firstcollina
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 349
- 21
Mtu usiye hata na chembe ya uzalendo katika kope za macho yako. Mwenye kuthubutu hata kuidanganya hadhira na jamii tena kwa HONGO ili apate kibali na haki ya kuwaibia wanyonge. Mpumbavu usiyejali hata utu na asili ya utu wa baba na babu zako. Muongo, Mnafiki, Mwoga hata kwa wageni wasio na hadhi ya daraja ulilonalo, Why should we call u our fellow Mtazania?
Nijuavyo mimi thamani ya mtu hutokana na matendo atendayo kwa haki ya walio wengi, sasa iko wapi thamani yako wewe unayejali tumbo lako na la watoto wako pekee?
Inauma sana kuwaona hawa walio na madaraka huku hawana hata chembe ya uzalendo na Taifa lao wala juu ya rasilimali za taifa. Walio tayari kuwapa wageni thamani ya utaifa kwa kupokea Senti a ubuyu.
Go to hell.....! Huu si upuuzi? Mtu unashabikia tena unakuwa tayari hata kuuza nchi nzima eti kwa kisingizio cha Uwekezaji, ni uwekezaji wa namna gani huu usiyo na mipaka, wala sheria ya ku-counter check the viability and monitoring of the agreements. Uwekezaji usio kupa fursa ya kuuliza muendendo chanya ama Hasi ni uwekezaji huu au ukoloni? Uwekezaji usiokupa fura ya maamuzi wewe mwenye mali bali yule mgeni....! Eheeeeh!! Who are you now, I will be very very wrong to call you Mtanzania.
Help me to stop these.......!!!! Fu*.../$#K!!