Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

Te amounamaanisha nini ? Kama unataka kumaanisha unawapenda umekosea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

wamekua sasa, washaacha! saa hizi tu hadi gari liwake inabidi wasukume posta hadi mbagala. waliosema aliye juu mngoje chini unadhani walikuwa wapuuzi? lol,ngoja warudi,hehehe. hongera kwa wake zao.

Jamani wewe binti lol.....umenichekesha aisee! Hili jibu nimelipenda!

BTW: usikate rasta (dredi) zako, ujue zinasaidia kuongeza fikira!

na mafuta haya ya ngeleja ya kuchakachua, na bado. soon magari yata-paki! hehehe!

hahah hahaha hahahha yaaani nimecheka sana.... Posta hadi Mbagala... Na bado watafika hadi Rufiji na bado gari isiwake.

hehehe,hawajaamka huko waje kurusha mawe. ganja ndo inaongeza akili banaa, ila nadhani zimekatiwa rufaa mno.ngoja nizivutie kasi kwanza,thanks mamii!

Jamani wewe binti lol.....umenichekesha aisee! Hili jibu nimelipenda!

BTW: usikate rasta (dredi) zako, ujue zinasaidia kuongeza fikira!

hehehe,hawajaamka huko waje kurusha mawe. ganja ndo inaongeza akili banaa, ila nadhani zimekatiwa rufaa mno.ngoja nizivutie kasi kwanza,thanks mamii!

Ganja bila hizo marley ina retard ukuaji wa ubongo, usije kusema sikukuonya....

Hehee utakuwa huwezi kumwaga pwenti kwenye masredi ya bujibuji!

Kwahiyo unachotaka haswa ni nini?!Waendelee kuleta thread zinazoendeleza na kukomaza infidelity!?

Kumekuwa na hoja mbali mabali kuhusu marital infidelity wengine tukipinga na wengine kutetea na pengine hata kufikia kutoa guidelines ya jinsi ya kumcheat mkeo/mumeo/mpenzio. Huwa najiuliza kuwa hakuna binadamu hata mmoja ambaye yeye anapenda kufanyiwa hivi, Je kwa nini sasa mtu unaendeleza tabia hii hali wewe mwenyewe hupendi kufanyiwa mchezo huu?

Kuna uwezekano wa wana JF walio wengi ni infidelists?

heri mimi niko peke yangu swezi kujicheat mwenyewe wazoefu waseme

Haiishi hapa kwasababu imetawala huko mitaani.

HP hujawahi kusikia msemo wa "mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu" ?Juzi tu niliandika mahali jinsi ambavyo cheaters hua wanaelezea kutokua kwao waaminifu kwa mbwembwe ila ikitokea akagundua mwenzake nae anafuata njia zile zile anarudi hapa kulalamika. Wao wanapenda kwafanyia wenzao hivyo ila hawapendi kufanyiwa hivyo. . . kwa maananyingine ni wabinafsi. Yani tangu wakitoka wanajifikiria wao tu. . . hisia za wenzi wao hawazitilii maanani. . . mpaka wanapogundua wenzi wao nao ni wale wale bado wanajifikiria wenyewe maana wataishia kukasirika wao kua cheated bila kujali yeye ndie aliefungua huo mlango.

Kuhusu wanaJF wengi kuwa kwenye kundi la hao cheaters siwezi kubali au kataa kwa uhakika maana wengine wanasema wengine wanapita tu kimya kimya kwahiyo sio rahisi kujua ni kwa kiasi gani memberwa JF ni washiriki. Besides... wengine hua wanaongea tu kufurahisha jamvi na kutafuta sifa japo inreality sivyo walivyo.

I love you gafla Smile

funnysmiley48.gif

Il Gambino.

Haiishi hapa kwasababu imetawala huko mitaani.HP hujawahi kusikia msemo wa "mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu" ?Juzi tu niliandika mahali jinsi ambavyo cheaters hua wanaelezea kutokua kwao waaminifu kwa mbwembwe ila ikitokea akagundua mwenzake nae anafuata njia zile zile anarudi hapa kulalamika. Wao wanapenda kwafanyia wenzao hivyo ila hawapendi kufanyiwa hivyo. . . kwa maananyingine ni wabinafsi. Yani tangu wakitoka wanajifikiria wao tu. . . hisia za wenzi wao hawazitilii maanani. . . mpaka wanapogundua wenzi wao nao ni wale wale bado wanajifikiria wenyewe maana wataishia kukasirika wao kua cheated bila kujali yeye ndie aliefungua huo mlango.Kuhusu wanaJF wengi kuwa kwenye kundi la hao cheaters siwezi kubali au kataa kwa uhakika maana wengine wanasema wengine wanapita tu kimya kimya kwahiyo sio rahisi kujua ni kwa kiasi gani memberwa JF ni washiriki. Besides... wengine hua wanaongea tu kufurahisha jamvi na kutafuta sifa japo inreality sivyo walivyo.
hata sielewi watu huwa wanacheat nini? kwanza utajuaje mtu anacheat maana kama upo kwenye mahusiano na mtu ina maana unamfeel kama unamfeel tena mwingine ni juu yakowala hawezi kujua so kwangu mimi naona hamna cheating kwa mwenzako kuna self cheating

hata sielewi watu huwa wanacheat nini? kwanza utajuaje mtu anacheat maana kama upo kwenye mahusiano na mtu ina maana unamfeel kama unamfeel tena mwingine ni juu yakowala hawezi kujua so kwangu mimi naona hamna cheating kwa mwenzako kuna self cheating
Smiley huwezi ku self-cheat unless ulijiwekea agano kwamba hutofanya hivyo. Kucheat ukiwa kwenye mahusiano na mtu mwingine maana yake umevunja mliyokubaliana (ikiwa mmekubaliana kwamba mko kwenye monogamy kinda relationship) hata kama hajui umefanya hivyo. Kutoka nje ya mahusiano yako sio kucheat ikiwa tu hamjakubaliana mko exclusive au mmekubaliana kuwa na open-relationship.

Siku zote huwa mkuki ni kwa nguruwe,Some time na jamii nayo inavyolichukulia swala hili ndio inwapa kichwa sana hawa wanaochiti,Tunaona mifano mingi sana huku mitaana akifumaniwa mwanaume anaonekana kidume na mkewe analaumiwa hamridhishi mmewe,Akifumaniwa mwanamke anaonekana kicheche na hafai kuwa mke,Ninachoona hapa hili swala ni la mtu binafsi kuamua kutokufanyia hivi mwenzie otherwise ni janga la kiduania!

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom