Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

Dr.Toy nilikuona na uka-comment kule kwenye thread ya DaJane,sasa kama sisi wanaume tunajiingiza hizo toys huku nyuma na tunatarajia kuoa kwa nini wadada wasitujaribu kama tunaweza k.u.s.i.m.a.m.i.s.h.a hata kwa dakika tano.
Mie sikubaliani na hiyo research
 
Eiyer hujaelewa nn? The problem is not a guarantee, bt to make love out of the marriage. Remember, tabia ni kama ngozi, ukicheza nayo, utakuwa nayo.
 
Tunaweza tukawa na idea nyingi za kujitetea na tukahsi zinatusaidia, but ukweli hautengenezwi na matakwa yetu. Umewahi kufikiria kama wote tungeacha kudo that b4 marriage, magonjwa ya zinaa na maadili ya jamii yetu yangekuwaje. Usijibu coz unajibu, bt try to think big.
 
Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.

Mkuu ningeomba utuweeke hapa hizo research zinazo onyesha mahusiano hayadumu ajili ya watu ku
Sex kabla ya Ndoa .

Mi nielewavyo mahusiano mengi huvunjika sababu
Watu hawaelewani, boring or no sex life , ku cheat ,
Na wale walio oa/olewa ajili ya $$$ zikikauka ndio
Hivyo tena.. Hiyo sababu uliyotoa mkuu Kwangu
Hai make sense Kabisa ...
 
Mboga kabla ya kufika mezani ni muhimu kuonja chumvi kwanza na kama imeiva vizuri.
 
Afrodenzi nitakupa that research, bt unajua kudo b4 marriage kunachochea namna gani watu kuwa na tabia za uasherati? That's y zamani walielewa that na waliipinga sana, fuatilia historia ya Waafrika juu ya ndoa, na vitabu vya dini.
 
Dahhhhh Samahani sana Dr.
Ila nielewavyo tabia ni kitu mtu anajifunza na kila
Kiumbe chini ya jua kina tabia tofauti .. Kwa hiyo
Tabia ya uasherati haziletwi na watu ambao wanefanya
Mapenzi Kabla ya Ndoa . Bali binaadamu yeyote Yule
Anaweza kifanya AMA kujifunza .

Mkuu kuna wengine kweli hawajawahi kufanya
Mapenzi Kabla ya Ndoa . Hao ndio balaa sasa wakianza
Kuonja asali halafu waingie darasa kidogo chuo kikuu "internet" wakutane na lecture wao " porn".. Daahhh
Hashikiki mtu hapo ..

Anyway Nachotakabkusema ni kwamba tabia za watu zinatofautiana na mazingira wanayoishi . Na tuache kusingiziana mambo yasiyo na tija.. Take care ta
 
Tunaweza tukawa na idea nyingi za kujitetea na tukahsi zinatusaidia, but ukweli hautengenezwi na matakwa yetu. Umewahi kufikiria kama wote tungeacha kudo that b4 marriage, magonjwa ya zinaa na maadili ya jamii yetu yangekuwaje. Usijibu coz unajibu, bt try to think big.

Nakubaliana na wewe 100%,na hata wanaokataa wanaelewa unacho maanisha,pia wanawake wangekuwa wanasema no nadhani ingesaidia sana kusubiri.
 
wengi wetu tunaoa miaka 15 au zaidi baada ya kukomaa(kubalehe)!sasa miaka yote hiyo tujikalie tu??????we unataka kesi za kubaka watoto na wanyama ziongezeke?
 
Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.

research ya nani? au ni hisia zako!!! af mapenzi iko wide saana jamaa , can u be specific coz lazima watu wafanye mapenzi kabla ya ndoa,,
 
hakuna wazazi hapa unataka mwanao pia afanyiwe test ka lo tuweni wazazi kama uzalendo nao umetupa mkono wapi busara na hekima na maadili alafu akipata ukimwi au mimba na akawa hajapita test unamfukuza na wote huku mnalilia tset b4 use mtalea watoto wasio na baba sana endeleheni kuleta mzaha.
 
Kuna member mmoja hapa alikuwa na signecha inasema kama sex ni kwa ajili ya ndoa kwa nini tunabalehe kabla ya ndoa? Na hapo ndio tatizo linapoanzia maana sidhani kama kuna mwanadamu ambaye amewahi kubalehe wakati ana uwezo wa kuhimili mikiki mikiki ya ndoa.Na ukweli unabaki palepale kuwa ni wanadamu wachache sana wenye uvumilivu wa hisia za mwili wakisubiri kuoa au kuolewa na kwa mtazamo wangu naona kuwa hilo ndilo linalochangia kwa kiasi kikubwa kwa wengi wetu kujikuta tunashiriki tendo hilo kabla hatujaruhusiwa.....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom