ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 666
- 421
Kama demu ni bikira nitasubiri ndoa,kama alishatolewa na mimi nitatest kujua anafaa? kwa nini yulle mtu aliyemtoa bikra hakumuoa? so nitaprove anafaa au hafai by Testing!
Kwasababu ni hitaji la msingi.
mie NATHEPA kimya kimya kama nateleza vileRealy? Ukikuta kiwango down na umeshatambulishwa home inakuaje?
kimsingi si vizuri hasa kama unajua kuwa unajaribu uone kama anafaa.na pia tamaa si nzuri lakini hii hutokana na watu kupenda,NA KUTAMANI VYOTE PAMOJA. WATU WANAPOSHINDWAKUJIZIA NDO MWANZO WA KUANZA MAPENZI. KUDUMU KWA KWA WAPENZI NI TABIA ZA WUSOKA TNapenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.
Ushawahi kwenda kununua nguo ukachukua bila kuipima kama ni size yako????
Tunakoelekea wanakataa kutestiwa watakimbiwa sana
Niko na wewe hapo nakubaliana na wewe kabisa, na research nyingi zinaonyesha ukishi kihalali maisha yanakuwa mazuri na ukiishi kiharamu maisha yanakuwa mabaya.Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.
shame on all who test the thing before marriage