Nataka mwanamke ambaye uaminifu wake kwangu uko juu kama bei ya petroli kuzidi upendo wake

Jimny

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
332
816
Mazee nataka mwanamke ambaye atasema tuanze chini kwenda juu. Nataka mwanamke ambaye wangu u jobless ata fuel up to the top.

Nataka mwanamke ambaye atakuwa ananikera kwa kuitisha hizo cholo hadi akili ichemke niweze kumpa chenye anataka.

Nataka mwanamke ambaye huu urefu wangu na udarkness atauchukulia poa na hata niogopa maana niko na usura wa upole.

Mazee nataka mwanamke ambaye anapenda pesa si kwaajili ya kununua expensive shit au ku spoil lahasha nataka hizo shekeli ziende kwa investment na bizna za hapa na kule.

Mazee nataka mwanamke ambaye she don't give a damn kwa lifestyle za wanawake wenzake ila focus kubwa aiweke kwa famili na hussle zake.

Mazee mimi nataka mwanamke ambaye loyalty yake kwangu ikuwe juu kama bei ya petrol kuzidi upendo wake kwangu, kwani Babu aliniambia mtu anaweza kuwa na upendo na wewe lakini bado aka scratch na kusnitch behind ur back ila mwenye ako Loyal can't do the same.

Mazee nataka mwanamke ambaye hata jiona kajiumba mwenyewe au kafanikiwa kwa akili na nguvu zake mwenyewe, nataka mwanamke ambaye atasarenda na kujinyenyekeza mbele ya aliye mkuu Ambaye ni Mungu.

Mazee naona boss kafika site, ngoja nimalize kubebelea hizo mablocks, ila kama kuna huyo mwanamke akuje DM hata kama ni msela uko na mali yako ambayo inafiti humo we recommend tu, kizuri kula na wana, malipo mbinguni.

Baadae mabibi na Mabwana.
 
Mazee nataka demu ambaye atasema tuanze chini kwenda juu., Nataka demu ambaye wangu u jobless ata fuel up to the top.

Nataka demu ambaye atakuwa ananikera kwa kuitisha hizo cholo hadi akili ichemke niweze kumpa chenye anataka.

Nataka demu ambaye huu urefu wangu na udarkness atauchukulia poa na hata niogopa maana niko na usura wa upole.

Mazee nataka demu ambaye anapenda pesa si kwaajili ya kununua expensive shit au ku spoil lahasha nataka hizo shekeli ziende kwa investment na bizna za hapa na kule.

Mazee nataka demu ambaye she don't give a damn fk kwa lifestyle za mademu wenzake ila focus kubwa aiweke kwa famili na hussle zake.

Mazee mimi nataka demu ambaye loyalty yake kwangu ikuwe juu kama bei ya petrol kuzidi upendo wake kwangu, kwani Babu aliniambia mtu anaweza kuwa na upendo na wewe lakini bado aka scratch na kusnitch behind ur back ila mwenye ako Loyal can't do the same.

Mazee nataka demu ambaye hata jiona kajiumba mwenyewe au kafanikiwa kwa akili na nguvu zake mwenyewe,nataka demu ambaye atasarenda na kujinyenyekeza mbele ya aliye mkuu Ambaye Ni Mungu.

Mazee naona boss kafika site, ngoja nimalize kubebelea hizo mablocks , ila kama kuna huyo demu akuje dyemu hata kama ni msela uko na mali yako ambayo inafiti humo we recommend tu, kizuri kula na wana Malipo mbinguni.

Badae mabibi na Mabwana.
Umepata mkopo ?
 
Mazee nataka mwanamke ambaye atasema tuanze chini kwenda juu. Nataka mwanamke ambaye wangu u jobless ata fuel up to the top.

Nataka mwanamke ambaye atakuwa ananikera kwa kuitisha hizo cholo hadi akili ichemke niweze kumpa chenye anataka.

Nataka mwanamke ambaye huu urefu wangu na udarkness atauchukulia poa na hata niogopa maana niko na usura wa upole.

Mazee nataka mwanamke ambaye anapenda pesa si kwaajili ya kununua expensive shit au ku spoil lahasha nataka hizo shekeli ziende kwa investment na bizna za hapa na kule.

Mazee nataka mwanamke ambaye she don't give a damn kwa lifestyle za wanawake wenzake ila focus kubwa aiweke kwa famili na hussle zake.

Mazee mimi nataka mwanamke ambaye loyalty yake kwangu ikuwe juu kama bei ya petrol kuzidi upendo wake kwangu, kwani Babu aliniambia mtu anaweza kuwa na upendo na wewe lakini bado aka scratch na kusnitch behind ur back ila mwenye ako Loyal can't do the same.

Mazee nataka mwanamke ambaye hata jiona kajiumba mwenyewe au kafanikiwa kwa akili na nguvu zake mwenyewe, nataka mwanamke ambaye atasarenda na kujinyenyekeza mbele ya aliye mkuu Ambaye ni Mungu.

Mazee naona boss kafika site, ngoja nimalize kubebelea hizo mablocks, ila kama kuna huyo mwanamke akuje DM hata kama ni msela uko na mali yako ambayo inafiti humo we recommend tu, kizuri kula na wana, malipo mbinguni.

Baadae mabibi na Mabwana.
Tafuta hela mkuu wanawake hawahitaji shida zako
 
Shida mkishafanikiwa mnawaacha ndio maanaa hawatakii siku hizii
 
Utaondoka saa ngapi hapo kilabuni unapotungia hayo mashairi yako na kidumu chako cha ulanzi ki upande wako wa kuume
 
Roho ya mapepo shindwa na ulegee, mimi siyo mtu wa pombe, usinichafulie cv na watoto washaanza kunasa Pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom