Kikwete huo uhakika wa kushinda uchaguzi na maarifa na uwezo uliupata wapi, tueleze watanzania!

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Mwaka 2015 ulikuwa mwaka wa uchaguzi hapa Tanzania.

Wagombea walikuwa ni wengi lakini wakubwa walikuwa ni MH Lowasa na Magufuli. Nilishangazwa sana na kauli za mh Kikwete kuwa CCM Wana uhakika wa kushinda kwani wana maarifa ya kushinda.

Hivi zaidi ya kuchaguliwa kupitia sanduku la kura kuna MAARIFA zaidi ya hayo? Kama kuna maarifa zaidi ya uhalisia kwenye sanduku la kura huo utakuwa ni dhulma dhidi ya wapiga kura.

By the way WATANZANIA WOTE TUNAUCHUKIA UMASIKINI KWA NGUVU ZETU ZOTE
 
View attachment 2903683
Mpuuzi sana lakini ajue karma iko mlangoni kwake nimekaa palee
 
Mwaka 2015 ulikuwa mwaka wa uchaguzi hapa Tanzania.

Wagombea walikuwa ni wengi lakini wakubwa walikuwa ni MH Lowasa na Magufuli. Nilishangazwa sana na kauli za mh Kikwete kuwa CCM Wana uhakika wa kushinda kwani wana maarifa ya kushinda.

Hivi zaidi ya kuchaguliwa kupitia sanduku la kura kuna MAARIFA zaidi ya hayo? Kama kuna maarifa zaidi ya uhalisia kwenye sanduku la kura huo utakuwa ni dhulma dhidi ya wapiga kura.

By the way WATANZANIA WOTE TUNAUCHUKIA UMASIKINI KWA NGUVU ZETU ZOTE
View attachment 2903683
Huna adabu wewe kama nani?
 
Ni nchi chache sana duniani ambazo rais anachaguliwa moja kwa moja na wananchi.

Hata Marekani mnayesema baba wa Demokrasia, rais anachaguliwa na kikundi cha watu wasiozidi 400, zile kura za watu ni geresha tu.
 
Huo ni utaratibu wao na wamekubaliana nao.kwasababu demokrasia haimaanishi lundo la watu bali haki na usawa kwa wanaoshiriki ata kama wakiwa wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kuwateka ajili wapiga kura wakupigie wewe japo hukatimiza ahadi zao ni maarifa unajadili vitu vya kitoto
 
Sisi kwenda kuweka kura ni kisingizio tu ionekane kweli ni demokrasia , ila kura zetu sina uhakika kama huwa zinafanya kazi
 
Back
Top Bottom