Vyuo vya kati vya afya (pharmacy) visivyokuwa na utaratibu wa kuvaa sare

Surveyor_1

Member
Jan 2, 2022
48
29
Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu.

Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari.

Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana na umri kuwa umeenda kidogo(30yrs).
 
Hakuna chuo cha afya ambacho huwez kuvaa sare, hiyo ni sheria ya wizara, umri ni namba kuna watu wana 35 years na bado wanavaa sare kikubwa nia tu. Kama unania na hy kozi kubali sare
 
Back
Top Bottom