what is amazing here!! Nyie wa wapi? Mimi nimesoma katika shule yenye almost asilimia 50 ya wanafunzi wana kaptula za aina hii, hadi mwalimu anawaruhusu wavae za nyumbani. Na hata hizo za nyumbani style yake ni hiyo hiyo. Shati ni kambakamba tu zimefungwafungwa. Halafu hao hao wanaoishi maisha hayo ndiyo huwaambii kitu kuhusu CCM. Tanzania ni nchi ya aina yake bwana. soma signature yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.