Kwanini Hawaoani Hadi WAMEONJA?

mhh kuuziwa mbuzi kwenye gunia yale yale ya kununua simu ubungo!

we mdada ni hatari sana. jitahidi kubadilisha maisha yako, ondoa fikra za ngono kichwani, weka fikra za kimungu ndani yako, kwasababu vile mtu anavyofikiri na ku upload vitu mbalimbali kichwani mwake, ndivyo hivyo atakavyokuwa. mfano, mtu anayependa sana ngono, anayependa sana ponography, anayependa sana kuongelea ngonongono tu muda wote, atakuwa mtu wa ngono maisha yake, tembea yake itakuwa ya kingono, ongea yake itakuwa ya kingono, mwisho ataangukia kwenye ngono ya moto wa jehanam. naongea hivi kwasababu nakufahamu, ushauri wa bure, mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla nafasi hiyo uliyonayo haijaondoshwa kufumba na kufumbua, hautapata nafasi ingine tena, utalia na kusaga meno. Mungu akusaidie.NB; this is specific to you, since i know you. haiwahusu wengine. asante.
 
Kuonja sio issue,
when it come to ndoa, nina amini, na wengine mtakuwa mashahidi, utamu au ukawaida au u-tight au u-loose, au unene, urefu, udogo haviwi vigezo.

Nani alishaoa au kuolewa kwa sababu ameonja akakuta ni tamu sana?
Umenena vizuri kabisa nami naongeza. Ni nani aliyeonja akaacha kuoa/kuolewa kwa sababu si tamu? Pili (hili linahitaji honesty) nini kinafanya watu kuoana ni utamu wa nanilii?
 
kusema ukweli, huko mnakosema ni kuonja, ni dhambi, ni uasherati na ni dhambi inayoua roho. enyi mnaosikia/soma hii thread, nendeni muwaambie na wengine kuwa hii ni dhambi, perios. tuwashauri vijana wenzetu kuacha hiyo kitu. uasherati hauna excuse.hakuna cha kusema mtu anauziwa mbuzi kwenye gunia au vipi. ni dhambi. bora uuziwe mbuzi kwenye gunia kuliko kuingia jehanam.
 
kwani we unataka wasionje? unataka watu wauziwe mbuzi kwenye gunia? Siku hizi kuna masista duu wazuuuri lakini huko chini ni bonge la bwawa nani anataka mambo hayo?
 
Inahitaji wote wawili mkubaliane, Kama partiner wako haamini katika hilo kamwe huwezi kutoka! Kimaadili si jambo linalokubarika hata mbele ya mwenyezi Mungu! Kinafanyika siku hizi naweza kusema tumepotoka, na kama ukiweza kuvumilia, umefanya jambo jema, na kama ukishindwa basi it is worth that you tried
 
we mdada ni hatari sana. jitahidi kubadilisha maisha yako, ondoa fikra za ngono kichwani, weka fikra za kimungu ndani yako, kwasababu vile mtu anavyofikiri na ku upload vitu mbalimbali kichwani mwake, ndivyo hivyo atakavyokuwa. mfano, mtu anayependa sana ngono, anayependa sana ponography, anayependa sana kuongelea ngonongono tu muda wote, atakuwa mtu wa ngono maisha yake, tembea yake itakuwa ya kingono, ongea yake itakuwa ya kingono, mwisho ataangukia kwenye ngono ya moto wa jehanam. naongea hivi kwasababu nakufahamu, ushauri wa bure, mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla nafasi hiyo uliyonayo haijaondoshwa kufumba na kufumbua, hautapata nafasi ingine tena, utalia na kusaga meno. Mungu akusaidie.NB; this is specific to you, since i know you. haiwahusu wengine. asante.
Haya mambo ya kutishana yameanza lini JF?
 
kusema ukweli, huko mnakosema ni kuonja, ni dhambi, ni uasherati na ni dhambi inayoua roho. enyi mnaosikia/soma hii thread, nendeni muwaambie na wengine kuwa hii ni dhambi, perios. tuwashauri vijana wenzetu kuacha hiyo kitu. uasherati hauna excuse.hakuna cha kusema mtu anauziwa mbuzi kwenye gunia au vipi. ni dhambi. bora uuziwe mbuzi kwenye gunia kuliko kuingia jehanam.

Ubarikiwe na Bwana mwana wa mungu
Asante
 
we mdada ni hatari sana. jitahidi kubadilisha maisha yako, ondoa fikra za ngono kichwani, weka fikra za kimungu ndani yako, kwasababu vile mtu anavyofikiri na ku upload vitu mbalimbali kichwani mwake, ndivyo hivyo atakavyokuwa. mfano, mtu anayependa sana ngono, anayependa sana ponography, anayependa sana kuongelea ngonongono tu muda wote, atakuwa mtu wa ngono maisha yake, tembea yake itakuwa ya kingono, ongea yake itakuwa ya kingono, mwisho ataangukia kwenye ngono ya moto wa jehanam. naongea hivi kwasababu nakufahamu, ushauri wa bure, mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla nafasi hiyo uliyonayo haijaondoshwa kufumba na kufumbua, hautapata nafasi ingine tena, utalia na kusaga meno. Mungu akusaidie.NB; this is specific to you, since i know you. haiwahusu wengine. asante.

kwa hiyo sisi wengine hatutakiwi kuongeza wala kupunguza chochote???
 
Unajifanya hujui? Ilikuwaje jana kwa mara ya kwanza ukatoroka kazini?
Tell me it is not true, kwa sababu huyu alipotea ghafla sana jana...............na wewe pia, kwa wakati mmoja.

watu tunakutana humu, nyie mnaenda kukutania sinza kwenye nyumba za nanihii!!
 
we mdada ni hatari sana. jitahidi kubadilisha maisha yako, ondoa fikra za ngono kichwani, weka fikra za kimungu ndani yako, kwasababu vile mtu anavyofikiri na ku upload vitu mbalimbali kichwani mwake, ndivyo hivyo atakavyokuwa. mfano, mtu anayependa sana ngono, anayependa sana ponography, anayependa sana kuongelea ngonongono tu muda wote, atakuwa mtu wa ngono maisha yake, tembea yake itakuwa ya kingono, ongea yake itakuwa ya kingono, mwisho ataangukia kwenye ngono ya moto wa jehanam. naongea hivi kwasababu nakufahamu, ushauri wa bure, mkumbuke muumba wako siku za ujana wako, kabla nafasi hiyo uliyonayo haijaondoshwa kufumba na kufumbua, hautapata nafasi ingine tena, utalia na kusaga meno. Mungu akusaidie.NB; this is specific to you, since i know you. haiwahusu wengine. asante.
Holier than thou sio?
LOW!! wewe ni nani hata umfahamu binadamu mwenzako? mtu huongea na Mungu wake sirini, unajuaje file la Maria Rosa kwa Mungu? au wewe ndo unamshikia Mungu Mafile ya binadamu.
 
Tell me it is not true, kwa sababu huyu alipotea ghafla sana jana...............na wewe pia, kwa wakati mmoja.

watu tunakutana humu, nyie mnaenda kukutania sinza kwenye nyumba za nanihii!!

unachoinsinyureti hapo ni abomination
Iribini biggy wangu sema yeye alienda kukutana na kina Eliza sijui wapi vile......
 
Holier than thou sio?
LOW!! wewe ni nani hata umfahamu binadamu mwenzako? mtu huongea na Mungu wake sirini, unajuaje file la Maria Rosa kwa Mungu? au wewe ndo unamshikia Mungu Mafile ya binadamu.

si wote waitao Rabi Rabi watauona ufalme wa mbinguni though.........
 
of-course I did wait and it worth my while...how about u?
I am still waiting!
but there is this chick iam planning to date in a near future, i will definately Onja......tired of waiting bana.

Hii kitu bado new kabisa.......i need to use it now!!
 
sasa kama hivyo ndo kuonjana nakulana ndo inakuwaje... haki ya nani nyie mnaharibu lugha...
 
unachoinsinyureti hapo ni abomination
Iribini biggy wangu sema yeye alienda kukutana na kina Eliza sijui wapi vile......

hivi kuna waungwana wanahisi nimekufa wameanza kurithi mirathi na maiwaifu eenh?
 
cutie kitty wangu is back..................

hi sweetpie, rudi home basi kwani hazijatosha tuuu??

mimi nikiwa na wewe ni starehe tosha ujue sihitaji chochoe ila wewe tuuu!!!
 
I am still waiting!
but there is this chick iam planning to date in a near future, i will definately Onja......tired of waiting bana.

Hii kitu bado new kabisa.......i need to use it now!!
and all this time i thought u r a she...pardon me bigirita there is no any gender indicators in here...

haya bana kamle tuu..have fun but dont forget protection...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom