Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,275
- 1,655
huyo mwanamke anayekutwa na mwanaume jee?? anakuwa hajaolewa au ana ndoa na mumewe mwingine? akiachwa na mumewe utasema yeye ndiye mwanamke foolish aliyevunja nyumba na huyu aliyesamehe ndio mwerevu?..... Hebu niwaulize wanaume jambo fulani; mara ngapi wanaume wanafumaniwa kwamba wametembea na wanawake wengine huko nje. Ni nini kinatokeaaa?????????? Wanawake wanasamehe na ndoa inaendelea tena wanawake wanaficha hiyo inakuwa ni siri ya ndani. Je mwanaume akimfumania mke wake amatembea au hata kuhisia inakuwaje??????????????? ndoa huwa inaendelea??????????????????? kwa nini?????????? ....