Kwanini CUF kina Wabunge wawili tu huku Tanzania bara?

C.U.F bado ipo ngangari, watanzania wa kundi tuliochoshwa na uhuni wa CHADEMA na rushwa ndani ya C.C.M tunaliona hilo.C.U.F wasiyumbishwe hata kidogo na CHADEMA.Hata UKAWA ikavunjika Lipumba anzisha UKAWA nyingine itakayojumuisha ACT na vyama vitakavyobaki baada ya kuondoka mamluki CHADEMA.Pia tunajua kuwa kupitia ungangari wa C.U.F Zanzibar vyama vilivyomo katika muungano vitajitanua na CDM itazidi kupotea.

Mnaxhani CUF ikishajitoa huko vyama vingine vya upinzani vitawaamini?Ukiangalia kwa umakini na ukweli CUF wamerudi nyuma sanasana,hawafanyi hata jitihada za kukiendeleza chama chao.Tunaweza kuwalaumu CDM lakini nikiangalia kwa umakini beneficiaries of UKAWA ni CUF na NCCR,wako nyuma kwenye kuviendeleza vyama vyao
 
Tunafahamu kuwa hapa mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake,lakini ndugu yangu hoja ulizowasilisha ni za kibaguzi wa kabila,dini na maumbile ya mtu. Nasikitika wengi wenu mna wazimu wa kuonekana mmeanzisha thread hata kamaa mlichoandika ni ujinga na upumbavu infull colours.
Kumbuka kwamba watu wenye akili timamu ndio hutembelea kurasa hizi lakini watu kama wewe mnatuchefua ,na ndio mnao brand udini na ukabila kwenye vyenu kwa kujua au kutojua! mimi muislam mtanzania wa zanzibar(unguja-naishi) pemba(asili) na mshabiki mkubwa wa cdm na watu kama wewe.. ndio mnatupa wakati mgum kwa who would be potential supporters wa mageuzi ku proove kwamba cdm si chama cha kidini au kikabila na watu wenye ulemavu wananafasi.
Ndugu kukaa kimya pia ni mazungumzo ,soma threads usitie neno kwani ww ni great stinker and this a place for great thinkers!

Nyie si mnataka Zanzibar huru...chagueni cuf hawataki muungano. ..njaa mbaya sana mtashindia mafenesi
 
Hata chadema kilikuwa na mbunge Walid Kaburu tu chaguzi mbili huku cuf ikiwa na wabunge kote sehemu za jamhuri.
Na chadema haina hata na wapenzi huko Zanzibar kitu ambacho kitafanya muungano kuvunjika wakishika madaraka kwa wabunge wa ccm na cuf hawatakubali kuendeshwa pute na chadema. Siasa za Tz zimekaa kimtego tego kwa wenye kufikiri na kujua nchii wanajua wazi Ukawa is non starter ndio maana ccm hawakushughulika nalo kwani wanajua katiba ipo vipo na hakuna ukawa .
Hawa wangepigania sheria ibadilishwe iruhusu mashiriakiano kama kenya lakini hawaoni mbali waliungana kwa jazba.
Sasa cuf ni chama kikubwa sana na kikiingia alone utaona namna gani lipumba atavo kifsnya kuwa cha pili nyuma ya ccm
 
Hawa Wachagga CDM watu wabaya sana si mnaona wanavyowabagua Malbino! Halafu ndio mtasema hichi chama ni cha watanzania.
Angalieni hizi kauli. Mungu ibariki Tanzania

Wewe mbona una chuki sana na wachaga au ndio unaendelea kuonyesha kufilisika kwako? CHADEMA sasa ipo nchi nzima ukienda Mbeya utamkuta Sugu je ni mchaga? Ukienda kanda ya ziwa utamkuta Vincent nyerere, Hezekiah Dibongo wenje, Kiwia, Meshaki Opolukwa, Salvatory Machemli na wengine wengi. Ukienda iringa kuna Peter Msigwa. Hii ni ishara umesahau kuwa hii single ilishakosa kabisa washabiki.
 
huyo jamaa bada ya kuhakikisha ccm imekuwa chama cha waswahili wa pwani sasa anahisi cdm nayo ya wachaga amepofushwa na dhambi ya ukanda
 
Kama CHADEMA wana nguvu zoote hizi basi haahitaji UKAWA..UKAWA ni kuunganisha nguvu....kama unazo za kutosha peke yako why uunge na wengine?
Haha..si kweli kwamba chama kisicho na wanawake hakiwezi chinda.Ila ni muhimu kuweka wanawake ktk panel kwani kuna wengine wanaweza jisikia nyumbani zaidi kwa angalau kuangalia wanawake wengine jinsi wanavyovaa.
 
Ingekuwa kuna mikeka katika siasa hapa ningekula, WAHA unawajua au unawasikia?
Haha..nawajua tena sana.Kwani hujui matukio yanavyoweza badili safari zao?Hujui watu wasiojua wanakwenda wapi ,huwa huko popote watakafika kwao ni kwema tuu.Unafikiri vipi wakati wanakwenda ACT wanapata habari hali ya ACT wakati wanapotoka panatangazwa neema mpya?Ndio maana wachaga hufanikiwa wanapochukiwa.
 
mkuu hiyo hoja ya udini na hasa kwa upande wa viongozi wa waislam haipo. ukiwa nje ya uislam unashtushwa na jina tu kuubwa Juma Athumani kapuya au ibrahimu haruna au jakaya mrisho. lakini ukweli hao ni majina tu na sidhani kama yana masilahi kwa uislam. na wengi wanaofikiria hivyo uelewa wao wa mambo ni mdogo.Lakini nikuhakikishie kama sio hizi fitina za kidini Prof. Lipumba angeweza kutupeleka mbali sana kama taifa. tatizu liko kwenu.lakini mnachonishangaza sana nyie watu ni kumsapoti lowasa na tuhuma alizonazo. achilia mbali tuhuma lakini watu walio nyuma yake kama akina rostam, chenge na karamagi ambao wanatuhuma za kulihujumu taifa hili kila kukicha. mtu kama chenge ilifikia kutamka hadharani kuwa yeye ni nyoka wa makengeza na akiona loophole ya hela lazima apige. najiuliza kama ajenda ya chadema ilikuwa ufisadi hii ya kuwa nyuma ya lowasa inamaanisha nini? illusion?!
Ila Kapuya nae alikuwa timu lowasa..hajaweza kuwa stand alone...ni kwamba nae alishindwa changanya karata zake vizuri km watu wengine wanaokuja jikuta muda wao wa kisiasa waliuchafua na hawawezi rudi nyuma tena.
 
C.U.F bado ipo ngangari, watanzania wa kundi tuliochoshwa na uhuni wa CHADEMA na rushwa ndani ya C.C.M tunaliona hilo.C.U.F wasiyumbishwe hata kidogo na CHADEMA.Hata UKAWA ikavunjika Lipumba anzisha UKAWA nyingine itakayojumuisha ACT na vyama vitakavyobaki baada ya kuondoka mamluki CHADEMA.Pia tunajua kuwa kupitia ungangari wa C.U.F Zanzibar vyama vilivyomo katika muungano vitajitanua na CDM itazidi kupotea.
Ngangarini kauli mbiu yao na hakuna wa kuwanyang`anya.Ila ktk uimara CUF bado sana kuamka walipoangukia.Na sasa wakishindwa jibainisha km wanamapinduzi,waweze cheza na walichothibitisha CDM kwamba udini ulikuwa ni propaganda chafu za CCM na si CUF kwa mara ingine kuonyesha na kuithibitishia CCM kwamba kweli ni wadini ndio maana wanashindwa kaa na UKAWA
 
Wewe mbona una chuki sana na wachaga au ndio unaendelea kuonyesha kufilisika kwako? CHADEMA sasa ipo nchi nzima ukienda Mbeya utamkuta Sugu je ni mchaga? Ukienda kanda ya ziwa utamkuta Vincent nyerere, Hezekiah Dibongo wenje, Kiwia, Meshaki Opolukwa, Salvatory Machemli na wengine wengi. Ukienda iringa kuna Peter Msigwa. Hii ni ishara umesahau kuwa hii single ilishakosa kabisa washabiki.

Wamiliki na watoa maamuzi ni wachaga. Wameinvest humo na kutegemea returns kubwa baadaye
 
Ngangarini kauli mbiu yao na hakuna wa kuwanyang`anya.Ila ktk uimara CUF bado sana kuamka walipoangukia.Na sasa wakishindwa jibainisha km wanamapinduzi,waweze cheza na walichothibitisha CDM kwamba udini ulikuwa ni propaganda chafu za CCM na si CUF kwa mara ingine kuonyesha na kuithibitishia CCM kwamba kweli ni wadini ndio maana wanashindwa kaa na UKAWA

Nicholas mbona hutuelezi kwa nini CHADEMA hamtaki A.C.T iwe kwenye UKAWA? Kama vipi ondokeni nyinyi UKAWA imwalike A.C.T halafu muone kiama chenu
 
Kwani ACt wanataka?Pia ACT hawana Sifa za kuingia UKAWA..
Si kweli, CHADEMA ndio hamtaki A.C.T sababu ya chuki zenu na Zitto.Mnalazimisha kila mtu aununue ugomvi wenu na Zitto.Kama A.C.T hawana sifa za kuwemo UKAWA ondokeni nyinyi halafu muone kama kuna chama katika UKAWA kitakachokataa A.C.T isijiunge.Mkubali mkatae CHADEMA mmefulia sana. CHADEMA ya 2015 sio ile ya 2010.Kila mtanzania mpenda Mageuzi analijua na kuliona hilo.
 
Huu uzi ufutwe. Mtoa mada ana hoja lakini kambagua ndugu yetu albino

hata mimi amenichefua sana, kwanza anaonekana hajui hata siasa zenyewe make cuf ina wabunge wawili bara lakini kumbagua mtu kwa ulemavu wa ngozi ni kwenda mbali sana,..ANGALIZO,,,Kuna maadui wa ukawa wanaojifanya chadema au cuf, tuwe makini
 
Kama kweli CUF ni chama makini,kwanini kina mbunge wa kuchaguliwa mmoja tu huku bara?
Tena mbunge mwenyewe ni albino aliyepata kura kwa huruma ya wakazi wa Lindi mjini. Swali langu ni -
Kama CUF wanajisifia kwa kufanya vizuri kwenye midaharo mbona hawana wabunge wa kuchaguliwa huku bara
zaidi ya huyu mmoja aliyepata ubunge kwa huruma ya wananchi wa Lindi mjini?

Maswali gani na ww km hawajachaguliwa na wananchi je??
 
Si kweli, CHADEMA ndio hamtaki A.C.T sababu ya chuki zenu na Zitto.Mnalazimisha kila mtu aununue ugomvi wenu na Zitto.Kama A.C.T hawana sifa za kuwemo UKAWA ondokeni nyinyi halafu muone kama kuna chama katika UKAWA kitakachokataa A.C.T isijiunge.Mkubali mkatae CHADEMA mmefulia sana. CHADEMA ya 2015 sio ile ya 2010.Kila mtanzania mpenda Mageuzi analijua na kuliona hilo.
Naona umebaki wewe ktk upumbavu..wala usiogope kuachana na kazi za kijinga za ccm ,km wana ccm wenyewe wamepata kisingizio ch akuondoka wewe sijui unasubiri nini?hakuna wa kukudai tena kwani sasa hivi CCM wana issue nyingine nyingi zaidi.Zitto si keshaachiwa na alijidai kwamba bila yeye CDM inakufa kwanini asa aje kk ukawa?Akajiokoe mwenyewe..sasa kaonewa nini wakati kaacha nyonywa umaarufu na akili zake?
 
uko sahihi, chadema ya sasa ni imara zaidi na inaweza kusimama kwa kujitegemea yenyewe, ile ya mwaka 2010 iliokolewa na hesabu mbovu za ccm katika ubunge vinginevyo hali ingekuwa mbaya, lakini pia chadema ya 2010 haikuwa na nguvu ya kuanzia chini, ilitegemea haiba ya dr slaa tu lakini kwa sasa kila mtu na shahidi kwamba chama kina mtaji wa wenyeviti wengi na mashina ya kutosha nchi nzima, sio hivyo tu chadema hii ya sasa inaaminika na wananchi ukizungumzia mbadala wa ccm kiutawala wengi watataja chadema bila kusita, kwa sasa chadema ni tishio kwa ccm kuliko wakati wowote katika historia ya chama tawala hapa bongo
Nado mnafanya biashara kichaa?hakuna tena theory ya kuiokoa CCM?Project ZITTO,SHIBUDA NA ACT ni biashara kichaa..Proejct Lowasa inalipa na CDM hawajaingia gharama yoyote.Nawahurumia sana.
 
Naona umebaki wewe ktk upumbavu..wala usiogope kuachana na kazi za kijinga za ccm ,km wana ccm wenyewe wamepata kisingizio ch akuondoka wewe sijui unasubiri nini?hakuna wa kukudai tena kwani sasa hivi CCM wana issue nyingine nyingi zaidi.Zitto si keshaachiwa na alijidai kwamba bila yeye CDM inakufa kwanini asa aje kk ukawa?Akajiokoe mwenyewe..sasa kaonewa nini wakati kaacha nyonywa umaarufu na akili zake?

Nicholas mbona mapovu yanakutoka? Mimi sio CCM na sijawahi kuwa n kadi ya chama chochote. Tatizo lenu CHADEMA baada ya majikuwa ya shingo mnataka kugeuza kibao.Mnataka kutudanganya kuwa kila mtanzania lazima awe na kadi ya CCM, CHADEMA, C.U.F au NCCR. Ukweli ni kuwa tupo kundi kubwa sana la ambao tumechoka na Siasa za kihuni za CHADEMA na vile vile hatuipendi CCM kwa sababu ya kunuka rushwa. Kuchukua urais kwa upinzani hata akisimama padre Slaa kwa katiba hii ni ndoto.Ndio maana tunataka kwanza tuone wabunge wengi wa upinzani halafu mengine yatafuata polepole.
 
Back
Top Bottom