwenzie. Waongo hawa achanaeni nao kabisa.
 
Samahani kwa kuingilia mada,kwasababu wakinadada ndiyo waliopewa hii nafasi kwa mujibu wa member aliyeleta hii mada.
Siku zote inakuwa hivi,hawa akina dada wanatembea na akina baba kwa lengo kuu la kujipatia fedha wakati huohuo upande mwingine anakuwa na mjanja wake(vijana) ambaye huyu anamtumia katika suala lazima la zero distance;hivyo hivyo kwa akina mama anakuwa na kijana iliampatie ile burudani kubwa kuliko zote.
 
Swali kwa dada zetu...

ni nini kinachomvutia binti kuwa na uhusiano na baba mtu mzima old enuf to be baba mzazi..lets discuss more sababu besides the obvious reason ya MKWANJA..

madada zetu wanalalamika vijana we cant "handle" them well kama vizee..

OK LADIES..TUPENI SOMO PLEASE

wanasema wanajua ku handle, hawana kero kama za vijana, kijana leo yupo na huyu kesho yule, mzee akikupenda akiamua kutulia anatulia kikweli, lakini ndio hivyo tena unaona hata aibu ya kutoka nae outing,kizee labda kuliko baba yako mzazi, utaenda nae wapi? kubwa zaidi ya yote ni hiyo reason uliyoisema"mahela" mana kama hakana hela utakuwa nako ka nini sasa?
 
Vijana/wasichana wanatafuta fedha. Kuhusu kufikishwa kileleni sio sababu kwani vijana ndio wapo fiti zaidi. Ni kwa nini wasichana hao hao hawakubali kuolewa na hao wazee. Au sikiliza maongezi yao hawasemi rafiki yangu mzee fulani, sana sana ni Buzi au ATM na maneno yanayomaanisha fedha. Hapendi mtu, inapendwa pesa tu.
 
au utasikia..'nipo na mtu ndo ananiweka mjini'..ukisikia ivo ujua ni just another version ya ATM....da-m-n.:confused:
 
sasa wandugu vijana wengi mikwanja hawana! hata wakiwa nayo ni ya muda tu! wazee wame "invest" bwana!
 
Maisha yanavyokwenda sasa hivi, hela inatawala sana akili za vijana na hasa kina dada, ingawa wapo kina kaka pia wanaochukua majimama..Wazee wengi wanaowachukua vijana mara nyingi wanakuwa kama ni migodi ya kuchimbwa mapesa.
I have seen a young lady going out with an old man and thereafter paying a young lover to screw her!!!
Ila kwa mtazamo wangu hii tabia ni mbaya sana...haitusaidii sana. Kupenda miteremko kunatufanya vijana kutoishi maisha yetu halisi na tunashindwa ku develop proper skills za kukabiliana na maisha in order to raise to the top.
Kitu chochote kinachojengwa katika misingi ya uongo hakiwezi kusimama...hii tabia ni mbaya na tunajidanganya na tunaweza kuadhirika in the long run
 
Aslaam alekhum wana Jf.Wengine tumsifu yesu kristo/bwana asifiwe. Miaka 6 iliyopita nilikuwa nikiishi ugaibuni kula London, nikiwa kule nilibahatika kwenda safari za Netherland na Ubeligiji.sehemu zote hizo nimeshudia wimbi la vijana wakioa mama watu wazima bila aibu,binafsi ilipa taabu sana kichwani mwangu. Lakini sasa nimerudi hapa kwetu bongo nimekuta mtindo huu umeshamiri japo kwa style nyingine ambabo ni vijana wengi wanawekwa ndani kama wafanya kazi kumbe ndo viburudisho na wengine wanasaliti ndoa zao kwa kuzama kwenye mahaba ya watu wazima.Je, sasa nauliza sababu hasa ni nini? kuporomoka kwa maadili,mapenzi tu, ilikuwepo tangu enzi hizo au ndo mama wanajua mapenzi kuliko mabinti wa siku hizi?
 
Yote hayo uliyoangazia yanaweza kuwa majibu na mtazamo sahihi kabisa..
Nadhani kwa mtazamo wangu mapenzi yale ya kweli hujikita zaidi ktk maelewano baina ya wawili (wenzi) na baadaye kuamua kuishi pamoja kama mke na mume.
Hali kadhalika yapo mapenzi baina ya mtu mmoja (mume) na we/mwingine (mwanamke) kuishi pamoja au mbalimbali huku wakihusiana katika jimai (yaweza kuitwa ngono)
Aina zote hizo mbili ni mapenzi japo hakuna uchaguzi wa umri, kabila, eneo au chochote zaidi ni maelewano baina yao.
Japo kuna mitazamo kama ya kitamaduni/mila, dini au milengo fulani ambayo huweza kutofautiana na hapo.
Mapenzi ni mfumo wenye kufuata taratibu maalumu ambazo zimewekwa na walengwa fulani kuendana na falsafa/mtazamo wanaouamini.
 
Kitu kingne vijana wanapenda Mijimama coz wanalelewa,kingne vijana wanapiga mti kisawasawa
 
Kitu kingne vijana wanapenda Mijimama coz wanalelewa,kingne vijana wanapiga mti kisawasawa

vijana wenyewe ndie nyie mumeishiwa nguvu, misumari legelege pumzi zero usharobaro tu ila game wanaremba badala ya kukanda kisawasawa.
Vijana ndio wanaopenda majimama ili walelewe hasa kiuchumi
 
vijana wenyewe ndie nyie mumeishiwa nguvu, misumari legelege pumzi zero usharobaro tu ila game wanaremba badala ya kukanda kisawasawa.
Vijana ndio wanaopenda majimama ili walelewe hasa kiuchumi

kama pumzi ni legelege huwa mnawatafuta wa nini?
 
ukweli ni kwamba wamama wanapenda misumari ya vijana,tena vijana wanaojituma kisawasawa.... me pi nimeshawaclick zaidi ya wanne nma mmoja wao tunafanya naye kazi pamoja ktk taasisi yetu. kingine ni kwamba wamama watu wazima hasa wale ambao ni updates wanavutia sana kuwapiga mashine coz wengi wao walishapoteza ujana wao so haina mambo ya kuchagua face or shape nk. wadada vijana mpaka awe mzuri,mrefu ana shape ndo uanze kumtokea its a wastage of time............ na pia ukitaka kupata wadada wazuri wakuone au wajue unapiga mamaza basi hapo na wenyewe wenajileta kiulaini sana!!!!!!!!!!!!!! hamna mambo ya fedha wala nini vijana wenzangu,tongozeni wamama afu pigeni kiukweli muone wadada wanavyopata wivu and then na wenyewe wanakuja baadae. me ninae mmoja,napigiaga kwangu au kwake,sometimes gesti yani poa tu. wadada pasua kichwa sana acha na wenyewe wapigwe na wababa..........
 
Hivi mkisema wamama watu wazima anaanzia umri gani, swali tu nijibiwe
 
Back
Top Bottom