Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

kibinadam,mko sahihi bt kiimani hapana!!lkn kiukweli hutakiwi kufanya b4 ndoa hayo mambo ya kutest ni kwamba wa2 wamehalalisha dhambi!ila lyf styl na mmomonyoko wa maadili ndo umetufikisha hapa!
..lkn pia,kwa upande wa imani kila kitu kinawezekana!km m2 alishafanya huko nyuma,na akaamua kubadirika inawezekana sana 2,na Mungu akakupa mume/mke aliyeamua kubadirisha lyf styl mkaoana bila kufanya sex,na ndoa yenu ikawa poa.
Kwa Yesu kila ki2 kinawezekana!kwa waaminio!
Kuanza upya c ujinga
 
Mh, kwani we mtoa mada una marital status gani? min naona majibu unayo, kama uko single subiri uoe au kuolewa ndipo uanze kula tunda, lkn baada ya hapo usilete tena thread ya kuomba msaada tukusaidie mawazo ya ulichokutana nacho. na kumbuka baada ya ndoa hakuna kuachana.
ha ha ha..., labda jamaa ni muislam. akikuta ni bwawa anaoa mwingine. acha sis tu-shake before use.
 
Back
Top Bottom