Kwanini CHADEMA na wafuasi wake wanakuwa kitu kimoja na serikali kwenye suala la sensa?

Wanadhihirisha jinsi gani wanachuki na uislam na kama waislam wote wangesapoti sensa basi cdm na wapambe wao pia wangeipinga sensa haina haja kuumiza kichwa waislam wanaijua cdm vizuri na malengo yao wanayajua'tusubiri 2015 jibu litapatikana kama wao wanaweza kuingia ikulu kwa kura zao tu'

Waislamu wengi sana wame kubali kuhesabiwa....
Tena wengi sana ni wastaarabu kupita maelezo.

Ila wenye upungufu wa akili tu ndo wamekataa kuhesabiwa,kwa muda.
(nasema kwa mda coz watake wasitake wata hesabiwa tu,tatizo ni mda).
 
AdhaDii. unamuuliza Ritz swali? He will never answer you. Hakubarikiwa na busara za kujibu watu, popote na chochote anachokijua kwenye maisha yake ni kulalamika lalamika tu, mlalamishiiiiiiiiiiiii.

Sangarara unaujua ule msemo wa kama utakako wote wabaya hata uendako watakuwa wababaya hivo hivo. Na kama utokakao wote ni wema basi hata uendako wote watakuwa wema vivo hivo.

Sangarara toka nimejiunga JF kila nikiwasiliana na tukijadiliana na Ritz no matter hatuko pamoja katika imani yetu ya kile ambacho twajadili ni lazima twawasiliana vema hadi kufika muafaka. Karusha yeye hii thread, hivo naamini atanijibu - labda aanza kunifanyia hivo leo baada ya wewe kugusia hili.

Tatizo ambalo nimeliona sana (hasa JLS) mmekaririana mno hadi kuzungumzia hoja iliyorushwa hata kama ni chini/juu ya kiwango inakuwa mtihani... Hata hivo nashukuru kwa kunipa tahadhari, ingekuwa imenifaa hasa kwa member yule ambaye nakuwa simfahamu tabia zake.
 
Ritz si useme tu unachotaka kusema, kwa nini unajibana?

Unachotaka kusema ni kuwa "CDM inapingana na kila kitu katika serikali ila kwa sababu sensa imegomewa na waislamu, na kwa kuwa 'CDM ni maadui wa uislamu' wameamua waungane na CCM kuendelea kukandamiza uislamu".

Binafsi nawaonea huruma sana watu wenye mtazamo kama wako, mnapigana vita msiyoielewa na hata maadui zenu hamuwajui. Mnakuwa kama mtu mgonjwa, atakayemleta chakula ndio rafiki yake kwa wakati huo!! Angalieni, ni rahisi kurubuniwa katika mazingira hayo. Tafuteni suluhisho sahihi, lawama hazijengi.
 
Last edited by a moderator:
Wanadhihirisha jinsi gani wanachuki na uislam na kama waislam wote wangesapoti sensa basi cdm na wapambe wao pia wangeipinga sensa haina haja kuumiza kichwa waislam wanaijua cdm vizuri na malengo yao wanayajua'tusubiri 2015 jibu litapatikana kama wao wanaweza kuingia ikulu kwa kura zao tu'

Ngongoseke, naona imekuwa fahari kila hoja ambayo inahusiana na Siasa kutumia Waislamu kama kujustify lolote lile... Unatumia vigezo vipi vya kusema Waislamu hawajakubali sensa? Bado umeshikilia yale yale ya Ponda na hali vyombo vya habari vimetoa maendeleo ya sensa kuwa yanaenda sawa na kuwa Waislamu tumekubali kuhesabiwa? Acheni ushabiki usio na tija.. HAIJENGI!
 
Hakika kiongozi mkuu wa Waislam nchini Sheikh Mkuu Mufti Simba alinikonga moyo wangu sana,alisema hivi.....Yeyote anayepinga SENSA ni Kaffir Mkubwa.Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea kiongozi huyu aliyetusaidia kuwajua makaffir nchini.
 
Ngongoseke, naona imekuwa fahari kila hoja ambayo inahusiana na Siasa kutumia Waislamu kama kujustify lolote lile... Unatumia vigezo vipi vya kusema Waislamu hawajakubali sensa? Bado umeshikilia yale yale ya Ponda na hali vyombo vya habari vimetoa maendeleo ya sensa kuwa yanaenda sawa na kuwa Waislamu tumekubali kuhesabiwa? Acheni ushabiki usio na tija.. HAIJENGI!

Hakika kiongozi mkuu wa Waislam nchini Sheikh Mkuu Mufti Simba alinikonga moyo wangu sana,alisema hivi.....Yeyote anayepinga SENSA ni Kaffir Mkubwa.Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea kiongozi huyu aliyetusaidia kuwajua makaffir nchini.
 
Ritz si useme tu unachotaka kusema, kwa nini unajibana?

Unachotaka kusema ni kuwa "CDM inapingana na kila kitu katika serikali ila kwa sababu sensa imegomewa na waislamu, na kwa kuwa 'CDM ni maadui wa uislamu' wameamua waungane na CCM kuendelea kukandamiza uislamu".

Binafsi nawaonea huruma sana watu wenye mtazamo kama wako, mnapigana vita msiyoielewa na hata maadui zenu hamuwajui. Mnakuwa kama mtu mgonjwa, atakayemleta chakula ndio rafiki yake kwa wakati huo!! Angalieni, ni rahisi kurubuniwa katika mazingira hayo. Tafuteni suluhisho sahihi, lawama hazijengi.

Hakika kiongozi mkuu wa Waislam nchini Sheikh Mkuu Mufti Simba alinikonga moyo wangu sana,alisema hivi.....Yeyote anayepinga SENSA ni Kaffir Mkubwa.Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea kiongozi huyu aliyetusaidia kuwajua makaffir nchini.
 
Last edited by a moderator:
Waislamu wengi sana wame kubali kuhesabiwa....
Tena wengi sana ni wastaarabu kupita maelezo.

Ila wenye upungufu wa akili tu ndo wamekataa kuhesabiwa,kwa muda.
(nasema kwa mda coz watake wasitake wata hesabiwa tu,tatizo ni mda).

Hakika kiongozi mkuu wa Waislam nchini Sheikh Mkuu Mufti Simba alinikonga moyo wangu sana,alisema hivi.....Yeyote anayepinga SENSA ni Kaffir Mkubwa.Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea kiongozi huyu aliyetusaidia kuwajua makaffir nchini.
 
Sangarara unaujua ule msemo wa kama utakako wote wabaya hata uendako watakuwa wababaya hivo hivo. Na kama utokakao wote ni wema basi hata uendako wote watakuwa wema vivo hivo.

Sangarara toka nimejiunga JF kila nikiwasiliana na tukijadiliana na Ritz no matter hatuko pamoja katika imani yetu ya kile ambacho twajadili ni lazima twawasiliana vema hadi kufika muafaka. Karusha yeye hii thread, hivo naamini atanijibu - labda aanza kunifanyia hivo leo baada ya wewe kugusia hili.

Tatizo ambalo nimeliona sana (hasa JLS) mmekaririana mno hadi kuzungumzia hoja iliyorushwa hata kama ni chini/juu ya kiwango inakuwa mtihani... Hata hivo nashukuru kwa kunipa tahadhari, ingekuwa imenifaa hasa kwa member yule ambaye nakuwa simfahamu tabia zake.

Inshalah! Akikujibu naomba unijulishe.
 
Ritz Sijui kama nimeelewa the underlying reasons za wewe kuuliza hili; Ila tu msingi nisema saa ingine huwa kuna sababu ya viongozi ambazo huwa nazo na mwananchi wa kawaida asiweze kutambua.

Ila tu Kwa hili nawapongeza sana CDM mana wangetaka kuchangia kwa kiasi kikubwa hii sensa isifanyike wangefaulu katika hilo, ingekuwa balaa hasa tukiongezea swala la viongozi wetu wengi wa dini ya Kiislamu kupingana na hilo.

Kama kweli you are curious mie naweza sema kuwa zifuatazo ni sababu;

  1. Wanatambua umuhimu wa sensa, kuwa sio kwa ajili ya CCM ni kwa kiasi kikubwa ni kwa ajili ya maendeleo ya nchi na sio chama.
  2. Wana confidence sana kuwa 2015 Uongozi ni wao. Tokana na kuwa kumekuwa na ubabaishaji sana wa takwimu ya idadi ya wananchi Tanzania ni ngapi wameona ni bora wasaidie ku support katika kuhakikisha zoezi linaenda sawa; swala ambalo ni muhimu sana kwa uongozi kutambua endapo kweli wanataka kuleta maendeleo zaidi.

Hata hivo naomba nitoke nje ya mada kidogo Ritz... Naomba maoni yako ya baadhi ya viongozi wa CCM kukiuka matakwa ya Serkali kusimamisha shughuli zozote ambazo zinaweza kwamisha uhesabuji wa sensa. Wakiwa kama viongozi wa Serkali husika chini ya CCM, Kwa nini unadhani walikaidi na kuendelea? Au ni uongozi wa CCM waliwaagiza kukaidi ili kutuma ujumbe fulani?

AshaDii,

Kwa kweli sifahamu chochote kuhusu hao vingozi wa CCM, ebu tutajie majina yao...nimemsikia kamishina wa sensa anasema zoezi la sensa linaenda vizuri...nadhani iki kipindi ndio kilikuwa kizuri kwa Chadema kushikamana na kauli ya Dr Slaa, nchi isitawalike.
 
Umeshapata jibu la swali lako lililotengeneza thread?
 
Last edited by a moderator:
Chadema huwa hawapingi mambo ya msingi na yenye faida kwa Taifa!

Hivi ina maana wewe Ritz hujui umuhimu wa sensa mpaka sasa hivi?
 
Last edited by a moderator:
Samahani, kuna tamko lolote liliwahi kutolewa na Chadema kuhusu ku'suport au kupinga sensa?

Moja ya mikakati inayoandaliwa na Chadema katika kuidhoofisha serikali na CCM yenyewe, kukwamisha mambo yao tumeona katika bunge la bajeti, Chadema walikuwa wamejigawa makundi mawili moja lilikuwa bungeni lingine liliendesha mikutano ya hadhara...lakini kwenye sensa Chadema wapo na CCM.
 
Na kwa nini Chadema na wafuasi wao hawataki kabisa dodoso la dini kwenye sensa!
 
Mkuu chama,

Makamanda wanasema adui yao mkubwa ni CCM lakini cha kushangaza huyu adui yao wapo naye bega kwa bega kweye zoezi la sensa.
 
Last edited by a moderator:
Chadema huwa hawapingi mambo ya msingi na yenye faida kwa Taifa!

Hivi ina maana wewe Ritz hujui umuhimu wa sensa mpaka sasa hivi?

Mbona mlipinga matokeo ya uchaguzi wa rais, halafu mkayakubali matokeo ya ubunge na udiwani.
 
Last edited by a moderator:
Hakika kiongozi mkuu wa Waislam nchini Sheikh Mkuu Mufti Simba alinikonga moyo wangu sana,alisema hivi.....Yeyote anayepinga SENSA ni Kaffir Mkubwa.Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea kiongozi huyu aliyetusaidia kuwajua makaffir nchini.

Kauli zetu hilo nalo tatizo... We have a long way to go. Hilo neno Kaffir na utumiaji wake... Kwa upande mwingine napenda msimamo wake wa kuhusiana na sensa.
 
Back
Top Bottom