Nahitaji washirika/wabiawa chuo

ladyfocus

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
970
706
Habari zenu wakuu,

Kama post inavyoeleza hapo juu. Nimepost hapa kutafuta watu ambao nitashirikiana nao kuendesha chuo changu. Chuo kimesajiliwa kipo kwenye mazingira mazuri sana.

Nimepost hapa kwasababu naamini wengi ni walimu na wana connection kubwa na wanafunzi ambayo tunaweza kuitumia kwa manufaa ya pande zote mbili.

Ambao mpo interested tafadhali njoo PM tuulizane maswali yote utakayotaka kujua. Wale wa oooh weka full details hapa sio mahala penu tafadhali. Chuo kipo Arusha.
 
Back
Top Bottom