Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu?

Eti unaanza kuandika Qurani mwenyewe? Surat 33,26 haitaji Wayahudi - unajaribu kudanganya? Wanaotajwa ni ahl-al-kitab, tena inajadiliana mambo yaliyopita haisemi juu ya wakati ujao hakuna amri.

Koran [33:26] He also brought down their allies among the people of the scripture from their secure positions, and threw terror into their hearts. Some of them you killed, and some you took captive.

Per your definition, who are these people of the scripture?
 
WEWE ulileta nukuu iliyobadilika maneno halisi. Aibu yako! Hii aya haiongezi kitu juu ya yale ulyotanguliza.

Sasa jubu swali unayokimbia:
Bado unapiga kelele ili uepukane swali langu nyepesi saaana (sasa narudia mara ya 4? 5?):
Usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso nimekupa juu.
 
MAXSHIMBA:
Is allah, the God you believe in. The truth is that Islam on one side and Christian(and Jews) on the other side do not worship the same God.

mwanadamu anaamini kuwa kuna kiumbe au nafsi iliyo juu yake iliyo na nguvu kuliko yeye---it's universal name is GOD the God that Christians and Jews Worship is Jehovah Elohim in all languages of the world. Allah was the moon god worship in acient persian - waamedi na waajemi. During Koresh period. and quranic language is based on the languages spoken that period. the whole thing about islam is all cultic, fictious and mystic and big lie. Ndiyo maana each scholr of Islam anatamani kunywa damu ya mtu. cause their God has no love among all his 99 attributes.
IF YOU MISS LOVE IN YOU, IT MEANS YOUR ARE SATAN HIMSELF

Nafikiri umeeleweka Mkuu.

Furthermore, allah is anti-God. Ndio maana Koran inasema there is no god.
 
Sasa jubu swali unayokimbia:
Bado unapiga kelele ili uepukane swali langu nyepesi saaana (sasa narudia mara ya 4? 5?):
Usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso nimekupa juu.

Your statement/claims lacks merits and needs additional citations for verification.
 
Your statement/claims lacks merits and needs additional citations for verification.

Rafiki unapiga chenga.
A) Je inawezekana unapiga makelele hapa ingawa hujui kitu chochote kuhusu historia isipikokuwa websites zako za kushambulia Uislamu unaponakili??

B) au unajua lakini huna nguvu ya kukiri hapa umekosea????

Sasa usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso nimekupa tayari.

Lakini naweza kurudia:
Kama ujui historia hapa muhtasari kidogo:

Jews were frequently massacred and exiled from various European countries. The persecution hit its first peak during the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Crusades"]Crusades[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Crusades"]Crusades[/ame]
. In the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/First_Crusade"]First Crusade[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/First_Crusade"]First_Crusade[/ame]
(1096) flourishing communities on the Rhine and the Danube were utterly destroyed; see German Crusade, 1096. In the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Second_Crusade"]Second Crusade[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Second_Crusade"]Second_Crusade[/ame]
(1147) the Jews in France were subject to frequent massacres. The Jews were also subjected to attacks by the
Shepherds' Crusades of 1251 and 1320. The Crusades were followed by many expulsions, including in, 1290, the banishing of all English Jews; in 1396, 100,000 Jews were moved from France; and, in 1421 thousands were moved from Austria. Many of the moved Jews fled to Poland.[2]
As the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Black_Death"]Black Death[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Black_Death"]Black_Death[/ame]
epidemics devastated Europe in the mid-14th century, annihilating more than a half of the population, Jews were taken as scapegoats. Rumors spread that they caused the disease by deliberately [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Well_poisoning"]poisoning wells[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Well_poisoning"]Well_poisoning[/ame]
. Hundreds of Jewish communities were destroyed by violence. Although the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Pope_Clement_VI"]Pope Clement VI[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Pope_Clement_VI"]Pope_Clement_VI[/ame]
tried to protect them by the July 6, 1348 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Papal_bull"]papal bull[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Papal_bull"]Papal_bull[/ame]
and another 1348 bull, several months later, 900 Jews were burnt alive in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Strasbourg"]Strasbourg[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Strasbourg"]Strasbourg[/ame]
, where the plague hadn't yet affected the city.[3]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jews_in_India"]Jews in India[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jews_in_India"]Jews_in_India[/ame]
faced no persecution from Hindus from the time they migrated to India, but they were subjugated by Christian missionaries during the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Goa_Inquisition"]Goa Inquisition[/ame]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Goa_Inquisition"]Goa_Inquisition[/ame]
from the year 1552.
([ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Persecution_of_Jews[/ame]).
Kilele ya kusikitisha ilikuwa maangamizi ya milioni 6 Wayahudi wa Ulaya wakati wa 1941-45 yaliyotekelezwa na Wakristo wengi! Kulikuwa na mateso mabaya ya Wayahudi kati ya Waislamu pia lakini hakuna vile kama kati ya Wakristo ambako waliangamizwa kwenye ngazi za kitaifa au kufukuzwa kutoka nchi yote mara kadhaa.
 
Rafiki unapiga chenga.
A) Je inawezekana unapiga makelele hapa ingawa hujui kitu chochote kuhusu historia isipikokuwa websites zako za kushambulia Uislamu unaponakili??

B) au unajua lakini huna nguvu ya kukiri hapa umekosea????

Sasa usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso nimekupa tayari.

Lakini naweza kurudia:
Kama ujui historia hapa muhtasari kidogo:

Jews were frequently massacred and exiled from various European countries. The persecution hit its first peak during the Crusades
Crusades
. In the First Crusade
First_Crusade
(1096) flourishing communities on the Rhine and the Danube were utterly destroyed; see German Crusade, 1096. In the Second Crusade
Second_Crusade
(1147) the Jews in France were subject to frequent massacres. The Jews were also subjected to attacks by the Shepherds' Crusades of 1251 and 1320. The Crusades were followed by many expulsions, including in, 1290, the banishing of all English Jews; in 1396, 100,000 Jews were moved from France; and, in 1421 thousands were moved from Austria. Many of the moved Jews fled to Poland.[2]
As the Black Death
Black_Death
epidemics devastated Europe in the mid-14th century, annihilating more than a half of the population, Jews were taken as scapegoats. Rumors spread that they caused the disease by deliberately poisoning wells
Well_poisoning
. Hundreds of Jewish communities were destroyed by violence. Although the Pope Clement VI
Pope_Clement_VI
tried to protect them by the July 6, 1348 papal bull
Papal_bull
and another 1348 bull, several months later, 900 Jews were burnt alive in Strasbourg
Strasbourg
, where the plague hadn't yet affected the city.[3]
Jews in India
Jews_in_India
faced no persecution from Hindus from the time they migrated to India, but they were subjugated by Christian missionaries during the Goa Inquisition
Goa_Inquisition
from the year 1552.
(http://en.wikipedia.org/wiki/Persecution_of_Jews).
Kilele ya kusikitisha ilikuwa maangamizi ya milioni 6 Wayahudi wa Ulaya wakati wa 1941-45 yaliyotekelezwa na Wakristo wengi! Kulikuwa na mateso mabaya ya Wayahudi kati ya Waislamu pia lakini hakuna vile kama kati ya Wakristo ambako waliangamizwa kwenye ngazi za kitaifa au kufukuzwa kutoka nchi yote mara kadhaa.

Unatumia wikipedia kujibu na kusaidia swali la deen? Hivi Koran imeshindwa kujitosheleza?

Don't you think it is imperative to know first the foundation and owner of Islam from Koran before you google?

Kuleta habari za miaka ya 1940's na ushee wakati Uislam ulizaliwa miaka ya 600's huoni kuwa hicho ni kichekesho na kituko?

Ndio maana wakati wote nimekupa ushaidi wa Koran na hadeeth ambazo zinasadikiwa kuwa ni za allah na Marehemu Muham-mad ambao ndio waasisi na wenye deen ya Islamu.

Wikipedia exhibits are not tangible to me. Mimi nataka maelezo kutoka kwa Allah na Muham-mad na sio wikipedia. Nafahamu unaelewa ni wapi maelezo ya allah na Muham-mad yanapatikana.
 
Unatumia wikipedia kujibu na kusaidia swali la deen? Hivi Koran imeshindwa kujitosheleza?
Don't you think it is imperative to know first the foundation and owner of Islam from Koran before you google?

Hapana, katika swali la Kihistoria Qurani haitoshi kabisa halafu ni kitoto kutegemea kuna ufafanuzi wa mambo yaliyotokea baada ya Qurani kuandikwa.
Wikipedia exhibits are not tangible to me. Mimi nataka maelezo kutoka kwa Allah na Muham-mad na sio wikipedia. Nafahamu unaelewa ni wapi maelezo ya allah na Muham-mad yanapatikana.
Awali nilifikiri labda kweli hujui kabisa habari za kihistoria. (Hii ingekuwa swali tu kwa nini unapiga kelele kitu usichoelewa)

Sasa nimeona jinsi gani unavyoweza kugoogle na kuleta mifano kutoka vyanzo mablimbali ukijaribu kumjibu Bwana Darwin katika thread ile nyingine kuhusu kanisa lililochomwa Aljeria.

Kumbe nabaki na shauri tu ya kwamba unajaribu kudanganya kwa kusudi ukijua vema umetangaza fujo na huna jibu. (hata uliforge nukuu kutoka Qurani juu)
Basi hustahili jibu tena mpaka unakuja na kujibu swali nililuuliza mara 5? 6? 7? na wewe unaliogopa jinsi sheitani anaogopa neno la Mungu:

Sasa usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso yale unajua vema unajaribu tu kujionyesha kama mjinga asiyejua.
 
Swali lako ni machiavellian and there is no merits kusaidia swali lako. You need something palpablegregious to support your claims in order to make them incontrovertible. Kwa kutumia Uislamu, kama unavyo taka wewe, unajiweka kwenye hali ngumu sana.

Just look here in JF kuna thread ngapi zinazo walaani Wayahudi kutoka kwa Waislamu? Zaidi ya hapo, soma Koran kitabu cha Gabril, utaona kuwa allah wa Islam anawachukia Wayahaudi kwa moyo wake wote, na akili zake zote, na uwezo wake wote, mpaka leo hii, kiasi cha kugoma kununua, au tumia, au kula, chakula cha Wayahudi.

Ndio maana nilisema kuwa claims zako hazina merits na zinahitaji tangible encomiums ili ziwe bona fide.
 
Walikuwapo watu kibao na maneno meeeengiiii wakakutana na mzee mzima Maxishimba, wakaamua kukaa kimya, akaja jamaa mmoja(sadiki) akajidai oooh mimi sikujua hawa jamaa walivyo akaja na bla bla zake akachemka,sasa huyu jamaa naye akajidai anamzuuuka mwenyewe lakini wote mwisho wao ni kuchemka tu(hawana hoja za kumfanya mtu kuumiza kichwa=hoja zao nyepesi mmno).

Huyo ndiye MaxRespect bwana.
 
Walikuwapo watu kibao na maneno meeeengiiii wakakutana na mzee mzima Maxishimba, wakaamua kukaa kimya, akaja jamaa mmoja(sadiki) akajidai oooh mimi sikujua hawa jamaa walivyo akaja na bla bla zake akachemka,sasa huyu jamaa naye akajidai anamzuuuka mwenyewe lakini wote mwisho wao ni kuchemka tu(hawana hoja za kumfanya mtu kuumiza kichwa=hoja zao nyepesi mmno). Huyo ndiye Max
Respect bwana.

Sawasawa Bwana Tiger kuchosha kweli ni kipaji cha pekee! Pia kupiga chenga, kuleta nukuu za uwongo na kadhalika. Labda siri mojawapo ni pia kuna watu wanaofanya kazi hawalali mbele ya kompyuta ...
Ila tu kwa wale wanaojua kusoma na kuelewa ni wazi: katika mada hiyo alishindwa na swali nyepesi kabisa:
"Sasa usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso yale unajua vema unajaribu tu kujionyesha kama mjinga asiyejua."
 
kitu ambacho kinafanya uonekane mwepesi ni kwamba hayo madai yako hayajajengwa katika msingi imara kwahiyo mtu mwenye uwelewa wa mambo hawezi kujibu swali ambalo halina mantiki.
Kwa mfano ukisema Hitler aliwaua wayahudi, dunia nzima inaelewa na ukiuliza kwanini alifanya hivyo watu watakusikiliza kwa umakini na kujibu swali lako kwa umakini mkubwa.
Lakini ukiliangalia swali lako ambalo kwa mtazamo wako unaona kuwa ni swali gumu na watu hawawezi kulijibu, utagundua ukweli ni kwamba madai ya swali hayana msigi.

Unajua kwanini?
Simple: Ukiachilia mbali hizo data zako za kuunga unga, ni vipi unaweza kuthibitishia uma kuwa hao wayahudi walikimbilia kwa waisilamu?
Kwani aliye hakikisha kuwa wayahudi wanapatiwa makazi katika ile nchi yao ya ahadi ni nani na je ni nani wanaopigana mpaka leo wakidai hawataki kuiona Israel(wayahudi kwenye ramani)?
1)Point yangu ni kwamba hao wayahudi walifanya hivyo intentionally wakikimblia kwa waisilamu?(ni uisilamu au uarabu ndiyo uliyowafa waende huko?)
2) data zinasema walikibilia kwa waisilamu au ni mazingila yaliwafanya wale walioweza kwenda upande wa nchi za kiarabu kufanya hivyo?
3)Usisahau kuwa katika histori ya utumwa na siasa mpaka leo nchi za magharibi mara nyingi hazikuwa na uhusiano mzuri na waarabu na kwasababu hiyo wakati watu wengine(nchi nyingine) walikuwa kwa ushirikiano na Hitler(ujerumani) wakijaribu kuwaangamiza wayahudi automatically(logically) waarabu wasingeshirikiana na Ujerumani kuwaua wayahudi(walikuwa maadui-ADUI WA ADUI YAKO....).

Mfano rahisi HIVI NI NCHI NGAPI ZA KIARABU ZINAZO SHIRIKIANA NA NCHI ZA MAGHARIBI DHIDI YA UGAIDI?

Maana yake ni kwamba mwarabu hawapendi na hata akifanya ni kwa mashaka kushirikiana na mzungu(kwa zuri au baya)
 
Asante kwa swali zuri.
Swali langu niliyopeleka mbele inagusa habari za historia. Tupüende tusipende historia mara nyingi haikufuata mantiki wala haikuenda jinsi tunavyopenda.
Nikijua sehemu hii ya historia ya Wayahudi vizuri sina shaka ya kwamba lina msingi imara kabisa. Mbele yangu ni vitabu vilivyoandikwa na wanahistoria wayahudi pale ndipo nilipojifunza habari hizi miaka mingi iliyopita. (Mfano, ukiweza kuingia maktaba: Ben Sasson, History of the Jewish People, Tel Aviv 1969 - Harvard 1976, vitabu 3); Najua kwenye intaneti si rahisi kuwa na uhakika lakini kama umejifunza wapi kutafuta utapata habari za maana pia mtandaoni.

Unajua kwanini? Simple: Ukiachilia mbali hizo data zako za kuunga unga, ni vipi unaweza kuthibitishia uma kuwa hao wayahudi walikimbilia kwa waisilamu? Kwani aliye hakikisha kuwa wayahudi wanapatiwa makazi katika ile nchi yao ya ahadi ni nani na je ni nani wanaopigana mpaka leo wakidai hawataki kuiona Israel(wayahudi kwenye ramani)?
1)Point yangu ni kwamba hao wayahudi walifanya hivyo intentionally wakikimblia kwa waisilamu?(ni uisilamu au uarabu ndiyo uliyowafa waende huko?)
Kuthebitisha ni rahisi kitaaluma. Kwa watu wasiowahi kuisikia habari hizi tena wakiwa na mashaka - inaonekana si rahisi.
Samahani lakini je unaniruhusu kukupa kazi kidogo ili uthebitishe mwenyewe?
1) Tafuta kwenye intaneti habari za lugha ya "Ladino". Utakuta ni lugha ya kiyahudi inayofanana sana na Kihispania; inajadiliwa leo Israeli, Marekani na Uturuki. Namna gani lugha ya karibu na Kihispania kule Uturuki nchi ya Kiislamu? Naomba tafuta mwenyewe (google, wikipedia: "Ladino, Turkey").

2) Tafuta je Wayahudi wa Hispania walikimbia wapi mwaka 1490s walipofukuzwa nchini na Wakristo ? Au walipoambiwa ya kwamba ama wakubali ubatizo au wachomwe moto? (google au wikipedia: "Jews, Spain, Reconquista")

3) Tafuta pia "Antisemitism" -angalia ni nchi zipi zinazotajwa hasa?

Mateso makali ya Wayahudi katika nchi za Wakristo Ulaya yalitokea kati ya mwaka 1100 na hadi 1500s; katika karne hizi Wayahudi waende wapi? Wengine walielekea nchi za Waislamu kuokoa maisha, wengine walihamia Ulaya mashariki.
Hitler alikuja muda mrefu baadaye, haya yalikuwa kuamka tena kwa chuki kali dhidi ya Wayahudi wa Ulaya tangu miaka ya 1870ties hadi 1945 (Hitler).

3)Usisahau kuwa katika histori ya utumwa na siasa mpaka leo nchi za magharibi mara nyingi hazikuwa na uhusiano mzuri na waarabu na kwasababu hiyo wakati watu wengine(nchi nyingine) walikuwa kwa ushirikiano na Hitler(ujerumani) wakijaribu kuwaangamiza wayahudi automatically(logically) waarabu wasingeshirikiana na Ujerumani kuwaua wayahudi(walikuwa maadui-ADUI WA ADUI YAKO....). Mfano rahisi HIVI NI NCHI NGAPI ZA KIARABU ZINAZO SHIRIKIANA NA NCHI ZA MAGHARIBI DHIDI YA UGAIDI? Maana yake ni kwamba mwarabu hawapendi na hata akifanya ni kwa mashaka kushirikiana na mzungu(kwa zuri au baya)

Nilisema ya kwamba chuki kali kati ya Waislamu / Waarabu dhidi ya Wayahudi imeanza karne ya 20 (uhamiaji wa kuingia nchi ya Palestina-Israeli). Sisemi ya kwamba karne za nyuma ilikuwa paradiso kwao kati ya Waislamu. kama Bwana Max angejua historia kidogo angeweza kuorodhesha orodha ya mateso yaliyotendewa Wayahudi na Waislamu pia! Lakini (hapa wanakubaliana wataalamu Wayahudi wenyewe) haikuwa vile kama zile karne baya za Ulaya. Nchi nyingi (si zote!!) za Waislamu walikuwa na maisha afadhali sana kuliko Ulaya.

Lakini unajua historia ya Wayahudi ni historia ndefu ajabu; historia ya dola la Israeli haifiki miaka 100!

Max alidai ya kwamba chuki dhidi ya Waislamu dhidi ya Wayahudi iko katika Qurani na lazima Waislamu wafuate. Lakini historia haifuati mantiki.
Mara nyingi na mahali pengi na kwa muda mrefu Waislamu hawakufuata aya hizi ambazo zinatangaziwa leo hii na Waislamu wakali.

Hapo ndipo msingi wa tumaini ya kwamba kuna njia ya kupatana tena jinsi ilivyowahi kuwepo. Hii ni pia tumaini ya Wayahudi na Waislamu wengine huko Israel ninaofahamu.
Kwangu mfano bora ni ule mradi uanoitwa "Abrahamu" unaendeshwa na Wakristo Waarabu mjini Beit Jalla (PAlestina, karibu na Bethlehemu) wanaojitahidi kukutanisha vijana wakristo, wayahudi na waislamu wapate kujuana na kufahamiana ili kujenga misingi ya daraja la kuvukia mto wa chuki.
 
kitu ambacho kinafanya uonekane mwepesi ni kwamba hayo madai yako hayajajengwa katika msingi imara kwahiyo mtu mwenye uwelewa wa mambo hawezi kujibu swali ambalo halina mantiki.
Kwa mfano ukisema Hitler aliwaua wayahudi, dunia nzima inaelewa na ukiuliza kwanini alifanya hivyo watu watakusikiliza kwa umakini na kujibu swali lako kwa umakini mkubwa.
Lakini ukiliangalia swali lako ambalo kwa mtazamo wako unaona kuwa ni swali gumu na watu hawawezi kulijibu, utagundua ukweli ni kwamba madai ya swali hayana msigi.

Unajua kwanini?
Simple: Ukiachilia mbali hizo data zako za kuunga unga, ni vipi unaweza kuthibitishia uma kuwa hao wayahudi walikimbilia kwa waisilamu?
Kwani aliye hakikisha kuwa wayahudi wanapatiwa makazi katika ile nchi yao ya ahadi ni nani na je ni nani wanaopigana mpaka leo wakidai hawataki kuiona Israel(wayahudi kwenye ramani)?
1)Point yangu ni kwamba hao wayahudi walifanya hivyo intentionally wakikimblia kwa waisilamu?(ni uisilamu au uarabu ndiyo uliyowafa waende huko?)
2) data zinasema walikibilia kwa waisilamu au ni mazingila yaliwafanya wale walioweza kwenda upande wa nchi za kiarabu kufanya hivyo?
3)Usisahau kuwa katika histori ya utumwa na siasa mpaka leo nchi za magharibi mara nyingi hazikuwa na uhusiano mzuri na waarabu na kwasababu hiyo wakati watu wengine(nchi nyingine) walikuwa kwa ushirikiano na Hitler(ujerumani) wakijaribu kuwaangamiza wayahudi automatically(logically) waarabu wasingeshirikiana na Ujerumani kuwaua wayahudi(walikuwa maadui-ADUI WA ADUI YAKO....).

Mfano rahisi HIVI NI NCHI NGAPI ZA KIARABU ZINAZO SHIRIKIANA NA NCHI ZA MAGHARIBI DHIDI YA UGAIDI?

Maana yake ni kwamba mwarabu hawapendi na hata akifanya ni kwa mashaka kushirikiana na mzungu(kwa zuri au baya)

Mkuu asante kwa somo, Nategemea jamaa atakuelewa kama kweli ni mtu anaye taka kujifunza.

Be blessed
 
"Sasa usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu... ."

Hili swali lingetakiwa kuulizwa na mtoto wa darasa la pili ambae hajui jiografia hata kidogo. Kwa taarifa yako Israeli imepakana na nchi za kiarabu/kiislamu pande zote ukiacha bahari ya mediteranean upande wa magharibi. Kwa hiyo tatizo lolote la lilipotokea ndani ya israeli hakukua na means nyingine ya transport zaidi ya punda/farasi/miguu.
Sasa ulitaka wakimbilia wapi na wakati ndege hazikuwapo? Ulitaka wajitose baharini? Naurally ilibidi wakimbilie sehemu yenye nchi kavu ambayo ni pande inapopakana na majirani zao (ambao ni waarabu)na kuendelea mbele na ukimbizi wao. Sii kwamba walikimbilia kwa waarabu kwa sababu waarabu walikua wanawapenda, walilazimika kukimbilia huko kwa sababu za kijiografia na si vinginevyo.

Pili, Sijawahi kuona Muisraeli akupata shida katika nchi yoyote Ulaya halafu akakimbilia Saudi Arabia! Uu unataka kusema Hitler alipowatesa waisraeli walikimbilia Saudi Arabia?
 
Asante kwa swali zuri.
Swali langu niliyopeleka mbele inagusa habari za historia. Tupüende tusipende historia mara nyingi haikufuata mantiki wala haikuenda jinsi tunavyopenda.
Nikijua sehemu hii ya historia ya Wayahudi vizuri sina shaka ya kwamba lina msingi imara kabisa. Mbele yangu ni vitabu vilivyoandikwa na wanahistoria wayahudi pale ndipo nilipojifunza habari hizi miaka mingi iliyopita. (Mfano, ukiweza kuingia maktaba: Ben Sasson, History of the Jewish People, Tel Aviv 1969 - Harvard 1976, vitabu 3); Najua kwenye intaneti si rahisi kuwa na uhakika lakini kama umejifunza wapi kutafuta utapata habari za maana pia mtandaoni.

Kuthebitisha ni rahisi kitaaluma. Kwa watu wasiowahi kuisikia habari hizi tena wakiwa na mashaka - inaonekana si rahisi.
Samahani lakini je unaniruhusu kukupa kazi kidogo ili uthebitishe mwenyewe?
1) Tafuta kwenye intaneti habari za lugha ya "Ladino". Utakuta ni lugha ya kiyahudi inayofanana sana na Kihispania; inajadiliwa leo Israeli, Marekani na Uturuki. Namna gani lugha ya karibu na Kihispania kule Uturuki nchi ya Kiislamu? Naomba tafuta mwenyewe (google, wikipedia: "Ladino, Turkey").

2) Tafuta je Wayahudi wa Hispania walikimbia wapi mwaka 1490s walipofukuzwa nchini na Wakristo ? Au walipoambiwa ya kwamba ama wakubali ubatizo au wachomwe moto? (google au wikipedia: "Jews, Spain, Reconquista")

3) Tafuta pia "Antisemitism" -angalia ni nchi zipi zinazotajwa hasa?

Mateso makali ya Wayahudi katika nchi za Wakristo Ulaya yalitokea kati ya mwaka 1100 na hadi 1500s; katika karne hizi Wayahudi waende wapi? Wengine walielekea nchi za Waislamu kuokoa maisha, wengine walihamia Ulaya mashariki.
Hitler alikuja muda mrefu baadaye, haya yalikuwa kuamka tena kwa chuki kali dhidi ya Wayahudi wa Ulaya tangu miaka ya 1870ties hadi 1945 (Hitler).

Nilisema ya kwamba chuki kali kati ya Waislamu / Waarabu dhidi ya Wayahudi imeanza karne ya 20 (uhamiaji wa kuingia nchi ya Palestina-Israeli). Sisemi ya kwamba karne za nyuma ilikuwa paradiso kwao kati ya Waislamu. kama Bwana Max angejua historia kidogo angeweza kuorodhesha orodha ya mateso yaliyotendewa Wayahudi na Waislamu pia! Lakini (hapa wanakubaliana wataalamu Wayahudi wenyewe) haikuwa vile kama zile karne baya za Ulaya. Nchi nyingi (si zote!!) za Waislamu walikuwa na maisha afadhali sana kuliko Ulaya.

Lakini unajua historia ya Wayahudi ni historia ndefu ajabu; historia ya dola la Israeli haifiki miaka 100!

Max alidai ya kwamba chuki dhidi ya Waislamu dhidi ya Wayahudi iko katika Qurani na lazima Waislamu wafuate. Lakini historia haifuati mantiki.
Mara nyingi na mahali pengi na kwa muda mrefu Waislamu hawakufuata aya hizi ambazo zinatangaziwa leo hii na Waislamu wakali.

Hapo ndipo msingi wa tumaini ya kwamba kuna njia ya kupatana tena jinsi ilivyowahi kuwepo. Hii ni pia tumaini ya Wayahudi na Waislamu wengine huko Israel ninaofahamu.
Kwangu mfano bora ni ule mradi uanoitwa "Abrahamu" unaendeshwa na Wakristo Waarabu mjini Beit Jalla (PAlestina, karibu na Bethlehemu) wanaojitahidi kukutanisha vijana wakristo, wayahudi na waislamu wapate kujuana na kufahamiana ili kujenga misingi ya daraja la kuvukia mto wa chuki.

Ungekuwa ni wewe umeuliza maswali niliyo uliza mimi halafu nikakujibu kama ilivyo hapo juu nafsi yako ingeridhika?

Ndiyo maana nilisema swali lako halina msingi imara, jaribu kusoma tena maelezo yangu kisha soma lile swali lako unaloliona kuwa gumu sana halafu jiulize mwenyewe swali lako lina mantiki?

Sidhani kama kuna swali lolote ninalohitaji kujibu ila naomba kukwambia kwamba hayo madai yako kuwa Israel ilianza miaka mia(100) iliyopita sijui umeyato wapi?(pole ndugu yangu).

soma hapa

Jacob (Hebrew: יַעֲקֹב‎, Standard Yaʿaqov; Septuagint Greek: Ἰακώβ; "heel" or "leg-puller"), also known as Israel (Hebrew: יִשְׂרָאֵל‎, Standard Yisraʾel, Isrāʾīl; Septuagint Greek: Ἰσραήλ; "persevere with God"; pronounced /ˈdʒeɪkəb/[1]), was the third patriarch of the Jewish people, and ancestor of the twelve tribes of Israel, named after ten of his twelve sons, as well as the two sons of his son Joseph.

In the Hebrew Bible he is the son of Isaac and Rebecca, the grandson of Abraham and Sarah and of Bethuel, and the twin brother of Esau. He had twelve sons and several daughters, of whom only one is known by name, by his two wives, Leah and Rachel, and their maidservants, Bilhah and Zilpah. The children were Reuben, Simeon, Levi, Judah, Dan, Naphtali, Gad, Asher, Issachar, Zebulun, daughter Dinah, Joseph, and Benjamin. Jacob had other daughters, whose names are not mentioned.[2][3] Before the birth of Benjamin, Jacob is renamed "Israel" by an angel, the name after which the modern nation of Israel is named.

As a result of a severe famine in Canaan, Jacob resettled his whole family in Egypt, in the Land of Goshen, at the time when his son Joseph was viceroy. Jacob died there 17 years later, and Joseph carried Jacob's remains to the land of Canaan, where he gave them stately burial in the same Cave of Machpelah as were buried Abraham, Sarah, Isaac, Rebecca and Jacob's wife Leah (Genesis 49:29-50:14).

Ongeza na hii

Nearby Luz en route to Haran, Jacob experienced a vision of a ladder or staircase reaching into heaven with angels going up and down it, commonly referred to as "Jacob's ladder". From the top of the ladder he heard the voice of God, who repeated many of the blessings upon him.

According to Rashi, this ladder signified the exiles that the Jewish people would suffer before the coming of the Jewish Messiah: the angels that represented the exiles of Babylonia, Persia, and Greece each climbed up a certain number of steps, paralleling the years of the exile, before they "fell down"; but the angel representing the last exile, that of Rome or Edom, kept climbing higher and higher into the clouds. Jacob feared that his children would never be free of Esau's domination, but God assured him that at the End of Days, Edom too would come falling down.

Jacob awakened, and continued on his way to Haran in the morning, naming the place "Bethel", "God's house".

we si unapenda history?

. Because of this, "to this day the people of Israel do not eat the sinew of the thigh that is on the hip socket" (Genesis 32:32). This incident is the source of the mitzvah of porging.[15]

Jacob then demanded a blessing, and the being declared that from then on, Jacob would be called יִשְׂרָאֵל, Israel (Yisra`el, meaning "one that struggled with the divine angel" (Josephus), "one who has prevailed with God" (Rashi), "a man seeing God" (Whiston), "he will rule as God" (Strong), or "a prince with God" (Morris), from Hebrew: שרה‎, "prevail", "have power as a prince").[16] Jacob asked the being's name, but he refused to answer. Afterwards Jacob named the place Penuel (Penuw`el, Peniy`el, meaning "face of God"),[17] saying "I have seen God face to face and lived."

UKISIKIA WATU WANASEMA MUNGU WA IBRAHIM,ISAKA NA YAKOBO USIDHANI NI MAPENZI YAO.(we si unapenda history)

Jacob adopted Joseph's two sons, Ephraim and Manasseh, as his own. Anticipating his death, he blessed each of his 12 sons with varying blessings he deemed appropriate. It has been understood that Judah, the fourth born, received the primary blessing, due to Reuben's incest and Simeon's and Levi's betrayal. Jacob also made Joseph promise that he would bury him in the Cave of the Patriarchs (with Leah, and Abraham, Sarah, Isaac, and Rebecca; Rachel was buried at Bethlehem). According to the Midrash,[23] he desired to tell his sons the exact date when the Messiah would arrive, but the prophecy fails him. Another tradition states that the two lines of the Shema Yisrael were exchanged, the sons proclaiming their righteousness to "Yisrael" (Jacob), and Jacob blessing God's name responsively. The first line is actually Deuteronomy 6:4 and the response was instituted by the rabbis, and the chant is central to Jewish prayer services.

After giving these instructions, Jacob died at the age of 147 (Genesis 47:28). With Pharaoh's permission, Joseph had Jacob meticulously embalmed and led a huge state funeral back to Canaan, with the twelve sons carrying their father's coffin and many Egyptian officials accompanying them

AMEN
 
John 1:43-50

43The next day Jesus decided to leave for Galilee. Finding Philip, he said to him, "Follow me."

44Philip, like Andrew and Peter, was from the town of Bethsaida. 45Philip found Nathanael and told him, "We have found the one Moses wrote about in the Law, and about whom the prophets also wrote—Jesus of Nazareth, the son of Joseph."

46"Nazareth! Can anything good come from there?" Nathanael asked.
"Come and see," said Philip.

47When Jesus saw Nathanael approaching, he said of him, "Here is a true Israelite, in whom there is nothing false."

48"How do you know me?" Nathanael asked.
Jesus answered, "I saw you while you were still under the fig tree before Philip called you."

49Then Nathanael declared, "Rabbi, you are the Son of God; you are the King of Israel."

50Jesus said, "You believe because I told you I saw you under the fig tree. You shall see greater things than that." 51He then added, "I tell you[c] the truth, you[d] shall see heaven open, and the angels of God ascending and descending on the Son of Man."

In the Hebrew Bible the Israelites are referred to as the children of Israel, and by other, similar expressions. The Hebrew Bible traces the historic and spiritual progress of this family. The family's forefather was Israel, whose name originally was Jacob. Jacob had twelve sons and an unknown number of daughters. His twelve sons were: Reuben (Genesis 29:32), Simeon (Genesis 29:33), Levi (Genesis 29:34), Judah (Genesis 29:35), Dan (Genesis 30:5), Naphtali (Genesis 30:7), Gad (Genesis 30:10), Asher (Genesis 30:12), Issachar (Genesis 30:17), Zebulun (Genesis 30:19), Joseph (Genesis 30:23), and Benjamin (Genesis 35:18). The first eleven of Jacob's sons were born in Haran before the return of the family to Canaan, where Benjamin was born.

Kasome tena history bwana kipala
 
Ungekuwa ni wewe umeuliza maswali niliyo uliza mimi halafu nikakujibu kama ilivyo hapo juu nafsi yako ingeridhika?
Usikasirike. Ulisema ya kwamba habari zangu hazina msingi. Kumbe. Kila mwanafunzi wa historia anazijua. Nikujibu namna gani?
Ukiniambia habari ninazoleta si kweli (hata kama ni elimu ya kimsingi ya kihistoria) ingekuwa afadhali uone mwenyewe.
Naweza kuonyesha kila kitu kwa namna ya kitaaluma - ila tufanyeje ukinijibu tena "haya si kweli"?

Sidhani kama kuna swali lolote ninalohitaji kujibu ila naomba kukwambia kwamba hayo madai yako kuwa Israel ilianza miaka mia(100) iliyopita sijui umeyato wapi?(pole ndugu yangu).
Naomba usome niliyoandika. Sikusema "Israeli" ilianza katika karne iliyopita. Ni Dola la Israeli (ya kisasa) iliyoanza katika kipindi cha miaka 100 iliyopita.
Nukuu za Biblia ulizoleta zinaeleza chanzo cha jina Israeli. Dola kwa jina Israeli halikuwepo tangu 722 BK hadi 1948.

Halafu swali linabaki: Kama kweli chuki ya Waislamu dhidi ya Wayahudi ilikuwepo tangu mwanzo - kwa nini walikimbia huko mara kadhaa katika historia yao wakiteswa katika nchi za Wakristo? (baada ya kuharibika kwa madola yao ya kale - kabla ya kuanzishwa kwa dola la kisasa?)
 
Ukweli ni kwamba ukiitazama na kuitafakari Israel kisiasa,kijamii,kisayansi,kiuchumi na vyovyote vile ujuavyo kwa mtazamo wa kimwili(physical laws & human perseption) hakika utaishia kuchanganyikiwa na kuichukia sana Israel

Kwa nini?? Hii haieleweki. Watu wengi walikwenda Israeli kuitembelea walifurahia nchi dogo lakini zuri, waliwapongeza Waisraeli kuhusu mafanikio yao.
Kumbukeni(mnaoamini katika Mungu) kupitia Israel(mlango) Mungu ameukomboa ulimwengu na kupitia mlango huo huo shetani naye anafanya kila mbinu kutaka kupitisha laana yake kwa wanadamu.

Sehemu ya pili haielewki pia.a)Unaipata wapi ya kwamba shetani anahitaji Israeli ili afanye kazi? Anatumia pesa, tamaa za kibinadamu na mengi mengine.b) Je unataka kusema ya kwamba Israeli ya kiroho ni ileile kama Israeli dola la kisasa??? Yaani Israeli ni nchi ya kisasa si ya kidini.
Tazameni nini kilitokea kule Ujerumani, nafikiri mnajua kuwa Hitler alikuwa na lengo gani, tazameni nini kilitokea wakati wana wa Israel wanarudi nchini mwao toka Ujerumani(vita iliyopiganwa) mpaka waisrael kukaa pale.
Kwani hamjawahi kusikia Rais mmoja alisema anataka kuifuta Israel kwenye lamani?
Samahani historia imeenda tofauti kidogo.
Hitler alitaka kuwaondoa Wayahudi katika Uheruamni kwanza halafu Ulaya, kwa muda alikuwa na mpango kuwapeleka Madagaska;
Wayahudi waliohamia Palestina ni wachache kutoka Ujerumani tu (walioweza kukimbia Hitler walielekea nchi nyingine za Ulaya na Marekani hasa, ukumbuke Einstein na wengine). Baadaye alikata shauri kuwaua wote waliopatikana chini ya mamlaka yake.

Wayahudi wengi walioelekea Palestina kabla ya Hitler (Wazioni) walitokea nchi za Mashariki (walipoteswa... )

Naomba ufafanuzi zaidi jinsi unavyoona Wayahudi kwa jumla, Israeli ya Biblia na nchi ya Israeli ya Kisasa halafu Israeli Jipya ya Agano Jipya.
 
Hili swali lingetakiwa kuulizwa na mtoto wa darasa la pili ambae hajui jiografia hata kidogo. Kwa taarifa yako Israeli imepakana na nchi za kiarabu/kiislamu pande zote ukiacha bahari ya mediteranean upande wa magharibi. Kwa hiyo tatizo lolote la lilipotokea ndani ya israeli hakukua na means nyingine ya transport zaidi ya punda/farasi/miguu. Sasa ulitaka wakimbilia wapi na wakati ndege hazikuwapo? Ulitaka wajitose baharini? Kwa hiyo ilibidi wakimbilie kwa majirani zao (ambao ni waarabu)na kuendelea mbele na ukimbizi wao.

Pili, Sijawahi kuona Muisraeli akupata shida katika nchi yoyote Ulaya halafu akakimbilia Saudi Arabia! Uu unataka kusema Hitler alipowatesa waisraeli walikimbilia Saudi Arabia?

Labda heri jiografia darasa la nne.
# Je umeelewa tofauti kati ya historia na hali ya kisasa?
#Je umeelewa mateso ya Wayahudi niliyojadili hayakutokea katika eneo la Palestina/Israeli??
#Je unajua tofauti kati ya maana ya "Wayahudi" (na historia yao tangu Abrahamu hadi leo) na "Dola la Israeli" (na historia yake ya miaka 60 ongeza utangulizi ya harakati ya Zioni).
# Je unajua ya kwamba idadi kubwa kabisa ya Wayahudi hawakuishi katika nchi ya Israeli ya Kibiblia tangu siku za Yesu?
#Je unajua hata leo idadi kubwa ya Wayahudi bado wako nje ya dola la Israeli?
#Je unajua ya kwamba asilimia kubwa ya Waisraeli (raia wa dola la Israeli) hawafuati sharia ya Musa (43% wanajiita "bila dini, ongeza 15% Waislamu na 2% Wakristo kati ya raia).

Kuhusu swali la Hitler soma hapa: Hapana hawakuenda Saudia bali wengine Uturuki: "While six millions Jews were being exterminated by the Nazis, the rescue of some 15,000 Turkish Jews from France, and even of some 100,000 Jews from Eastern Europe might well be considered as relatively insignificant in comparison. It was, however, very significant to the people who were rescued, and above all it showed that, as had been the case for more than five centuries, Turks and Jews continued to help each other in times of great crises." Stanford J. Shaw Professor of Turkish History
(Wewe ulimpongeza Maxi hivyo unaweza kuniambia> mbona hawakuchinjwa mara moja na hao Waislamu wa Uturuki? Kwa nini Waturuki waliwaalika ili wajiokoe??)
http://www.sefarad.org/publication/lm/043/6.html (Sefarad.org ni tovuti ya Kiyahudi - Kisefardi).
 
Back
Top Bottom