B bojuka Senior Member Sep 9, 2010 128 1 Oct 21, 2010 #1 kila kukicha wagombea wanaozungumziwa ni dr.slaa na kikwete .nilisikia kuwa kuna wagombea 9 waliosimama kwa nafasi ya urais. AU NDIO STRIKERS .
kila kukicha wagombea wanaozungumziwa ni dr.slaa na kikwete .nilisikia kuwa kuna wagombea 9 waliosimama kwa nafasi ya urais. AU NDIO STRIKERS .
M Mwafrika JF-Expert Member Nov 20, 2006 5,490 226 Oct 21, 2010 #2 bojuka said: kila kukicha wagombea wanaozungumziwa ni dr.slaa na kikwete .nilisikia kuwa kuna wagombea 9 waliosimama kwa nafasi ya urais. AU NDIO STRIKERS . Click to expand... labda hao wengine wote ni mapandikizi ya ccm.
bojuka said: kila kukicha wagombea wanaozungumziwa ni dr.slaa na kikwete .nilisikia kuwa kuna wagombea 9 waliosimama kwa nafasi ya urais. AU NDIO STRIKERS . Click to expand... labda hao wengine wote ni mapandikizi ya ccm.
P pierre JF-Expert Member Sep 3, 2010 211 8 Oct 21, 2010 #4 Nafikiri hivyo pia,kuwa huenda ni mapandikizi ya ccm
MAMA POROJO JF-Expert Member Nov 22, 2007 4,974 785 Oct 21, 2010 #5 Mgombea mwenza wa chama cha NCCR anaumwa. Wamesimamisha mikutano yao na wanatarajia kumleta Dar kwa matibabu akitokea Pemba.
Mgombea mwenza wa chama cha NCCR anaumwa. Wamesimamisha mikutano yao na wanatarajia kumleta Dar kwa matibabu akitokea Pemba.
P pierre JF-Expert Member Sep 3, 2010 211 8 Oct 21, 2010 #6 Mod Kwenye thread jukwaa la uchaguzi 2010 siwezi kuchangia maana naona kama nimezuiwa inawezekana?
Speaker JF-Expert Member Aug 12, 2010 6,324 2,238 Oct 21, 2010 #7 wame kuwa wengi mno,so wenye uhai ndio wana ongelewa sana,ume msahau na lipumba maana ana ongelewa pia sometimes kama hawa wawili
wame kuwa wengi mno,so wenye uhai ndio wana ongelewa sana,ume msahau na lipumba maana ana ongelewa pia sometimes kama hawa wawili