Anayejua kazi ya wizara ya kilimo hapa Tanzania tafadhali anisaidie

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Wizara ipo , mawaziri wapo,wataalamu wa kilimo wapo,maafisa kilimo wapo ila mpaka sasa sijui kazi za wizara hii , tafadhali anayejua kazi ya wizara hii naomba anipe elimu tafadhali

Taasisi zake ni zipi, idara zake ni zipi na jinsi inavyofanyakazi na wakulima

Je maafisa kilimo waliopo kwenye vijiji, kata, Halmashauri wanaajibika kwa nani? Kwa mkurugenzi au kuna kiongozi wa wizara ya kilimo ambaye wanaajibika kwake? Yaani kwa kifupi wapo TAMISEMI au wizara ya kilimo?
 
😀😀😀😀Samia anasema nimefungua nchi ila maajabu raia wake hajawaandaa kwenye kilimo
 
Nimelima zangu mahindi yamekubali hakuna mfano ila sijawahi kuona afisa kilimo kunitembelea.. nipo napamba


Lakini pia kuna jirani yangu amelima eneo kubwa mno ila sidhani kama atavuna na hapo pia afisa kilimo hajawahi kumtembelea kumshauri angalau msimu ujao asipate hasara.

Kimsing hiyo ndiyo nchi yetu
 
Back
Top Bottom