Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu?

Hitler hakuwa na wivu juu ya Wayahudi. Alifuata imani ya Upagani wa Kisasa na nadharia juu ya Wayahudi ilitungwa kabla yake na watu kama Duhring na Chamberlain, aliendeleza tu. Itikadi hii ilijengwa juu ya chuki ya karne nyingi kati ya Wakristo dhidi ya Wayahudi.

Waislamu wamekuja katika picha juzijuzi tu tangu kuundwa kwa dola la Israel na kufukuzwa kwa Wapalestina. Zamani Wayahudi walikimbilia nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo.

Read the history my friend,
Read how the Grand Mufti of Jerusalem was collaborating with Arab neighbors against Jews long before Israel was re established in its homeland
as a nation
 
Kwahiyo Muham-mad muasisi wa Islam alizaliwa juzijuzi!!!!

Mwisho nasema humjuwi Hitler.
 
Read the history my friend,
Read how the Grand Mufti of Jerusalem was collaborating with Arab neighbors against Jews long before Israel was re established in its homeland
as a nation

Historia: 1917 Waingereza waliiahidi
World Zionist Organization makazi katika nchi ya Palestina (Balfour Declaration); miaka ya 1920 upinzani wa Waarabu ilianza, miaka ya 1930 mufti al-Husseini alitafuta msaada wa Wajerumani (Hitler) dhidi ya uhamisho wa Kiyahudi nchini na dhidi ya Uingereza, miaka ya vita alikimbilia mwenyewe Ujerumani akapigia debe siasa ya Hitler - 1948 dolala Israel ikaundwa - na chuki kati ya Waislamu dhidi ya Wayhudi ilianza kuenea

hii ni historia fupi ukilinganisha na karne nyini ambako Wayahudi walimkibilia nchi za Waislamu wakitafuta kimbilio mbele ya mateso mkononi mwa Wakristo wa Ulaya
Una historia nyingine?

Kwahiyo Muham-mad muasisi wa Islam alizaliwa juzijuzi!!!!
Mwisho nasema humjuwi Hitler.
Fuata ushauri wa Oktoba ukasome historia kidogo, Mkuu! Wapi mateso ya Wasilamu dhidi ya Wayahudi KABLA 1917 yanayolingana na mateso ya Wayahudi mkononi mwa Wakristo?
 
Historia: 1917 Waingereza waliiahidi World Zionist Organization makazi katika nchi ya Palestina (Balfour Declaration); miaka ya 1920 upinzani wa Waarabu ilianza, miaka ya 1930 mufti al-Husseini alitafuta msaada wa Wajerumani (Hitler) dhidi ya uhamisho wa Kiyahudi nchini na dhidi ya Uingereza, miaka ya vita alikimbilia mwenyewe Ujerumani akapigia debe siasa ya Hitler - 1948 dolala Israel ikaundwa - na chuki kati ya Waislamu dhidi ya Wayhudi ilianza kuenea

Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."
The bold words clearly ni ushaidi tosha kuwa hata ALLAH anachukia Wayahudi na Wakristo wote! Sasa wewe Kipala mzungu mtupu unakuja na maneno matupu bila ya ushaidi yakinifu. Hah, kaazi kweli kweli,

Sasa sijuwi hii ayat iliandikwa baada ya 1948? Hivi unaelewa unazungumza na nani?

Chuki ya Waislam kwa Wayahudi ilianza tokea wakati wa Marehemu Muham-mad. Labda uende Mad-rasa ukasafishwe akili.

Qur'an (3:118) - "O you who believe! do not take for intimate friends from among others than your own people, they do not fall short of inflicting loss upon you; they love what distresses you; vehement hatred has already appeared from out of their mouths, and what their breasts conceal is greater still; indeed, We have made the communications clear to you, if you will understand."
This verse not only warns Muslims not to take non-Muslims as friends, but it establishes the deep-seated paranoia that the rest of the world is out to get them.
Qur'an (9:23) - "O ye who believe! Choose not your fathers nor your brethren for friends if they take pleasure in disbelief rather than faith. Whoso of you taketh them for friends, such are wrong-doers"
Even family members are not to be taken as friends if they do not accept Islam. (This is the mildest interpretation of this verse from the 9th Sura, which also advocates "slaying the unbeliever wherever ye find them").
 
Fuata ushauri wa Oktoba ukasome historia kidogo, Mkuu! Wapi mateso ya Wasilamu dhidi ya Wayahudi KABLA 1917 yanayolingana na mateso ya Wayahudi mkononi mwa Wakristo?
Kwahiyo October reply yake ilikuwa ni kwa post yangu!

Soma Koran, na ujuwe Chuki ya Waislam/Waarabu kwa Wayahaudi ilianza lini, na sio vijitabu vyako vya historia mbuzi. Uislam upo ndai ya Korani. Kwahiyo, ukileta mada au jibu linalohusiana na Uislamu, ni lazima ulete ayat kutoka Koran kusaidia jibu lako. Blah blah si mahali pake hapa. I gave you some ayats in my previous reply, sasa bishana na Allah wa Uislam.
 
Blah blah si mahali pake hapa.
Kabisa!!!!
Ayats hizi hazidhuru hapa.
Unadai ya kwamba chuki ya Uislamu dhidi ya Wayahudi iko tangu mwanzo (mwaka 622).
Historia inaonyesha wazi Wayahudi walikimbilia nchi za Waislamu kwa karne nyingi mbele ya chuki kati ya Wakristo. Matatizo makali kati ya Wayahudi na Waislamu yalianza tangu harakatiy a kuanzisha dola la Israel.
Hii ni fact, tofauti na namna yako ya kusoma kitabu kisicho cha dini yako.

Historia hupendi na unakimbia kwa sababu hailingani na itikadi yako. Pole.

Chuki ni Ukimwi wa roho na akili inakula bongo la wachukia Wayahudi na pia wachukia Uislamu na wachukia Ukristo.
Tunahitaji watu wanaoshikamana kupinga chuki ya kila aina. Kwa bahati nzuri bado wako kati ya Wakristo wako pia kati ya Waislamu na kati ya Wayahudi.
Watarithi ardhi.
 
Kabisa!!!!
Ayats hizi hazidhuru hapa.
Unadai ya kwamba chuki ya Uislamu dhidi ya Wayahudi iko tangu mwanzo (mwaka 621).

Si madai, bali ndivyo ilivyo. Nimekupa ayat, au unataka nirudie tena.

Historia inaonyesha wazi Wayahudi walikimbilia nchi za Waislamu kwa karne nyingi mbele ya chuki kati ya Wakristo. Matatizo makali kati ya Wayahudi na Waislamu yalianza tangu harakatiy a kuanzisha dola la Israel.
Hii ni fact, tofauti na namna yako ya kusoma kitabu kisicho cha dini yako.

Historia gani hiyo? Ngoja nikupe historia kutokana na Koran kuhusu Wayahudi na Waislam:

Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."

Sasa nikufuate historia yako wewe au ya Koran?

Historia hupendi na unakimbia kwa sababu hailingani na itikadi yako. Pole.

Sina haja ya kupenda historia, twenda kwa facts, ni lini Uislamu ulianza chuki kwa Wayahudi na Wakristo, kutokana na Koran ya Gabril, na sio maneno yako matupu, blah blah blah.

Chuki ni Ukimwi wa roho na akili inakula bongo la wachukia Wayahudi na pia wachukia Uislamu na wachukia Ukristo.

Chuki ipo kwa allah. Soma hapa chini na sikia Allah anasema nini:Qur'an

(3:28) - "Let not the believers Take for friends or helpers Unbelievers rather than believers: if any do that, in nothing will there be help from Allah..."

Tunahitaji watu wanaoshikamana kupinga chuki ya kila aina. Kwa bahati nzuri bado wako kati ya Wakristo wako pia kati ya Waislamu na kati ya Wayahudi.
Watarithi ardhi.

Huwezi kupinga chuki ambayo imejaa ndani ya Muislam na ambayo ndio Uislamu. Inaonekana kuwa huujuwi Uislamu.

Vilevile wewe ni muongo nambari wani unapo dai kuwa Wakristo wana chuki wakati Biblia haisemi usemavyo wewe: Angalia ushaidi huu hapa kutoka Neno la Mungu:
Luke 6:27-36
[27] "But I tell you who hear me: Love your enemies, do good to those who hate you, [28] bless those who curse you, pray for those who mistreat you.

Kwahiyo, kulinganisha kwako Ukristo na Uislamu, ni jibu tosha kuwa wewe ni mpenzi wa chuki kali iliyo jaa ndani ya Waislamu na Waarabu.
 
Luke 6:27-36
[27] "But I tell you who hear me: Love your enemies, do good to those who hate you, [28] bless those who curse you, pray for those who mistreat you.

Asante mkuu.
Naamini kama watu wangeweka tofauti zao pembeni na kufanya affirmation ya huo ujumbe kabla ya kulala na kila waamkapo, Dunia ingekuwa kama paradise. Trust me.
 
Historia gani hiyo? Ngoja nikupe historia kutokana na Koran kuhusu Wayahudi na Waislam:
Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends..."
Sasa nikufuate historia yako wewe au ya Koran?
Sina haja ya kupenda historia, twenda kwa facts, … na sio maneno yako matupu, blah blah blah.

Wooooo - kweli historia hujui?? Kaazi. Nirudie kwa lugha nyepesi:

Katika swali hii ayat za Qurani si muhimu sana. Maana historia yenyewe (yaani "facts" - si kile unachowaza juu ya Qurani) inaonyesha hali ya Wayahudi kati ya Waislamu ilikuwa afadhali sana kuliko Wayahudi walioishi kati ya Wakristo
(kabla ya 1917 - maandalizi ya kuunda dola la Israeli)

Vilevile wewe ni muongo nambari wani unapo dai kuwa Wakristo wana chuki wakati Biblia haisemi usemavyo wewe: Angalia ushaidi huu hapa kutoka Neno la Mungu:
Luke 6:[27] "But I tell you who hear me: Love your enemies . . .
Hujui unachosema, sivyo? Ajabu na habari ya kusikitisha ni: Hali ya Wayahudi kati ya Waislamu (walioambiwa wasiwe marafiki na Wayahudi) ilikuwa afadhali kuliko hali ya Wayahudi kati ya Wakristo (walioambiwa kupenda maadui).

Kama ujui historia hapa muhtasari kidogo:

Jews were frequently massacred and exiled from various European countries. The persecution hit its first peak during the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Crusades"]Crusades[/ame]. In the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/First_Crusade"]First Crusade[/ame] (1096) flourishing communities on the Rhine and the Danube were utterly destroyed; see German Crusade, 1096. In the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Second_Crusade"]Second Crusade[/ame] (1147) the Jews in France were subject to frequent massacres. The Jews were also subjected to attacks by the Shepherds' Crusades of 1251 and 1320. The Crusades were followed by many expulsions, including in, 1290, the banishing of all English Jews; in 1396, 100,000 Jews were moved from France; and, in 1421 thousands were moved from Austria. Many of the moved Jews fled to Poland.[2]
As the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Black_Death"]Black Death[/ame] epidemics devastated Europe in the mid-14th century, annihilating more than a half of the population, Jews were taken as scapegoats. Rumors spread that they caused the disease by deliberately [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Well_poisoning"]poisoning wells[/ame]. Hundreds of Jewish communities were destroyed by violence. Although the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Pope_Clement_VI"]Pope Clement VI[/ame] tried to protect them by the July 6, 1348 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Papal_bull"]papal bull[/ame] and another 1348 bull, several months later, 900 Jews were burnt alive in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Strasbourg"]Strasbourg[/ame], where the plague hadn't yet affected the city.[3]
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jews_in_India"]Jews in India[/ame] faced no persecution from Hindus from the time they migrated to India, but they were subjugated by Christian missionaries during the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Goa_Inquisition"]Goa Inquisition[/ame] from the year 1552. ([ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Persecution_of_Jews[/ame])
Kilele ya kusikitisha ilikuwa maangamizi ya milioni 6 Wayahudi wa Ulaya wakati wa 1941-45 yaliyotekelezwa na Wakristo wengi! Kulikuwa na mateso kati ya Waislamu pia lakini hakuna vile kama kati ya Wakristo.

Hii kama uthebitisho: Si maneno ya misahafu yanayoamua hali halisi bali moyo ya watu wenyewe. Misahafu inaathiri, ni muhimu. Kuna athira nyingine.

Wooooo - kweli historia hujui?? Kaazi. Nirudie kwa lugha nyepesi:

Katika swali hii ayat za Qurani si muhimu sana. Maana historia yenyewe (yaani "facts" - si kile unachowaza juu ya Qurani) inaonyesha hali ya Wayahudi kati ya Waislamu ilikuwa afadhali sana kuliko Wayahudi walioishi kati ya Wakristo
(kabla ya 1917 - maandalizi ya kuunda dola la Israeli)

Kama unapojadili Uislam na Maisha ya Uislam kutumia ayats za Koran si muhimu kwako, basi inaonyesha kuwa wewe hujuwi usemalo.

Uislam ni mfumo wa maisha na mwanzo wake Ni Marehemu Muham-mad, Allah na Koran. Kama hutaki kuwatumiwa hao kama uthibitisho na ushaidi wa reply zako, hapo ndipo utaelewa kuwa wewe si chochote zaidi ya kupenda malumbano yasio na ushaidi.

Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."

Hayo maneno in bold, yalisemwa mwaka gani na nani alikuwa msemaji wa hayo maneno? kipala mzungu mtupu, tafadhali naomba jibu.
 
Bwana Max, huna cha kusema kuhusu historia ya Wayahudi kati ya Wakristo na Waislamu jinsi ilivyokuwa hali halisi, sivyo??

Piga kelele tu, tumeshakuelewa.
Wapenda amani kati ya Wakristo, Waislamu na Wayahudi tushikamane pamoja!
 
Hahaha ahaha, inaonekana umegoma kukiri ukweli kuwa historia ya Wayahudi na Waislam imeanzia kwenye Koran, Muham-mad na Allah.

Sasa jibu swali unalo likimbia:

Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."

Hayo maneno in bold, yalisemwa mwaka gani na nani alikuwa msemaji wa hayo maneno?

kipala mzungu mtupu, tafadhali naomba jibu
 
Sasa jibu swali unalo likimbia:
Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends;.."
Hayo maneno in bold, yalisemwa mwaka gani na nani alikuwa msemaji wa hayo maneno?

Kipala mzungu mtupu, tafadhali naomba jibu

Aya hii inasema Waislamu wasiwe marafiki na Wayahudi. Haina neno kuhusu kuwachukia wala kuwaua.

Eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso nimekupa juu.
 
Aya hii inasema Waislamu wasiwe marafiki na Wayahudi. Haina neno kuhusu kuwachukia wala kuwaua.

Eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso nimekupa juu.
Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."

Naona bado unakimbia hii ayat kwa kuifupisha.

Hebu niambie huyu Allah kwanini aliamua kusema he does not guide the unjust people? Who are these unjust people? Why are these people unjust?

kipala bana, kweli ni mzungu mtupu huyu, hana kitu huyu.
 
- "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."
Naona bado unakimbia hii ayat kwa kuifupisha.
Hebu niambie huyu Allah kwanini aliamua kusema he does not guide the unjust people? Who are these unjust people? Why are these people unjust?

Usilie machozi kaka, hapa aya yako kikamili. Aya hii inasema Waislamu wasiwe marafiki na Wayahudi. Haina neno kuhusu kuwachukia wala kuwaua.

Sasa usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso nimekupa juu.

Kuhusu swali lako: Mimi si Allah umwulize mwenyewe.
Zaidi mimi naona si Allah anayesema ni Muhammad mwenyewe aliyetaka kubana wafuasi wake wasiwe marafiki na watu walioweza kuwauliza maswali na kusababisha mashaka juu ya imani yao changa.
 
Bukhari, 5-59-632 Once Muadh paid a visit to Abu Musa and saw a chained man. Muadh asked, "What is this?" Abu Musa said, "(He was) a Jew who embraced Islam and has now turned apostate." Muadh said, "I will surely chop off his neck!"

Qur’an 33:26 “Allah made the Jews leave their homes by terrorizing them

Bukhari:V1B1N6 “Just issue orders to kill every Jew in the country.”

Sunan Abu Dawud, Book 19, Number 2996: Narrated Muhayyisah: The Apostle of Allah (peace_be_upon_him) said: If you gain a victory over the men of Jews, kill them.

Tabari VII:97 “The morning after the murder of Ashraf, the Prophet declared, ‘Kill any Jew who falls under your power.’”

Tabari VIII:38 “The Messenger of Allah commanded that all of the Jewish men and boys who had reached puberty should be beheaded.

Naona unahamu na hizi graphical hadeeth na ayats. Haya sasa pingana na allah wa islamu.
 
Salaaaleh, sasa unasema kuwa msemaji ndani ya Koran ni Marehemu Muham-mad?
Mwisho unataka nimuulize allah wakati unajuwa kuwa mimi ni adui wake allah, hivi hujuwi mwenye haki pekee ya kuongea na allah alikuwa Marehemu Muham-mad, kipenzi chako na cha waislamu?

Rafiki tatizo liko pekee ndani ya roho yako yenye matata mengi.
Mimi siamini Korani kama neno la Mungu (nimeshakuambia mara kadhaa) kwangu ni matamshi ya Muhammad.
Wakati huohuo napinga chuki na uchokozi dhidi ya dini ya Uislamu na Waislamu kwa jumla. Tunahitaji kuelewana na kuheshimiana hata pale tunapotofautiana na kutokubaliana maana dunia ni moja tu si kubwa.

Ila tu unapiga kelele ili uepukane swali langu nyepesi saaana:
Usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso nimekupa juu.
 
Hii hapa chini ni khutbah kamili kutoka kwa allah.
Bukhari, 5-59-632
Qur’an 33:26 “Allah made the Jews leave their homes by terrorizing them
Bukhari:V1B1N6
Sunan Abu Dawud, Book 19, Number 2996:
Tabari VII:97
Tabari VIII:38

Eti unaanza kuandika Qurani mwenyewe? Surat 33,26 haitaji Wayahudi - unajaribu kudanganya? Wanaotajwa ni ahl-al-kitab, tena inajadiliana mambo yaliyopita haisemi juu ya wakati ujao hakuna amri.

Menginevyo: Umeishia Qurani sasa unaanza kuleta ahadith!
Sijali ahadeeth hizi zisizojibu swali langu. (Kichekesho: mara ngapi wewe uliwalaumu Waislamu hapa JP ukiwauliza mambo ya Qurani na hao wanaanza kuleta ahadith! LOL)

Ila tu unapiga kelele ili uepukane swali langu nyepesi saaana (sasa narudia mara ya 3? 4?):
Usikimbie swali na eleza wewe: Kwa nini Wayahudi walikimbilia mara nyingi nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo? Mifano ya mateso nimekupa juu.
 
Qur'an (5:51) - "O you who believe! do not take the Jews and the Christians for friends; they are friends of each other; and whoever amongst you takes them for a friend, then surely he is one of them; surely Allah does not guide the unjust people."

Naona bado unakimbia hii ayat kwa kuifupisha.

Hebu niambie huyu Allah kwanini aliamua kusema he does not guide the unjust people? Who are these unjust people? Why are these people unjust?

kipala bana, kweli ni mzungu mtupu huyu, hana kitu huyu.

MAXSHIMBA:
Is allah, the God you believe in. The truth is that Islam on one side and Christian(and Jews) on the other side do not worship the same God.

mwanadamu anaamini kuwa kuna kiumbe au nafsi iliyo juu yake iliyo na nguvu kuliko yeye---it's universal name is GOD the God that Christians and Jews Worship is Jehovah Elohim in all languages of the world. Allah was the moon god worship in acient persian - waamedi na waajemi. During Koresh period. and quranic language is based on the languages spoken that period. the whole thing about islam is all cultic, fictious and mystic and big lie. Ndiyo maana each scholr of Islam anatamani kunywa damu ya mtu. cause their God has no love among all his 99 attributes.
IF YOU MISS LOVE IN YOU, IT MEANS YOUR ARE SATAN HIMSELF
 
Back
Top Bottom