radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,196
acha kudanganya watu, wewe hujui hata maana ya mwanajeshi, soma ibara ya 147(4) ya katiba ya Tanzania 1977, mwanajeshi maana yake ni askari wa majeshi yetu yote yaani polisi,magereza,jeshi la ulinzi, na jeshi la kujenga taifa. na pia unaposema JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA maana yake ni pamoja na polisi, magereza, jeshi la kudumu, maarufu hujiita jwtz kitu ambacho si sahihi kisheria, kwani wenyewe jina lao halisi ni REGULAR FORCE, huwezi kuwa na kitu TPDF kwa kuwa tenga polisi na magereza, (UNAPOSEMA TPDF NI PAMOJA NA POLISI+MAGEREZA) nenda kasome sheria ya ulinzi wa taifa (NATIONAL DEFENCE ACT 1966) Kifungu cha 10(1)a-d , pia soma sheria ya majeshi ya akiba ya mwaka 1965 part iii, (RESERVE FORCES ACT), Pia kuna kasumba ya kutamba kwamba kombati za mabakabaka zina maanisha eti ni jeshi kamili, hii kasumba haina ukweli tena inaonesha weledi mfinyu ktk masuala ya kijeshi, nguo zile za mabakabaka ni CAMOUFLAGE HASA UTAKAPOKUA UNAPIGANA MAENEO YENYE UOTO UNAO LINGANA NA VAZI HILO, (KIJANI KIBICHI CHENYE MCHANGANYIKO), HIYO ITAKUSAIDIA USISHAMBULIWE KIRAHISI NA ADUI, lakini kwa ujinga wetu tuna amini kombati za baka ndiyo uanajeshi kamili. huwezi kwenda pigana jangwani then ukavaa kombati za bakabaka , mtapigwa mchana kweupe, kwani itakuwa ni rahisi kwa adui kuwagundua kutokana na kwamba jangwani huwa akuna uoto wa kijani kibichi, kombati sahihi kwa jangwa itategemea na nature ya jangwa lenyewe na lazima itakuwa kaki, n.k
Yametokea wapi hayo? Hapa inshu ni escot manguo,mapigano masheria mi ulipokuja na vifungu nkajua uhalali wa escot kumbe unaelezea masifa ya majeshi na uwepo wake ss tunataka escot tu hayo mengine watajua wao wataka sifa ya nani mkubwa