Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

Nachotaka kusema ni kuwa mimi kama NK siwezi kupata stress kwa kuchangia uzi wa mtu ambaye yuko stressed.

Unlike kwenye jukwaa la siasa, nikifuatilia siku mbili nakuwa na hasira kwa nini nimekuwa mtanzania; kwa kuwa issues za hii nchi zinanihusu na zinanikatisha tamaa.

Mkuu NK nitakupa mfano mmoja wa hapa jamvini ambayo nadhani naukumbuka vizuri. Kuna njemba mmoja alikuwa mwanachama hapa siku hizi simuoni si ajabu kabadilisha ID yake. Huyu na mkewe wote walikuwa wana laptop zao. Njemba kakaa kipande hii na Mama chanja kakaa kipande ile kila mtu anafanya vitu vyake kwenye LT. Siku moja mama akatoka pale living room kwa dakika chache na kuacha LT ikiwa wazi. Njemba ikaona ichungulie mwenzie anafanya nini. Akaona amelog hapa jamvini, alikuwa hajui mwenzie kama ni mwanachama hapa hivyo akagundua na ID yake. Akaamua kuminya hadi nafasi ilipomruhusu nadhani kesho yake akataka aangalie michango ya mwenzie. Akagundua mwenzie michango yake mingi hapa ilikuwa ni ya raha ya kuliwa Tigo. Jamaa alichanganyikiwa sana maana hawakuwahi hata siku moja kuzungumza mambo ya Tigo na mkewe, sasa kama anasifia utamu wa kuliwa Tigo je kaujulia wapi? na ni nani anamla Tigo? Jamaa akaandika hapa huku akidai kachanganyikiwa kupita kiasi hajui hata pa kuanzia mjadala huo mzito na mkewe kuhusu mambo ya Tigo. Kama nilivyosema huyo jamaa sijamuona tena au aliamua kudabilisha ID.

Na kwa maoni yangu nadhani haya maswali mengi yanayoulizwa hapa asilimia kubwa yanawahusu waulizaji ila wanaandika kuonyesha kama wanaandika kwa niaba ya 3rd party.

  • Thanks
Reactions: BAK
Nachotaka kusema ni kuwa mimi kama NK siwezi kupata stress kwa kuchangia uzi wa mtu ambaye yuko stressed.

Unlike kwenye jukwaa la siasa, nikifuatilia siku mbili nakuwa na hasira kwa nini nimekuwa mtanzania; kwa kuwa issues za hii nchi zinanihusu na zinanikatisha tamaa.

NK hili jukwaa nalo laweza kuwa stressful kwa baadhi ya watu. We unadhani hizi mada zinazoletwa humu ni mchezo?Watu kibao wanapokua wanashabikia infidelity na mambo kama hayo inafanya wafikirie jamii inayowazunguka ikoje. Wale wasioentertain infidelity wanajiuliza kama wapo watu wanaofaa kuaminika out there. . . kama nao watabahatika kupata mmoja wao. Wale wenye mahusiani wanaweza jikuta wakijiuliza "je mwenzangu nae ananiona/chukulia" kama fulani anavyomwelezea mwenzi wake? Je kama ndio yeye?

It gives people a lot to think about. . . and that can be stressful at times.
 
You are perspicaciously on point. Daddy reared you well!
 
leo napenda kujua kwanini watu huwa wanacheat wenzi wao? na je kwanini cheating imetoholewa kuwa kitu cha kawaida kabisa katika maisha ya siku hizi kiasi kwamba watu kama @asprin na @darkcity wanasema ni inevitable?
 
Watu wan-cheat ili kujifariji endapo mambo yakibadilika gafla!

kwa mwanaume, mf. mimi naona kama nikiwa na wapenzi kama wa3 ndio inakuwa vizuri yoyote akizingua na-shift to substitute!
 
Heeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhh,

Vipi tena kajukuu?

Una mpango wa kumruhusu shetani akupitie walau mara moja??

Babu DC!!

sina maana hiyo ila nataka kujua kwanini manake leo nilikaa mahali watu fulan wakaelezea as if ni kitu klicho halalishwa kabisa sasa nataka kujua why this?
 
Cheating si kitu ya lazima

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

sasa kwanini maisha ya siku hizi yamehalilisha kias kwamba mtu anadiriki kusema kabisa unaanguka dhambii kisha unajifuta na kusonga mbele?
 
mmmh, siamini katika cheating kabisa, na mtu akinicheat namUUA kabisa. Agggrrrrrrr

Huo ni ubinafsi tu wenu kina dada wa siku hizi (kugoma kuolewa uke wenza kama bibi zenu zamani) otherwise kusingekuwa na sababu ya mwanaume ku-cheat! Sitaki na siwezi kuzungumzia sababu za kina dada ku-cheat maana sizijui!

Btw: Wewe Kongosho, tena nina hasira na wewe mpaka basi! Ulikuwa unafanya nini siku zote hizo kwa Bishanga kama. sio kuni-cheat?
 
Watu wan-cheat ili kujifariji endapo mambo yakibadilika gafla!

kwa mwanaume, mf. mimi naona kama nikiwa na wapenzi kama wa3 ndio inakuwa vizuri yoyote akizingua na-shift to substitute!

kwa hiyo wewe wataka faraja je wadhani wa3 watakupa faraja uitakayo?
 
Huo ni ubinafsi tu wenu kina dada wa siku hizi (kugoma kuolewa uke wenza kama bibi zenu zamani) otherwise kusingekuwa na sababu ya mwanaume ku-cheat! Sitaki na siwezi kuzungumzia sababu za kina dada ku-cheat maana sizijui!

Btw: Wewe Kongosho, tena nina hasira na wewe mpaka basi! Ulikuwa unafanya nini siku zote hizo kwa Bishanga kama. sio kuni-cheat?

jamani huu sio uwanja wa mapambano mjue................
haya unasema tungekubali mitala je wadhani wenye mitala hawacheat?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom