njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,800
- 4,109
Rango Tenge siohii nch ni ya KITENGE TENGE TENGEREREEEE TENGE TENGE
Rango Tenge siohii nch ni ya KITENGE TENGE TENGEREREEEE TENGE TENGE
Tanganyika na Zanzibar ni nchimbili tofauti.Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
Zanzibar inawajali wananchi wake na inatambua maendeleo huletwa na watu wenye afya njema.
Kilo ya sukar 3200, sio dialysis tu Zanzibar matibabu ni Bure hospital za serikali hulipi hata senti 5 labda dawa ziwe zimeisha utaombwa kwenda kununua ama pengine kipimo kimezingua utaombwa kwenda kufanya private ulete majibu japo mara chache sana, na hii issue ilianza Toka utawala wa Mohd Shein kwahili wanastahili pongezi sanaHivi Zanzibar sukari bei gani? Mafuta ya kula je??
Kunanamna tunachezewa cheku na wajanja...
Mimi nina jirani yangu mtoto wake ana shida ya figo hivyo usikaririMnaharibu figo zenu makusudi kwa kunywa mapombe makali mkidai mnakula bata.
Sasa unalialia kulipa Tsh 180,000 kwa ajili ya malipo ya kusafisha figo, nyambaaaf
Atakuwa pimbiAtakuwa zaidi ya bwege huyo.
Ingetawaliwa na mtanganyika ndio gharama za dialysis zingefika 300,000/-,heri mama mwenye huruma tuliyenaye! Pia zanzibar viwatu vyake ni million na ushee, huku bara Tupo 63+mil,Kwanini Tanganyika itawaliwe na asiye mtanganyika!
Ni kweli na ni sawa kabisa ukizingatia hayaHuduma yoyote ya afya unayolipia ww ukiwa bara kwa upande wa Zanzibar ni bure kabisa.
Hivi kwa nini Waislam wengi hasa wanaume huwa wananuka midomoZanzibar Uislam mwingi sana,na uislam siku zote unajari maslahi ya watu mbele bila kuangalia faida,uislam ni dini Njema sana na wengi WASIO waislam wanatambua Hilo,sema basi tuh ubishi.
Hao ni ...... WetuJibu ni moja tu.
Watanganyika ni wapumbavu.
Kama walikubali watawaliwe na kiongozi kutoka Zanzibar yenye watu around 1.5 huku wao hata kupeleka mwenyekiti wa kitongoji Zanzibar hawawezi.
Mkuu ukija gundua au kujua the secret behind utashangaa sanaTuwe na serikali ya Tanganyika na wao wawe na serikali yao tuone Nini kitatokea hatutakuwa na malalamiko.
Watanganyika walio kwenye nafasi za maamuzi hawathubutu kuhoji huu uovu kwa sababu 2..Huyu hayupo Tanzania huyu ndiyo maana ama hoji, watanzania bara waliopo Tanzania hata kuhoji hawawezi. Acha tuendelee kusoma namba upo siku tuta elewa tuu kuwa mzigo wa umasikini ndani ya hii inchi sababu kubwa ni aina ya viongozi 'na chama tulicho nacho madarakani miaka nenda rudi.
Hizo cases za watoto kuwa na kidney failure nazijua ni chache, lakini nyingi ni za wakubwa huwa ni za kujidunga vilevi tuMimi nina jirani yangu mtoto wake ana shida ya figo hivyo usikariri
Ni Tajili yupi huyo tumjue maana wewe chawa wa mama hua unajilopokea tu.Zanzibar kuna tajiri kajitolea sadaka yake.
Hapo kwenye " Wana maisha mazuri" endelea kujidanganya.Kule aise,wapo sayari nyingine.
Hawataki shida,wanajua wabongo mlivyo na akili fyatu.
Angalia hata chaguzi zao na Katiba Yao.
Furu malidhiano,huku ni panga Kwa Sime.
Wale hawatakagi mifarakano,japo bara mlijitahidi kwenda kuwavuruga ila wakawashtukia mapema Sana.
Wana Umoja wa kimyakimya.
Wana maisha mazuri kinyama,ni kama Nchi ya kifalume.
Siasa za maji taka za bara kidogo ziote kule,ila wakashtuka.
Ndo maana hawataki kuchangamanna na Watanganyika kule,bali wao ndo waje bara.
Pia muungano,bara mnafoji,ila Kwa vile kwao ni faida acha watulie ila jamaa wanakula kama ndege aise.😜.
Tutaendelea kuwalisha na kuwapa ajira huku bara mpaka mje mjitambue sio Leo Wala kesho😄😄😄
Hajafika ZANZIBAR huyo anajiandikia tu. Anaona ZNZ kwenye TV wakati wa gwaride la siku ya mapinduziHapo kwenye " Wana maisha mazuri" endelea kujidanganya.