Kwanini CHADEMA na wafuasi wake wanakuwa kitu kimoja na serikali kwenye suala la sensa?

Mbona mlipinga matokeo ya uchaguzi wa rais, halafu mkayakubali matokeo ya ubunge na udiwani.

Naye Sheikh Mkuu wa mkoa wa DSM Aladi Mussa alisema.....wanaopinga sensa ni wtu wasio na Adabu kabisa...Nimefurahishwa sana na kiongozi huyu wa waislam wote mkoa wa DSM.Huyu ni kijana msomi wa kiislam aliyebobea kwenye dini yake.
 
Hakika kiongozi mkuu wa Waislam nchini Sheikh Mkuu Mufti Simba alinikonga moyo wangu sana,alisema hivi.....Yeyote anayepinga SENSA ni Kaffir Mkubwa.Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea kiongozi huyu aliyetusaidia kuwajua makaffir nchini.

mkuu hapo umemaliza kila kitu na sina cha kuongezea zaidi.
Kwani baba yetu Mufti katusaidia kuwajua makhafir kuwa ni wale wanaopinga sensa.
 
Wanadhihirisha jinsi gani wanachuki na uislam na kama waislam wote wangesapoti sensa basi cdm na wapambe wao pia wangeipinga sensa haina haja kuumiza kichwa waislam wanaijua cdm vizuri na malengo yao wanayajua'tusubiri 2015 jibu litapatikana kama wao wanaweza kuingia ikulu kwa kura zao tu'

Your Brain =((MA+Vi)! X (UGo+Ro)[SUP]2[/SUP]) X100!
 
Molemo,

Neno Kafir ni neno la kiarabu maana yake "Mpingaji" linatumika kwa Muislam ana asiyekuwa Muislam hata mie nikikumpiga unaweza kuniita Kafir wala sio tusi.
 
Last edited by a moderator:
Chadema wameufyata hawana ubavu wa kuipinga serikali

IQ zenu zipo negative nasikitika tumewapa nafasi mpo magogoni mnalipwa kucoment na kutoa maada zisizo na mashiko humu. Ukifanya correlation ni kuwa you hate Nyerere, u hate CDM na kuihusisha na CDM vilevile mwataka mahakama flani. Au mkuu anatuchuza ana ajenda ya siri na wale vichaa wafadhili wapiganio wasichojua. TZ ur NAM principal yenu ni ukweli daima, kwa nini mnanunulika kirahisi kupigania vitu msivyojua ati DINi. Msipokuwa makini mtaanza kusupport adui zenu bila kujua maana wanajua udhaifu wenu na namna kadiya kuwatumia.
 
Kama Chadema kweli ni wazalendo mbona mmekataa ushauri wa CCM kufanya mwafaka wa Madiwani Arusha mpaka leo wakazi wa Arusha hawana madiwani...yaani uzalendo wa Chadema ni kwenye sensa tu.
 
Kama Chadema kweli ni wazalendo mbona mmekataa ushauri wa CCM kufanya mwafaka wa Madiwani Arusha mpaka leo wakazi wa Arusha hawana madiwani...yaani uzalendo wa Chadema ni kwenye sensa tu.

pumkin head.
 
Kama Chadema kweli ni wazalendo mbona mmekataa ushauri wa CCM kufanya mwafaka wa Madiwani Arusha mpaka leo wakazi wa Arusha hawana madiwani...yaani uzalendo wa Chadema ni kwenye sensa tu.

Laiti viongozi wote wa kidini wangekuwa na hekima za Mufti na Sheikh mkuu wa DSM tungekuwa mbali sana.Sheikh Alhadi Mussa wa DSM kasema wanaopinga sensa hawana Adabu kabisa....Neno murua kabisa ametumia.
 
Molemo,

Neno Kafir ni neno la kiarabu maana yake "Mpingaji" linatumika kwa Muislam ana asiyekuwa Muislam hata mie nikikumpiga unaweza kuniita Kafir wala sio tusi.

Wanaopinga sensa hawana Adabu kabisa.....Sheikh Alhadi Mussa wa DSM.
 
Last edited by a moderator:
Napata tabu sana kitendo cha Chadema kuungana na serikali ya CCM kuhakikisha zoezi la sensa linakwenda vizuri...viongozi wa Chadema kwa jinsi wanavyopenda kutafuta umaarufu lazima sensa itakuwa na maslahi makubwa kwao.

Itakumbukwa mara tu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Dr Slaa aliwaongoza viongozi wa chama chake kuyakataa matokeo ya urais huku akituhumu idara ya usalama wa taifa (TISS) kwamba ilihusika katika kuhujumu kura zake kumpa Jakaya Kikwete.

Sasa kwenye sensa (TISS) hawahusiki na chochote au Intelijensia ya Chadema imegundua hakuna hatari yeyote.
 
Kuna mod anawafanyia kazi nzuri sana,kiutaratibu kipindi cha nyuma,wakifuta thread huwa wanakutumia pm kukueleza why wamefanya hivyo.This time is different.Na mimi nitakuulizeni hili swali again.
Je serikali ikipeleka maendeleo huwa wanatumia takwimu za kanisa ama TBC?na kama sivyo,wengi tunafahamu wanatumia takwimu za sensa.Sasa kuishinikiza serikali itumie kipengele cha dini kwenye kupeleka maendeleo madhumi yake ni yapi?kwamba kwenye wakristo kujengwe makanisa na waislam misikiti?Ama kuna watu hawajui madhumuni ya sensa?
 
Mkuu hiyo sihoja yamsingi kwamba cdm wameunga ccm mkono hisensa nijukum lakila mpendamaendeleo halihusiani natasisi yoyote
 
Napata tabu sana kitendo cha Chadema kuungana na serikali ya CCM kuhakikisha zoezi la sensa linakwenda vizuri...viongozi wa Chadema kwa jinsi wanavyopenda kutafuta umaarufu lazima sensa itakuwa na maslahi makubwa kwao.

Itakumbukwa mara tu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Dr Slaa aliwaongoza viongozi wa chama chake kuyakataa matokeo ya urais huku akituhumu idara ya usalama wa taifa (TISS) kwamba ilihusika katika kuhujumu kura zake kumpa Jakaya Kikwete.

Sasa kwenye sensa (TISS) hawahusiki na chochote au Intelijensia ya Chadema imegundua hakuna hatari yeyote.

Mufti wetu kasema...wanaopinga sensa ni Makaffir wakubwa.....Naye Sheikh mkuu wa DSM Alhadi Mussa kasema...wanaopinga sensa hawana Adabu kabisa.Hawa ni mashujaa wetu.Hawatazami nyani usoni.
 
Ukitaka kujuwa kuna either an hidden agenda ama watu wako brainwashed na hawawezi kufikiri tena,basi tizama kama wanaweza kujibu hili swali.Kipengele cha dini kwenye sensa ili iweje?
 
CDM na CCM ni jumuiya za KIKRISTO. Kama kanisa lilitoa msimamo wao juu ya kitu chochote iwe sensa, mahakama ya kadhi, katiba mpya nk ; hizi taasisi haziwezi kupinga. UHAI wa CHADEMA unategemea KANISA! Sababu nyingine yeyote ni danganya toto!
 
Mkuu hiyo sihoja yamsingi kwamba cdm wameunga ccm mkono hisensa nijukum lakila mpendamaendeleo halihusiani natasisi yoyote

Sensa ya mwisho mkuu ilikuwa lini? Ebu kutufahamisha maendeleo yaliyopatikana kutokana na sensa.
 
Sensa ya mwisho mkuu ilikuwa lini? Ebu kutufahamisha maendeleo yaliyopatikana kutokana na sensa.

Waislam ambao sio Makaffir na wale wenye Adabu wametii agizo la Mufti hakika wengi sana wamehesabiwa.Thanks to JK,Mufti na Sheikh Alhadi Mussa.
 
Back
Top Bottom