Kwanini Hawaoani Hadi WAMEONJA?

dah, kuna demu fulani yeye hakuonjwa basi baada ya ndoa alijuta sana kwani jamaa yake alikuwa na kibamia na game haijui! demu aliamua bora awe anachapika tu nje!
 
hahahaa............. haya bwana............. hiyo falsafa mpya mie siiwezi................

inaonekana huko beijing mlidanganyana sana............................ hahahah..................
Akili mzima wewe? umepotea wapi.. hows pearl? naona umemfungia we are not in april are we now?
 
Akili mzima wewe? umepotea wapi.. hows pearl? naona umemfungia we are not in april are we now?

hahaha... mpendwa, nipo tu, sometimes ukiona mambo yanazidi unakuwa unachungulia tu na ukichanganya hizi kwikwi tulizonazo JF ndio kama hivo tena............. pearl mzima kabisa........hahah, sijamfungia bana, mtu mzima unaweza kumfungia?............ hiyo april yenyewe nashangaa inakawia kweli haifiki............... na mambo yenyewe haya ya kuonja sijui yatatutoa vipi???...............hahaha...........

kacheki nimekupiga dongo kwenye thread moja................
 
jaman jaman kuonja kuna umaana wake kwani kwa kufanya hivyo unajua mapungufu na ustrong wake ktk mapenzi si mnajua tena nowadyz wakaka weng wanamatatizo ya ngv za kiume na pale kansn unapoapa je utakuwa naye ktk hari zote kuna mambo mengine huwezi kuvumilia
 
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa
Afanya jambo litakalomwangamiza nafis yake
atapata jeraha na kuvunjiwa heshima
Wala fedheha yake haitafutika
Mithali 6:32-33
 
Back
Top Bottom