Ni lipi basi zuri VIP la kwenda Tanga?

Tahmeed na Ratco

By the way Tanga ni karibu sana, kama hakuna ulazima sana wakutaka kupanda hayo mabasi yanayoitwa "VIP Class", unaweza punguza gharama kwa kupanda Ordinary class tu...
 
Back
Top Bottom