Kwanini CHADEMA na wafuasi wake wanakuwa kitu kimoja na serikali kwenye suala la sensa?

Kweli mwarabu amechangia kuharibu ubongo wa watu.

Mkuu usijinasibishe na uzungu huo ni utumwa wa akili, Afrika ilipoingiliwa kiutamaduni ndipo ilipobakwa na kunajisiwa na kupoteza ama kuharibu asile yake, tatizo la ushoga ni sehemu muhimu sana kwa wazungu, nakupa darsa mkuu nenda katika kabila lolote Tanzania omba tafsiri ya maneno haya Lesbian, Gay, Homesexual, Pornography, Masturbation, kama utapa maana, lakini hao wazungu ndio wametuleta.
 
Back
Top Bottom