Mambo ya kuhakiki ubora zaidi (Tbs).lol!
Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.
Dahhhhh Samahani sana Dr.Afrodenzi nitakupa that research, bt unajua kudo b4 marriage kunachochea namna gani watu kuwa na tabia za uasherati? That's y zamani walielewa that na waliipinga sana, fuatilia historia ya Waafrika juu ya ndoa, na vitabu vya dini.
Tunaweza tukawa na idea nyingi za kujitetea na tukahsi zinatusaidia, but ukweli hautengenezwi na matakwa yetu. Umewahi kufikiria kama wote tungeacha kudo that b4 marriage, magonjwa ya zinaa na maadili ya jamii yetu yangekuwaje. Usijibu coz unajibu, bt try to think big.
Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Researh zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.
test before eat
Realy? Ukikuta kiwango down na umeshatambulishwa home inakuaje?
me like this..teh teh!