Kwanini Hawaoani Hadi WAMEONJA?

I am still waiting!
but there is this chick iam planning to date in a near future, i will definately Onja......tired of waiting bana.

Hii kitu bado new kabisa.......i need to use it now!!

mseninarist....oooops!!!

umejuaje bado mpya na hujaonja??
 
mseninarist....oooops!!!

umejuaje bado mpya na hujaonja??
kwani watu wakionja huwa hawajui? mi najua sijaonja, hata kwa bahati mbaya!!
Lakini natafuta mwenye experience ili ani-orient uzuri
 
Bigirita is not in love
JF Senior Expert Member

Dah mpwa bwana. ckuwezi,au unataka kudownload tu?[/QUOTE]
hahahahaaa!! hapana mpwa! unajua masista wakali sana......na kula nje ya banda siwezi. hadi hapo atakapotokea wakunikubali.kilemba kivuliwe.
 
Join Date: Thu Jul 2009
Location: Church
Posts: 1,993
Thanks: 347
Thanked 856 Times in 583 Posts
Rep Power: 24

Nisijekuwa nafikiri kilemba kiko mbali kumbe kipo hapahapa, mm tu ndo sikioni!

ngoja ni-google.........kanisa gani tena?
 
watakatifu wa siku za mwisho heheeeee
 
Jamani sio wote wanafanya haya mambo kabla ya ndoa. Pia sidhani kama ni sahihi kusema waschana wanaosoma chuo kikuu ni malaya 'is too theoretical" sio reality. Mm ni shahidi na niliweza kusubiri hadi degree ya pili nilipoingia kwenye ndoa. Nadhani KUTOKUMCHA MUNGU KWA MTU BINAFSI kunachangia sana mtu ku-generalize issues na kuhalalisha mambo ambayo si halali. Tukimheshimu Mungu tutajiheshimu na sisis wenyewe na tutasubiri TU.
 
wewe ni she au he?

huyo mwenza alikuwa hajawahi kuonja/kuonjwa?
Uli-mgoogle kiaje? au aliku-google vipi mpaka akakuta sealed?
 
Duh! sasa hapo patakuwa pagumu....basi nitakuwa namngoja pale Achimwene bar karibu na NMB Magomeni. kanisa lao si lipo pale mwembe chai??

lipo morocco hili
hahaa lile ni kanisa la Mungu,
 
Tatizo la wadada pia ni kwamba huwa hawasemi "sawa" mpaka wameonjwa! Na wakisema basi huwa mrahisi sana kukugeuka. Anakuwa kama "sitaki-nataka". Akishaonjwa, basi ndio ataweza kukuambia kama anakupenda. Hata pipi hufungwa na transparent materials, ili kuona kama ni pipi kweli.
 
now days msichana mpaka anafika first year chuo anakuwa ashatumiwa sana,may be up to 20+sex partners,na uwenda akawa ameshatoa mimba zaidi ya 3.so lazima utest si unajua ndoa za kikiristo,ukioa tasa utajiju..so lazima utest.
pia mabinti ni malaya sana asa awa wa vyuo...so watu wanaogopa kuoa wenye mabwawa

mkuu hadi chuo kikuu 20tuuu!!!??? huyo anafaaaa mzee!! wengine wakifika chuo kikuu wanakuwa na uwezo wa kujaza mabasi matatu ya Scandinavia kwa madume yaliyopita..tena level seat!
 
Mmh wachangiaji wengi hamajatenda haki kabisa..Mmejaa mfumo dume tu..Mbona hamuongelei kwa uapnde wa wanaume,kwani wanaume wao hawaonjwi?
 
Back
Top Bottom