Kwa yeyote anayejua anisaidie.

JambaziSugu

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
245
203
Habari zenu wana JF. Anayefahamu hostel yoyote ya wanafunzi wa sekondari maeneo ya karibu na kariakoo mpaka ilala (ukiondoa Al-haramain) anijuze tafadhali.
 
Back
Top Bottom