Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu?

Naomba kutoa mwanga kwa watu wengi wasiofahamu.

Huu ni ushauri wa bure kwa wanao ipinga na wanaoi-support(kama mimi) Israel.
Ukweli ni kwamba ukiitazama na kuitafakari Israel kisiasa,kijamii,kisayansi,kiuchumi na vyovyote vile ujuavyo kwa mtazamo wa kimwili(physical laws & human perseption) hakika utaishia kuchanganyikiwa na kuichukia sana Israel, amini nawaambia mkiitazama kwa macho ya rohoni(spiritually) na kuweka tofauti za kidini pembeni hakika mngekili utukufu wa Mungu aliye hai.
Kumbukeni(mnaoamini katika Mungu) kupitia Israel(mlango) Mungu ameukomboa ulimwengu na kupitia mlango huo huo shetani naye anafanya kila mbinu kutaka kupitisha laana yake kwa wanadamu.
Hizo vita zote mnazo ziona msidhani ni vita za mwili na nyama jamani hizo ni vita kati ya FALME NA MAMLAKA(kati ya Mungu na shetani),si vita ndogo kama kunavyofikiri kibinadamu.
Hebu jiulizeni kwanini vita kuu zimekuwa katika kutaka kuifuta Israel duniani, mnadhani hiyo ni vita ya kibinadamu? Tazameni nini kilitokea kule Ujerumani, nafikiri mnajua kuwa Hitler alikuwa na lengo gani, tazameni nini kilitokea wakati wana wa Israel wanarudi nchini mwao toka Ujerumani(vita iliyopiganwa) mpaka waisrael kukaa pale.
Kwani hamjawahi kusikia Rais mmoja alisema anataka kuifuta Israel kwenye lamani?

Njua kwa macho ya kibinadamu wengi hamtanielewa.
Mweneye macho na asikie.
 
Taifa teule?

rabbi-420x0.jpg

24terror1_600.jpg
 
Umesahau kwamba MAYAHUDI ndiyo wanayoiangusha Marekani sasa hivi. Kabla hawajakaribishwa USA; USA ilikuwa inarespect business ethic, honest and etc. Lakini tangu walipoanza kuongoza kila kitu ndani ya USA, uchumi wa Marekani unaanza kuanguka. Angalia Germany sasa hivi, uchumi mzuri kuliko USA; kwa sababu waliwafukuza hawa jamaa (MAYAHUDI). Hawa jamaa hawana Ethic, ni Wizi na Rushwa.

Na baada ya kuwaua wale wayahudi milioni sita ili watokea nini Wajerumani wakati wa vita kuu?
 
Hao ndiyo MAYAHUDI wanavyoimaliza USA. Walikaribishwa sasa hivi wanaiibia USA. Germany waliwashtukia hawa jamaa.

Mbona watu fulani nao wali karibishwa wakaanza kujilipua na kuwaua "raia" wenzao? No logic or proof to your statement.
 
hata CCM kuna Mayahudi............natania tu..anyway,hawa watu walipata zli la kujanjaruka mapema,wakaandika Biblia wanavyotaka,basi ndo imekua hivi..
 
Historia inaonesha kwamba Mayahudi (Jews) ni watu wanaolaumiwa kwa kila jambo baya linalotokea duniani;kuanzia kwenye individual level mpaka kwenye State level. Matatizo haya yalianzia Mid East; ambapo Waislamu na Wakristo walikuwa wanawalaumu Mayahudi kwa kuwaua mitume ya mungu. Kwenye 7th century ikaendelea hadi Europe. Europe walipokuwa na matatizo makubwa ya disease kama Black Death; ambayo iliuwa karibu nusu ya population ya Europe, walikuwa wanawaulumu Mayahudi kuwa ndiyo chanzo cha hayo maradhi. Nchi kama Germany, Russia zilikuwa zinaonesha hadharani chuki yao dhid ya Mayahudi. Je kuna SIRI gani inayofanya race zote duniani kuwachukia Mayahudi? kama Mayahudi ni smart ndiyo maana watu wanawachukia; kwanini watu wasiwachukie Wajapan ambao ni magenius?

It is not true.

It is Maarabu na Waislam ndio wanawalaumu, but sio dunia yote.

You lied.
 
kuna ushahidi kwamba hawa jamaa ndiyo wanaosababisha matatizo haya ya dunia. angalia matatizo ya uchumi wa dunia ndiyo utajua kwamba dunia nzima inawalaumu hawa jamaa. kuanzia maddof, na wenzake, organs business, drugs nk.

Mawazo yako na ya Adolf Hitler yanafanana
 
Nafikiri hapa kuna chuki binafsi, kumbuka chuki binafsi tusiziongelee hapa, binafsi nawachukia saana wahindi, samahani naomba tusizungumzie sana haya mambo ya chuki bana!.
 
So, what is your point sir?

I guess his point would be that this is not the first time Jews are being blamed for something and all this was started by one person called 'Mr. X' who has quite a number of followers.
 
Alie anzisha hii mada atakuwa mfuasi wa Mr "X",
Ukimuuliza jew wamekufanyeni nini atabung`aa tu!
 
The Point is very simple.

Waarabu na Waisilamu ndio wanaoichukia Wayahudi na Israel,
Hujasikia Wahindu wakilalamika kuhusu wayahudi hata siku moja
Hujasikia Budhist wakilalamika.....,
Hujasikia Bahai wakilalamika......,
Hujasikia Pagan Wakilalamika.....,
Hujasikia Wakristo wakilalamika.....
Hujasikia dini ingine yeyote wakilalamika kuhusu wayahudi.

NI Waisilamu tu siku zote ndio wanaolaumu Wayahudi.
Ni Waisilamu tu ndio wanaoua Wayahudi

Na hii ni kutokana na Mafundisho ya Muhammad yanayowataka kuwachukia, kuwaua, kuwafukuza Wayahudi kwenye ardhi yao.

http://www.youtube.com/watch?v=hM0ZD6XfTfg

Huu ndio ukweli wenyewe hataa kama unauma

Is not only Muslim who hate the Jews.
In January 1933, after a bitter ten-year political struggle, Adolf Hitler came to power in Germany. During his rise to power, Hitler had repeatedly blamed the Jews for Germany's defeat in World War I and subsequent economic hardships. Hitler also put forward racial theories asserting that Germans with fair skin, blond hair and blue eyes were the supreme form of human, or master race. The Jews, according to Hitler, were the racial opposite, and were actively engaged in an international conspiracy to keep this master race from assuming its rightful position as rulers of the world.
 
It is not true.

It is Maarabu na Waislam ndio wanawalaumu, but sio dunia yote.

You lied.

It is not true, that only Muslims hate Jews.
The Nazis defined Jews as a “race.” Regarding the Jewish religion as irrelevant, the Nazis attributed a wide variety of negative stereotypes about Jews and “Jewish” behavior to an unchanging biologically determined heritage that drove the “Jewish race,” like other races, to struggle to survive by expansion at the expense of other races
 
If what they do is starting intoxicating little children what do you expect?

All they do is teach hate and violence which turn them into monsters killing machine with no brains

http://www.youtube.com/watch?v=ZjbJnZUJTYU&NR=1

Emperor Alexius asked Pope Urban II for assistance. On 1095-NOV-27, the Pope called on Europeans to go on a crusade to liberate Jerusalem from its Muslim rulers. "The first and second wave of Crusaders murdered, raped and plundered their way up the Rhine and down the Danube as they headed for Jerusalem." 1 The "army" was primarily composed of untrained peasants with their families, with a core of trained soldiers. On the way to the Middle East, they decided that only one of their goals was to wrest control of Jerusalem from the Muslims. A secondary task was to rid the world of as many non-Christians as possible - both Muslims and Jews. The Crusaders gave the Jews two choices in their slogan: "Christ-killers, embrace the Cross or die!" 12,000 Jews in the Rhine Valley alone were killed as the first Crusade passed through. Some Jewish writers refer to these events as the "first holocaust." Once the army reached Jerusalem and broke through the city walls, they slaughtered all the inhabitants that they could find (men, women, children, newborns). After locating about 6,000 Jews holed up in the synagogue, they set the building on fire; the Jews were burned alive. The Crusaders found that about 30,000 Muslims had fled to the al Aqsa Mosque. The Muslim were also slaughtered without mercy.
 
It is not true.

It is Maarabu na Waislam ndio wanawalaumu, but sio dunia yote.

You lied.

The result of centuries of conflict among followers of the three main Abrahamic religions (Judaism, Christianity and Islam) was a "deep mutual hatred" and mistrust among the three faiths. Memories of these genocides still influence relationships among Jews, Christians and Muslims to the present time.
Among many Jews and Muslims, the term crusade evokes visions of genocide, mass murder, and mass extermination of innocent people. However, among many Christians it has become a positive term, frequently used to refer to mass rallies and campaigns to win converts - as in the Billy Graham Crusades. Out of respect for the victims of the "first holocaust," we recommend that the term be only used to refer to the wars of the Middle Ages.
 
It is not true, that only Muslims hate Jews.
The Nazis defined Jews as a “race.” Regarding the Jewish religion as irrelevant, the Nazis attributed a wide variety of negative stereotypes about Jews and “Jewish” behavior to an unchanging biologically determined heritage that drove the “Jewish race,” like other races, to struggle to survive by expansion at the expense of other races

Thank you for admitting that Muslims and Hitler(NAZI) are the only haters of Jews!!!
 
It is not true, that only Muslims hate Jews.
The Nazis defined Jews as a “race.” Regarding the Jewish religion as irrelevant, the Nazis attributed a wide variety of negative stereotypes about Jews and “Jewish” behavior to an unchanging biologically determined heritage that drove the “Jewish race,” like other races, to struggle to survive by expansion at the expense of other races

Ilikuwa wivu wa Hitler kwa Wayahudi kwasababu Jews were the prosperous business owners in German. Where is NAZI?
 
Ilikuwa wivu wa Hitler kwa Wayahudi kwasababu Jews were the prosperous business owners in German. Where is NAZI?

Hitler hakuwa na wivu juu ya Wayahudi. Alifuata imani ya Upagani wa Kisasa na nadharia juu ya Wayahudi ilitungwa kabla yake na watu kama Duhring na Chamberlain, aliendeleza tu. Itikadi hii ilijengwa juu ya chuki ya karne nyingi kati ya Wakristo dhidi ya Wayahudi.

Waislamu wamekuja katika picha juzijuzi tu tangu kuundwa kwa dola la Israel na kufukuzwa kwa Wapalestina. Zamani Wayahudi walikimbilia nchi za Waislamu wakiteswa katika nchi za Wakristo.
 
Back
Top Bottom