Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,291
Tuondolee upupu wako hapa haya mambo yake binafsi na biashara zake yanahusu nini, hii ni sawa na ujinga wa kusema mbowe na biasharazake mara hivi mara vile au kumsema slaa na uliokuwa upadri wake na ccbrt.
Lete hoja acha majungu ndungu yangu
Nyoka katolewa pangoni au siyo? anazungumziwa Hamad kama mtu mwenye tabia anayoiendeleza ya ubinafsi na ubishi usio na maslahi kwa taifa.
Hivi anakomalia nini mambo ya bara wakati kwa mdomo wake Zanzibar ni nchi huru. Au ndiyo kutaka ukewenza ukiwa kwa mume mwingine. Huo ni Umalaya kwa maana halisi