Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Midazolam

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
806
1,337
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta.

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
 
Picha ya mkeo
Picha Tena? Hii hapa
20220730_132953.jpg
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi,nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani,mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila Moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mi nimemuacha kama miaka mitano ki umri.Tabia yake na mitazamo yake ni vitu
Acha ungese wewe ukamvunje mwanaume mwenzio mikono na miguu eti kisa mbususu ya mkeo.
🤣🤣🤣🤣 Kweli hamna wanaume duniani eti nampenda mke wangu ...bro mkeeo anaweza kuja kukupiga tukio ukashangaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom